Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Sasa mtu kila siku kwenye media anatangaza anatamani kucheza Madrid mara Man United mara acheze chini ya Zinedine Zidane mara anaondoka Chelsea kweli hapo ana uwezo wa kumotivate. Sifa za leader ya kwanza uzalendo, kama anaipenda Chelsea angekubali mkataba mpya na kutulia ndio sifa ya leader. Hazard na miaka yote 27 bado anadeka kama Odoi, asepe tena anatuchelewesha. Niliwahi kusema Hazard akiondoka Chelsea itapona kwa sababu uwepo wake na fikra za kila mara za kuondoka zinademotivate wenzakeMourinho is back in EPL inside the Sarri's body
Chelsea transfer news: Eden Hazard is not a leader – Sarri | Goal.com
Hiyo namba ni ngumu inaitwa namba iliyolaaniwa Chelsea, nakumbukia tu Tores, Falcao na sasa Morata walivyoshindwa vibaya kuitendea haki hiyo namba 9Chelsea no.9s in Premier League history:
Gonzalo Higuaín
Álvaro Morata
Radamel Falcao
Fernando Torres
Franco Di Santo
Steve Sidwell
Khalid Boulahrouz
Hernán Crespo
Mateja Kezman
Cursed? #CFC ⚽🔵
Tutakuja apo Anfield kuchukua hizo point tatu.Spurs 3 - 1 Chelsea
Arsenal 2 - 0 Chelsea
Jifunze kuweka Hakiba ya Maneno
CC: DullyJr
CC: AROON
CC: Ollachuga Oc