Nashangaa mpaka sasa bado kuna watu wanamtetea Kepa kwa upumbavu alioufanya.
Tupe source ya hizo picha twende tuzione na sisi maana maneno yako yamejaa hisia zaidi kuliko uhalisiaUkifuatilia video za mazoezi hyo jamaa anaelewanaga na Jognho tu kucheka kuongea kukumbatiana ila waliiobaki wnaona ni shida huyu sarrr
Shit, hapa mnakuza tu ukiwemo wewe Ngwaba, kulikuwa na misunderstanding na kocha kakiri hiyo (fuatilia haya mahojiano maalumu kwa jili ya hiyo incident) . Ilikuwa hivi, daktari aliwasili kwenye benji baada ya dakika nne na hivyo Sarri alichukua uamuzi wa kumbadilsiha Kepa akidhani ameumia na hataweza kwenda kwenye penalting shootouts. Daktari aliporudi na baada ya kuelewana hiyo kitu imeevaporate hewani. Wapinzani wa Chelsea natakiwa mpambane na hali zenu huko kwenu badala ya kuhangaika na ChelseaKilichosomwa Pale ni Kwamba Alikataa kutoka
Hayo mengine ya kujitetea yatabaki kuwa ya kwake.
Kocha anapoandaa Mabadiliko Mchezaji wajibu wako ni kumtii kocha kwa Kutoka bila ya Kuhoji kwamba unaweza kuendelea na Mchezo au huwezi.
Ni sawa na TEVEZ aliyeingizwa uwanjani imebaki dakika 1 kipindi yupo Man City akagoma kuingia akidai kwa dakika moja iliyobakia hata akiingia hawezi badilisha chochote! Huu ni utovu wa nidhamu.
Shit, hapa mnakuza tu ukiwemo wewe Ngwaba, kulikuwa na misunderstanding na kocha kakiri hiyo (fuatilia haya mahojiano maalumu kwa jili ya hiyo incident) . Ilikuwa hivi, daktari aliwasili kwenye benji baada ya dakika nne na hivyo Sarri alichukua uamuzi wa kumbadilsiha Kepa akidhani ameumia na hataweza kwenda kwenye penalting shootouts. Daktari aliporudi na baada ya kuelewana hiyo kitu imeevaporate hewani. Wapinzani wa Chelsea natakiwa mpambane na hali zenu huko kwenu badala ya kuhangaika na Chelsea
Nakushangaa Sana Kile tulichokiona Live uwanjani unataka tukibadilishe Kwa Habari za Magezeti.
Ni sawa na Mtu aliyejishuhudia akipimwa Kwa SD-Bioline na UNIGOLD akagundulika kuwa ana maambukizi ya VVD then akajifanya Kuamini kauli za Mganga wa Kienyeji Kuwa hana maambukizi.
Kwahiyo iwapo kocha Kaamua Kukutoa uwanjani akiamini tu kuwa umeumia wakati unaweza kuendelea na Mchezo, taratibu zinasema usitoke?
Hivi unataka kutuaminisha kiwa tulichokiona uwanjani haikuwa uhalisia bali ni Sinema tu uhalisi ni Hizi habari zinaroshwa mitandaoni sasahivi zaidi ya Masaa 12 baada ya Mechi?
√ Bango la Mabadiliko limeshaekwa tayari
√ Caballero ameshapasha kuingia
√ Sarri anafoka kwa Hasira
√ Kepa anashauriwa na Luis Stoke
√ Refa anamuashiria Kepa Stoke
√ Kepa ananyoosha mikono kuashiria hatotoka
√ Benchi zima la ufundi la Chelsea limenyanyuka kutoridhika na kitendo cha Kepa
Then unatwambia tulichokiona sio uhalisia Bali ni Acting?
Tafuta hoja ya kumtetea Kepa.
Kama Kocha anadhani tu kuwa mchezaji Hawezi Kuendelea na Mchezo wakati Mchezaji mwenyewe anajiona yupo fiti akagoma kutoka na ukahisi yupo sahihi kwasababu anaweza kuendelea na Mchezo! Hilo litakuwa linaruhusiwa only kwenye Chelsea.
Unajua huyu Sarri Mafegi naye chizi...we kipa umepambana dakika 120 bila kuruhusu goli hlf atokeee tu aseme We Kepa njoo nje, penalt atadaka huyu mwingine. Hamuoni hiyo ni dharau. Aliyeonesha uhuni wa kwanza ni Mafegi mana dogo kalinda lango muda wote. Mafegi ni wa kuangaliwa pia, msi-base side moja tuu, dogo ubishi anao lakin mafegi apunguze dharau.
Unatetea uozoKipa alitaka apambane mpaka Dakika ya mwisho japo sio heshima kisoka lakini ameonesha ushujaa Fulani hivi ..
Sarri alipaswa/anapaswa kuelewa hilo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh kwahiyo na striker akipambana afunge hat trick iwe goli 3 bila dakika za mwisho mwisho akifanyiwa sub akatae kutoka?Unajua huyu Sarri Mafegi naye chizi...we kipa umepambana dakika 120 bila kuruhusu goli hlf atokeee tu aseme We Kepa njoo nje, penalt atadaka huyu mwingine. Hamuoni hiyo ni dharau. Aliyeonesha uhuni wa kwanza ni Mafegi mana dogo kalinda lango muda wote. Mafegi ni wa kuangaliwa pia, msi-base side moja tuu, dogo ubishi anao lakin mafegi apunguze dharau.
Mbona poyoyo nyingi Mzee, Unamlaumu kepa bila kujua sababu n nn?Unatetea uozo
Hivi mchezaji anaanzaje kumgomea kocha
Hapa ndio ninapowapa heshima akina Fergeson na Jose bila kumsahau papaa Zahera
Kipa akigoma kutoka uwanjani, mamlaka ya kocha yatakuwa yapi sasa?
After all inajulikana kuwa Caballero ni golikipa bora kwenye penalty shout out, Van Gaal alitumia hiyo mbinu world cup, City wenyewe walikuwa wanaogopa kama Caballero angeingia kwenye matuta, then haka katoto kanakuja kugoma kutoka ....... Hakana nidhamu kabisa.
Ingekuwa mimi ndio Sari, ningempiga benchi kipa mpaka akili imkae vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Blah blah nyiiiingi ....... Labda kama 10Mbona poyoyo nyingi Mzee, Unamlaumu kepa bila kujua sababu n nn?
Sub yoyote tena ya sehemu nyeti kama ya goli keeper huwa inapagwa mazoezini , Kwa hali ilivyoonekana sub ya keeper Hawakupanga atolewe may be kocha alitaka abadili kutokana na sababu hizi...
>Labda alidhani kipa ameumia au hata kama hajaumia sana ila itamcost katika penalty Ila kepa kwa kusisitiza aliwajibu kuwa yupo vizuri kuendelea
>Au labda kocha alitaka kufanya maamuzi ya papo kwa hapo bila hata kupanga katika mazoezi, Maana kama ni kitu walichopanga asingesubiri aumie ndo afanye sub,,, Kepa alichoelewa yeye anataka afanyiwe sub kutokana na injury kitu alichodhibitisha yupo vizur
Kwaiyo mvuta fegi (Sari) ndo mwenye matatizo kutokuwapanga wachezaji wake vizuri maana mimi naamini kama ni ishu waliopanga tokea wakiwa mazoezini sidhani kama angegoma kutoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Usidanganyike, hakuna cha sub kupangwa kwenye mazoezi.Mbona poyoyo nyingi Mzee, Unamlaumu kepa bila kujua sababu n nn?
Sub yoyote tena ya sehemu nyeti kama ya goli keeper huwa inapagwa mazoezini , Kwa hali ilivyoonekana sub ya keeper Hawakupanga atolewe may be kocha alitaka abadili kutokana na sababu hizi...
>Labda alidhani kipa ameumia au hata kama hajaumia sana ila itamcost katika penalty Ila kepa kwa kusisitiza aliwajibu kuwa yupo vizuri kuendelea
>Au labda kocha alitaka kufanya maamuzi ya papo kwa hapo bila hata kupanga katika mazoezi, Maana kama ni kitu walichopanga asingesubiri aumie ndo afanye sub,,, Kepa alichoelewa yeye anataka afanyiwe sub kutokana na injury kitu alichodhibitisha yupo vizur
Kwaiyo mvuta fegi (Sari) ndo mwenye matatizo kutokuwapanga wachezaji wake vizuri maana mimi naamini kama ni ishu waliopanga tokea wakiwa mazoezini sidhani kama angegoma kutoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona poyoyo nyingi Mzee, Unamlaumu kepa bila kujua sababu n nn?

Hakuna aliyekataa kwamba kumgomea kocha ni makossa, what happened is a total misunderstanding periodNakushangaa Sana Kile tulichokiona Live uwanjani unataka tukibadilishe Kwa Habari za Magezeti.
Ni sawa na Mtu aliyejishuhudia akipimwa Kwa SD-Bioline na UNIGOLD akagundulika kuwa ana maambukizi ya VVD then akajifanya Kuamini kauli za Mganga wa Kienyeji Kuwa hana maambukizi.
Kwahiyo iwapo kocha Kaamua Kukutoa uwanjani akiamini tu kuwa umeumia wakati unaweza kuendelea na Mchezo, taratibu zinasema usitoke?
Hivi unataka kutuaminisha kiwa tulichokiona uwanjani haikuwa uhalisia bali ni Sinema tu uhalisi ni Hizi habari zinaroshwa mitandaoni sasahivi zaidi ya Masaa 12 baada ya Mechi?
√ Bango la Mabadiliko limeshaekwa tayari
√ Caballero ameshapasha kuingia
√ Sarri anafoka kwa Hasira
√ Kepa anashauriwa na Luis Stoke
√ Refa anamuashiria Kepa Stoke
√ Kepa ananyoosha mikono kuashiria hatotoka
√ Benchi zima la ufundi la Chelsea limenyanyuka kutoridhika na kitendo cha Kepa
Then unatwambia tulichokiona sio uhalisia Bali ni Acting?
Tafuta hoja ya kumtetea Kepa.
Kama Kocha anadhani tu kuwa mchezaji Hawezi Kuendelea na Mchezo wakati Mchezaji mwenyewe anajiona yupo fiti akagoma kutoka na ukahisi yupo sahihi kwasababu anaweza kuendelea na Mchezo! Hilo litakuwa linaruhusiwa only kwenye Chelsea.
Pamoja na kwamba ni mistaunderstanding, naona Sarri atatumia hekima yake ya uzee kumuadhibu ili siku nyingine hata kama Bosi kakosea inabidi tu atii mamlaka. Nategemea atawekwa bench kwenye game nyingi Zaidi hata zilke za EPL nao akina Green wapate angalau fursa ya kukaa golini. It is not a big deal, watu wa media wameshauza habari na sasa tunaizika hiyo incidentNakushangaa Sana Kile tulichokiona Live uwanjani unataka tukibadilishe Kwa Habari za Magezeti.
Ni sawa na Mtu aliyejishuhudia akipimwa Kwa SD-Bioline na UNIGOLD akagundulika kuwa ana maambukizi ya VVD then akajifanya Kuamini kauli za Mganga wa Kienyeji Kuwa hana maambukizi.
Kwahiyo iwapo kocha Kaamua Kukutoa uwanjani akiamini tu kuwa umeumia wakati unaweza kuendelea na Mchezo, taratibu zinasema usitoke?
Hivi unataka kutuaminisha kiwa tulichokiona uwanjani haikuwa uhalisia bali ni Sinema tu uhalisi ni Hizi habari zinaroshwa mitandaoni sasahivi zaidi ya Masaa 12 baada ya Mechi?
√ Bango la Mabadiliko limeshaekwa tayari
√ Caballero ameshapasha kuingia
√ Sarri anafoka kwa Hasira
√ Kepa anashauriwa na Luis Stoke
√ Refa anamuashiria Kepa Stoke
√ Kepa ananyoosha mikono kuashiria hatotoka
√ Benchi zima la ufundi la Chelsea limenyanyuka kutoridhika na kitendo cha Kepa
Then unatwambia tulichokiona sio uhalisia Bali ni Acting?
Tafuta hoja ya kumtetea Kepa.
Kama Kocha anadhani tu kuwa mchezaji Hawezi Kuendelea na Mchezo wakati Mchezaji mwenyewe anajiona yupo fiti akagoma kutoka na ukahisi yupo sahihi kwasababu anaweza kuendelea na Mchezo! Hilo litakuwa linaruhusiwa only kwenye Chelsea.
Nimesema kwenye sub ya kipaSub inapangwa mazoezini?????????
Mkuu bora nyamaza usiaibike hapa.
Kwahiyo Kocha anapanga Kwenye Mazoezi kuwa Game ya Kesho Nitamtoa Willian dakika ya 70, Nitamtoa Higuan dakika ya 75 na nitamaliza na Kovacic dakika ya 80 si ndiyo?
Kwahiyo hapo ikitokezea Joginho au Alonso kuwa na Bad game basi hawezi kuwatoa Coz hakupanga tokea kwenye Mazoezi?
Kocha yoyote mpaka kufikia Mpira unaanza basi hajui nani atakayemfanyia Sub kwani Sub inafanywa kulingana na Hali ya Mchezo unavyoendelea
Alonso ni mzuri kwa mfumo ule wa Conte 3,4,3 yaani acheze kana winga beki lakini sio kwa mfumo sa 4,3,3 hapaDaima tunakuwa salama uwanjani Marco Alonso asipocheza
Emerson inabidi achukue namba dogo mzuri sana kama atacheza zaidiDaima tunakuwa salama uwanjani Marco Alonso asipocheza