Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Labda umkumbushe wewe yaliyomfika Tevez huenda akafahamu!
Na anashindwa Kuelewa kuwa hivi Kuna Kocha gani atakayethubutu kuingia Mgogoro na Messi, Ronaldo na Zlatan (Katika ubora wake) akabaki Salama?
Sasa si la kushangaa kuona Messi au Ronaldo wanamtukana Kocha au hata Kumpiga Ngumi na Still wakabaki Salama na Kocha akajifanya Yameisha hakuna mgogoro.
Lakini Mtazame Ferguson kama Kina Stam, Nestroy, Beckham, Kean je walibaki Salama walipojaribu kutaka kumpanda kichwani??
Ni sawa na Wakati wa Lampard kuwa Hakuna kocha aliyewahi kukwaruzana la Lampard akabaki Salama.
Acha kukata tamaa kizembe mkuu,mechi yako ya mwisho umeweza kuwakazia Man City mpaka wakaenda kupata ushindi kupitia mikwaju ya penati,leo hii unahofia kufungwa na Spurs..!?Naona leo tukipoteza na kibaya kocha hata tukifungwa hana plan ya kurudisha kabisa
nimekuwa fan wa cfc mda mrefu kwenye final huwa hivyo hila utaina labda son of sarr asiwemoAcha kukata tamaa kizembe mkuu,mechi yako ya mwisho umeweza kuwakazia Man City mpaka wakaenda kupata ushindi kupitia mikwaju ya penati,leo hii unahofia kufungwa na Spurs..!?
Burnley kaweza kuwapiga hao Spurs,kwanini wewe ushindwe,au Burnley ana timu nzuri kushinda wewe..!?
Uwezo wa kumpiga Spurs unao vizuri sana,labda ukose nia na sababu tu...
You are Kings of London bhana..!
Hayo ni mawazo yote na inferiority complex. Hatuwezi kufungwa na Tottenham kwa sasa hivi na hata wakijitutumua sana hawatapata ushindiNaona leo tukipoteza na kibaya kocha hata tukifungwa hana plan ya kurudisha kabisa
Vipi Hazard, Kante, Odoi na EmersonSipati picha speeed za son midle makini erkisen dah
Mbona kama ujazungumzia mpira mzee ngwaba au mimi ntakuwa na matatizoLabda umkumbushe wewe yaliyomfika Tevez huenda akafahamu!
Na anashindwa Kuelewa kuwa hivi Kuna Kocha gani atakayethubutu kuingia Mgogoro na Messi, Ronaldo na Zlatan (Katika ubora wake) akabaki Salama?
Sasa si la kushangaa kuona Messi au Ronaldo wanamtukana Kocha au hata Kumpiga Ngumi na Still wakabaki Salama na Kocha akajifanya Yameisha hakuna mgogoro.
Lakini Mtazame Ferguson kama Kina Stam, Nestroy, Beckham, Kean je walibaki Salama walipojaribu kutaka kumpanda kichwani??
Ni sawa na Wakati wa Lampard kuwa Hakuna kocha aliyewahi kukwaruzana la Lampard akabaki Salama.
Vipi Hazard, Kante, Odoi na Emersonissue inakuja huyo odoi wanamweka dk ya ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu jitahidi kushirikisha ubongo kabla hujapost. Sijui maudhui yanakua kuchekesha au kujifurahisha ila unaishia kuaibika mwenyewe. Unaemfanyia bullying kakuacha mbali sana.*Ila* *tuache* *utani sarr ni* *bonge* *la* *kocha* *jamaniii* *kama* *mnataka kuamini angalia city kamfunga sita lakn juz kadroo*[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
KIKOSI CHA LEO CHANGU CHA CHELSEA KAMA NINGEKUWA KOCHA
Kepa
------
Azpiculeta Ludiger Luiz Emmerson
------
Kante
-------
Cheek Bakley/kovacic
--------
Hazard Higuan Hodoi
SUB
caballero alonso chrisntens willian drinkwater
Zapacosta pedro Giroud
kipindi tunapigwa na bonermouth kwani ilikuwajeAcha kukata tamaa kizembe mkuu,mechi yako ya mwisho umeweza kuwakazia Man City mpaka wakaenda kupata ushindi kupitia mikwaju ya penati,leo hii unahofia kufungwa na Spurs..!?
Burnley kaweza kuwapiga hao Spurs,kwanini wewe ushindwe,au Burnley ana timu nzuri kushinda wewe..!?
Uwezo wa kumpiga Spurs unao vizuri sana,labda ukose nia na sababu tu...
You are Kings of London bhana..!
soma nilichoandika
Kikosi cha kumuangamiza Spurs.
Kepa
Emerson, Luiz, Rudiger, Azpi
Kante, Jorginho, Barkley
CHO, Higuain, Hazard
Substitution
Caballero, Christensen, RLC, Kovacic, Willian, Pedro.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujifunze kuandika vizuri majina ya wachezaji, Chelsea timu kubwa unaweza pigwa ban kwa makossa hayoKIKOSI CHA LEO CHANGU CHA CHELSEA KAMA NINGEKUWA KOCHA
Kepa
------
Azpiculeta Ludiger Luiz Emmerson
------
Kante
-------
Cheek Bakley/kovacic
--------
Hazard Higuan Hodoi
SUB
caballero alonso chrisntens willian drinkwater
Zapacosta pedro Giroud