OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Apo Chelsea na Tottenham watashinda zote..Mechi kali za vigogo EPL
Machi 2: Tottenham v Arsenal
Machi 10: Arsenal v Man United
Machi 31: Liverpool v Tottenham
Aprili 14: Liverpool v Chelsea
Aprili 20: Man City v Tottenham
Aprili 24: Man United v Man City
Aprili 28: ManUnited v Chelsea
Kwa hiyo kuna mgomo kwa kuwa kafungwa na ChelseaHahhahha
Hao jamaa nahisi kuna kamgomo fulani maana mtu kama Moura namuona kabisa hachezi kwa moyo wote hali kadhalika Eriksen na Sissoko
Forward pekee haitoshi timu kuwa top, By the way forwards ya Spurs ni nani pale, Kane au Moura au nani. Muchage na ushabiki saa nyingine. SPurs is a very ordinary timu tangu Chelsea ichukue ubingwa mara mbili Spurs ilikuwa hivi hiviMoyo/morale ninaona iko chini sana pale
Ukiniambia nikutajie timu tatu zenye forward bora EPL msimu huu basi nitakuambia Spurs wamo ila Chelsea hawamo
Mapofu ya nini, Mimi nimeongelea Chelsea na mechi zilizobaki huo mlolongo wa historia ya waliomfunga Spurs nani anatakaHili Ndiyo Tatizo lenu munaposhinda Kijimechi Kimoja!
Arsenal Kamfunga Spurs
Man United Kamfunga Spurs
Liverpool Kamfunga Spurs
Man City Kamfunga Spurs
Vibonde Vimemgunga Spurs
Kamfunga Nyinyi imeshakuwa Munaanza Kujisifu kuwa Timu nyengine zitaishia draw.
Sasa hapo kipi kipya mulichokifanya kwa Spurs ambacho wengine hawajakifanya?
Hapo Draw utatoa na Kufungwa utafungwa
Vibonde wamemfunga spurs lakini maajabu yupo nafasi ya 3, kwani chelsea hajamfunga man cty?,hajamfunga arsnl?Hili Ndiyo Tatizo lenu munaposhinda Kijimechi Kimoja!
Arsenal Kamfunga Spurs
Man United Kamfunga Spurs
Liverpool Kamfunga Spurs
Man City Kamfunga Spurs
Vibonde Vimemgunga Spurs
Kamfunga Nyinyi imeshakuwa Munaanza Kujisifu kuwa Timu nyengine zitaishia draw.
Sasa hapo kipi kipya mulichokifanya kwa Spurs ambacho wengine hawajakifanya?
Hapo Draw utatoa na Kufungwa utafungwa
Namshukuru sana Kepa kwa kumgomea Kocha, amesababisha timu iwe united, we fuatilia tu utadhani Chelsea has been reborn after Kepa incident. Kila mchezaji anamuunga mkono Kocha kwa sasa, Benji la ufundi nalo hivyo hivyo, body ya timu ndio usiseme. Nimesoma sehemu nyingine Hazard akisema wameblast Kepa kwa ujinga alioufanya na wamempa shule asirudie tena. Hii incident imewafanya hata wale wachanga ndani ya Chelsea kitabia wakue. Nina Amani sasa hata mgogoro ukitokea kocha hatagomewa kwa sababu miaka yote inayoua Chelsea ni mgomo wa wachezaji. Nashukuru pia form ya Alonso naona kama imerudi japo hatuwezi pima kwa game moja
Nilikuwa nafanya kama alichokifanya Sarri, isionekane issue kubwa na kuigawa timuWewe si ulikuwa ukimtetea Kepa? Au umeshasahau?
*Once a small team always a small team*
Arsenal 5:1 Bournemouth
Man cty 5:1 Bournemouth
Everton 5:1 Bournemouth
Man u 4:1 Bournemouth
Liverpool 3:0 Bournemouth
Spurs 3:0 Bournemouth
*-Chelsea 0:4 Bournemouth-*
*Once a small team always a small team*
Arsenal 5:1 Bournemouth
Man cty 5:1 Bournemouth
Everton 5:1 Bournemouth
Man u 4:1 Bournemouth
Liverpool 3:0 Bournemouth
Spurs 3:0 Bournemouth
*-Chelsea 0:4 Bournemouth-*
Tuna gemu mbili mkononi ( viporo viwili) wala hainipi tabu yeyote ..√ Arsenal ameshamalizana na Liverpool
√ Arsenal ameshamalizana na Chelsea
√ Arsenal ameshamalizana na Man City
Hapa Naona wazi kuwa Arsenal Anaingia Top 4 kwa 100%
Chelsea akiingia Top 4 najipiga Ban la Miezi 6 kwenye huu uzi.
CC: Ollachuga Oc
Yeah ni kweli kabisa unajua ile issue itakuwa ili leta uwoga flani iv kwa wachezaji ..sasa naona kuna strong connection kati ya Sarri na wachezaji..Namshukuru sana Kepa kwa kumgomea Kocha, amesababisha timu iwe united, we fuatilia tu utadhani Chelsea has been reborn after Kepa incident. Kila mchezaji anamuunga mkono Kocha kwa sasa, Benji la ufundi nalo hivyo hivyo, body ya timu ndio usiseme. Nimesoma sehemu nyingine Hazard akisema wameblast Kepa kwa ujinga alioufanya na wamempa shule asirudie tena. Hii incident imewafanya hata wale wachanga ndani ya Chelsea kitabia wakue. Nina Amani sasa hata mgogoro ukitokea kocha hatagomewa kwa sababu miaka yote inayoua Chelsea ni mgomo wa wachezaji. Nashukuru pia form ya Alonso naona kama imerudi japo hatuwezi pima kwa game moja
Mkuu wewe ni wa muhimu sana katika kusherehekea ushindi wetu. Tunakuhitaji sana mwisho wa msimu huwezi jua hiyo BAN ikapelekea wewe kujitundika kwa kutokuamini kitakacho tokea.√ Arsenal ameshamalizana na Liverpool
√ Arsenal ameshamalizana na Chelsea
√ Arsenal ameshamalizana na Man City
Hapa Naona wazi kuwa Arsenal Anaingia Top 4 kwa 100%
Chelsea akiingia Top 4 najipiga Ban la Miezi 6 kwenye huu uzi.
CC: Ollachuga Oc
Mkuu wewe ni wa muhimu sana katika kusherehekea ushindi wetu. Tunakuhitaji sana mwisho wa msimu huwezi jua hiyo BAN ikapelekea wewe kujitundika kwa kutokuamini kitakacho tokea.
Mimi na APPEAL hakuna kujipiga BAN ili walau tupunguze visingizio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi bado unaamini utamaliza juu ya Arsenal na Man United?
√ Arsenal ameshamalizana na Liverpool
√ Arsenal ameshamalizana na Chelsea
√ Arsenal ameshamalizana na Man City
Hapa Naona wazi kuwa Arsenal Anaingia Top 4 kwa 100%
Chelsea akiingia Top 4 najipiga Ban la Miezi 6 kwenye huu uzi.
CC: Ollachuga Oc
Tunahirisha kikao mpaka jumatatu ya tar 13 May 2019 tutakapokuja kupata ripoti kamili ya yatokanayo na ajenda hiiMwisho wa Msimu Msimamo utakuwa hivi:
1) Liverpool/Man City
2) Man city/Liverpool
3) Man United
4) Arsenal
5) Spurs
6) Chelsea
Kiongozi nafasi yako ya 6 hili halina ubishi..
Hata Ollachuga Oc anajua kuwa atamaliza nafasi ya 6.