Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,929
- 40,599
Chanzo cha kunyimwa hiyo viza ni kp hasa hadi asitishe hayo yote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye ana uraia wa Russia na Israel.
Russia wanalalamikiwa kumwua agent wa UK kwa kutumia biological weapon, na wamemwua ndani ya ardhi ya Uingireza (inavyosemekana).
Sasa kwa sababu jamaa ni rafiki wa Putin, wakambania kirenew, so kwa kutumia pass ya Israel anaingia kuangalia mechi tu.
Yeye ana uraia wa Russia na Israel.
Russia wanalalamikiwa kumwua agent wa UK kwa kutumia biological weapon, na wamemwua ndani ya ardhi ya Uingireza (inavyosemekana).
Sasa kwa sababu jamaa ni rafiki wa Putin, wakambania kirenew, so kwa kutumia pass ya Israel anaingia kuangalia mechi tu.
Lakini Russia ilimuua huyo Mu-UK kwa sababu zipi hasa au kuna inshu za msingi za usiri kuhusu Russia alizi-expose UK ndiyomaana walimmaliza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliwahi kuwa Spy wa Russia, sikumbuki vizuri lakini ni case ya Double Agent.
Aliwahi kuwa Spy wa Russia, sikumbuki vizuri lakini ni case ya Double Agent.
Lkn umeniacha kwny mataa kuhusu habari hiyo "Double agent case" ni aina ya kesi gani hiyo Chifu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupata vizuri sana Kaka, so inamaana Russia waliamua kummaliza baada ya kugundua UK wameshamstukia Raia wao alikuwa akiwaibia Russia siri za nchi yao, so ili kufuta ushahidi waliona wammalize mazima tu.Wewe ni mtanzania unayefanya kazi usalama wa taifa.
Kwa uficho unakubaliana na Usalama wa taifa wa nchi nyingine kuwaizia taarifa za nchi yako. Double agent, serving two countries at par.
Au kwenye mission za nje ya nchi unaamua kuasi moja kwa moja na kufanya kazi na nchi nyingine (usaliti).
Interest haiwezi kupungua maana kawekeza hela zake pale. It is possible to run a business in UK while in Israel.Tajiri kanyimwa visa ya kuishi nchini, anaruhusiwa kuja kucheki game tu.
Nadhani interest imepungua.
Nimekupata vizuri sana Kaka, so inamaana Russia waliamua kummaliza baada ya kugundua UK wameshamstukia Raia wao alikuwa akiwaibia Russia siri za nchi yao, so ili kufuta ushahidi waliona wammalize mazima tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Interest haiwezi kupungua maana kawekeza hela zake pale. It is possible to run a business in UK while in Israel.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndo naangalia updates, jamaa hakufa kumbe.
Maana walikuwa poisoned yeye na mwanae wa kike kwa kutumia sumu ambazo kuna makubaliano ya kutozitumia.
Na ilikuwa nchini Uingereza, waliowafanyia ni Russians, kwa hiyo Uingereza ikafukuza officials wa Russia na Russia nayo ikafanya hivyo.
Baada ya kuangalia updates naona walipona, ila uhusiano wa hizo nchi umeteteleka. Hata kombe la Dunia Uingereza hawakupeleka officials Russia.
Aiseee...asante sana kunipa updates zote Kaka, uko vzr sn kimadini Chifu.
"Time is wealthy when it's timed consecutively"
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa, tena hapa ni kipindi kile ambapo Mourinho alikuwa anamuamini sana Didie Drogba huku Abrahamovich alikuwa akimpenda sana Chievichenco akitaka awe anacheza nafasi ya aliyokuwa akicheza Didie Drogba huku Mourinho akipingana na Abrahamovich.Interest in terms ya kuipenda timu, kuwa involved kwa football issues kama zamani.
Kama unakumbuka alikuwa hadi anasajili wachezaji anaowakubali mwenyewe bila hata kocha kupenda.
Pamoja sana.
Komaeni basi majogoo ili yule mbaguzi wa wa waafrika(Pep Gadiola) asije kujivunia ni kubeba tena ubingwa kwa mara ya pili.
"Time is wealthy when it's timed consecutively"
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa, lkn mechi 8 zilizobaki bado si rahisi sana Man City kushinda zote maana ile EPL huwa hieleweki.Jamaa ana mkikosi wa kufa mtu, anatoa jiwe anaingiza jiwe.
Tulitegemea mtulinde mkaachia.
Jamaa siyo mchezo, ni kuomba bahati tu.
Lkn, Je Liverpool mtashinda mechi zote 8 zilizobakia hata kama Man City atapoteza au kusuluhu mechi 1wapo?Jamaa ana mkikosi wa kufa mtu, anatoa jiwe anaingiza jiwe.
Tulitegemea mtulinde mkaachia.
Jamaa siyo mchezo, ni kuomba bahati tu.
Lkn, Je Liverpool mtashinda mechi zote 8 zilizobakia hata kama Man City atapoteza au kusuluhu mechi 1wapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
EPL ni ngumu sana mwishoni, kuna timu zinatafuta top 4 na kuna zile zinakwepa kushuka daraja, zinakomaa sana yaani.