eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
Hayo yalimkuta Tores, morata, giroud na sasa higuani.Signing is gambling, kigezo cha kwanza cha kujua mchezaji ni mzuri ni takwimu zake, hayo mengine majaliwa
Tunatwaa kombe mkuu, Arsenal tunamrudisha Europa league10 days to go kabla hajaumia mtu London
Tunatwaa kombe mkuu, Arsenal tunamrudisha Europa league
Sidhani kama litatokea hiloMan City akikutikana na hatia na kupigwa Ban CL basi Arsenal atapata nafasi hata kama Mukimfunga EL
Chelsea ikiachana na sarri utakuwa ujinga wa mwaka kuwahi kutokea ChelseaKuna taarifa zinamuhusisha Sarri kujiunga Juve wao wamemalizana na Allegri.
Kwangu naona Sarri anatufaa sana ndio kwanza anaanza kushika moto na kasi inaanza kueleweka ila tu kuna mapungufu anayo nadhani anaweza kujirekebisha kidogo kidogo.
Kwangu naona abaki maana kuna watu washaanza kusema timu Apewe Lampard kitu ambacho ni mapema mno japo naye anaprove anaweza kuhandle vizuri timu yenye vijana. Ila kwangu naona ni mapema kumpa timu Lamps pia ni mapema kumuondoa Sarri.
Kati ya Timu ambayo ni innocuous kweny competetion ya Uefa ni Chelsea!!
Chelsea ikiachana na sarri utakuwa ujinga wa mwaka kuwahi kutokea Chelsea
Watu wa Liverpool bana, yaani umesahau ya kwako na Tottenham unafata ya Chelsea vs arsenalMkuu yani hapo umewatukana Chelsea tusi kubwa sana! innocuous????
Harmless?
Inoffensive?
Toothless tiger?
Headless chicken?
Legless tiger?
Hizo ni baazi ya tafsiri za tusi lako.. Kwa kiswahili tunasema Haina Madhara... Namuona Arsenal akichukuwa kombe kiboyaboya.
La ziada ni kuwa shabiki wa kweli maana ww ni mtu wa kuyumba na kusopport udhaifu kama aroon wa arsenalMimi nina mapenzi na Chelsea,
Mimi ni fans wa Chelsea
Muda sio mrefu naenda kuwa mwanachama kabisa
Una la ziada?
Mbona mi ni shabiki wa kweli na palipo na mapungufu nasema, kinachoonekana kizuri nasema piaLa ziada ni kuwa shabiki wa kweli maana ww ni mtu wa kuyumba na kusopport udhaifu kama aroon wa arsenal
Exactly!! Hii team Arsenal hana presha hata kidogo!!Mkuu yani hapo umewatukana Chelsea tusi kubwa sana! innocuous????
Harmless?
Inoffensive?
Toothless tiger?
Headless chicken?
Legless tiger?
Hizo ni baazi ya tafsiri za tusi lako.. Kwa kiswahili tunasema Haina Madhara... Namuona Arsenal akichukuwa kombe kiboyaboya.