Nenda kawaonyeshe arsenal maana niwenzenu mnabeba kombe Moja baada ya miaka 10Two of them are Chelsea's rejectors, One relegated from Hull City.
But both they Won CL
View attachment 1116211
Hii ndiyo raha ya kuichezea Liverpool
kitu kingine sturredge hajaona kipya hapo amechukua champions league na Chelsea kiufupi kawazidi wachezaji wengine wote wa Liverpool, maana kaanzia team ya kibabe inayochukua vikombe akiwa Chelsea kachukua epl europa euefa muongezeeni club bingwa dunia mtamuongezea kituTwo of them are Chelsea's rejectors, One relegated from Hull City.
But both they Won CL
View attachment 1116211
Hii ndiyo raha ya kuichezea Liverpool
Nenda kawaonyeshe arsenal maana niwenzenu mnabeba kombe Moja baada ya miaka 10
Aliondoka lampard na bado tukadunda, itakuwa hazard?Nyinyi msimu ujao mjiandae na relagation battle! Ukitaka kujua hilo toa goal+assist za hazard msimu huu halafu angalia mtakua wapi
Nenda kawaonyeshe arsenal maana niwenzenu mnabeba kombe Moja baada ya miaka 10
Hivi unadhani Pulisic angelikuwa mchezaji wa kiwango hicho Chelsea mungelimkutia Dortmund? Bayern wamuangalie tu?
Hata Klopp kumtaka Kote aliishia kueka dau £16m tu! Na Dortmund walipozikataa basi nayeye hakuongeza dau Bali aliachananae! Sasa mchezaji mwenye kuweza kuziba pengo la Hazard anfikishwa £16m?
Tena anaishia kuchukuliwa na Chelsea bila ya upinzani wowote?
Acha kujidanganya Pulisic ni wa kawaida tu.
kitu kingine sturredge hajaona kipya hapo amechukua champions league na Chelsea kiufupi kawazidi wachezaji wengine wote wa Liverpool, maana kaanzia team ya kibabe inayochukua vikombe akiwa Chelsea kachukua epl europa euefa muongezeeni club bingwa dunia mtamuongezea kitu
Kubeba Kombe baada ya kila miaka 10 ni bora kuliko kubeba Mickey Mouse cups zenu kila siku
Je kawazidi wa Chelsea wangapi kwa CL wakiwemo Hazard na Joginho?
Pia kawazidi legendary wengi kama sio wote wa LFC kwa EPL
Aliondoka lampard na bado tukadunda, itakuwa hazard?
Hazard ni mchezaji mzuri ila watakuja wazuri pia kama yeye au zaidi ya yeye
Nadhani uelewa wako umekuzuia kujuwa kuwa ukiachana na Real Madrid basi timu pekee nyengine yenye Legends waliobeba CL 4 na 3 ni Liverpool
Madrid kila MTU anajua ilimtegemea sana ronaldoUnanikubusha pale Washabiki wa Real waliposema Kuwa Kuondoka kwa Ronaldo hakutaathiri chochote Bali timu itaboreka.
Ukishapitwa na wakati utajitetea sana na team yenu yenye mafanikio ya youtube,mkisheherekea ubingwa leo mtarudi baada ya miaka 10 si ajabu EPL itabadilishwa jina mtatoka patupuKubeba Kombe baada ya kila miaka 10 ni bora kuliko kubeba Mickey Mouse cups zenu kila siku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haha hili tusi mkuu.Ukishapitwa na wakati utajitetea sana na team yenu yenye mafanikio ya youtube,mkisheherekea ubingwa leo mtarudi baada ya miaka 10 si ajabu EPL itabadilishwa jina mtatoka patupu
Yale ma uefa yenu mlobeba miaka ya tisini uko yatafanana na hili mlobeba juzi kweli?Kubeba Kombe baada ya kila miaka 10 ni bora kuliko kubeba Mickey Mouse cups zenu kila siku
Beba EPL ndo ubingwa wa heshima zaidi uefa ni game of chance tu ..Je kawazidi wa Chelsea wangapi kwa CL wakiwemo Hazard na Joginho?