Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Japo hana impact kubwa sana uwanjani lakini uwepo wake hasa kwa kipindi hiki ambacho timu itakua na ingizo kubwa la vijana anaweza kuwa funzo kubwa kwa hawa madogo. Wanasemaga kijiji hakikosi wazee, nasisi tunawahitaji watu kama hawa wenye experience na mechi kubwa pamoja na mashindano makubwa.Chelsea have reportedly turned down two bids for Brazil winger Willian
Sky Sports report that Barcelona and Atletico Madrid have both made offers of £35million for the 30-year-old.
But it is said the Blues have rejected both despite the possibility that Willian could leave for free next summer.
Hujajibu hilo swali hapoMnamizuka sana aisee....mnajua hali mtayokutana nayo??!!
Hapana Liverpool ni taasisi
Tunacheza kitimu
Barca kala 4-0 bila SALAH wala Firmino
Bayern kashindwa tufunga bila VVD
Anyway mtakuwa tena wa 4 sababu Man U na Arsenal bado ni "utumbo"
Ubingwa mbio ni wale wale,Man City vs Liverpool
Kwan umeuliza swali ganHujajibu hilo swali hapo
Ukiachana na kuwa shabiki wa Arsenal ni kitu gani kingine unaweza kufanya kuashiria haupo serius na Maisha?Kwan umeuliza swali gan
Sawa ss hatujui ila muda utaongea...Ukiachana na kuwha shabiki wa Arsenal ni kitu gani kingine unaweza kufanya kuashiria haupo serius na Maisha?
Sawa ss hatujui ila muda utaongea...
Tatizo u mgumu kukubaliana na hali ya klabu yako kwa sasa... Hazard, nani anatia presha kwenye klabu chenu cha pombe...mmebakiza tu walevi...so mtulie tukiwa tunaelekea msimu mpyaWalau siku hizi mnajibu kwa heshima.
Huyu kipa ni yupi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walau siku hizi mnajibu kwa heshima.
Unajua kilicho msaidia Zinedine akafanya vizuri pale Madrid? Wanasema bado heshima yake ya ulegend ni kubwa miongoni mwa wachezaji, hiyo heshima na mawasiliano mazuri kwa wachezaji ndicho kilichomsaidia kuexcellLuis Enrique kaachia ngazi Spain, kwa nini tusitembee naye huyu huyu. Mimi kwa Lamps bado sina imani kabisa.View attachment 1132171
Unajua kilicho msaidia Zinedine akafanya vizuri pale Madrid? Wanasema bado heshima yake ya ulegend ni kubwa miongoni mwa wachezaji, hiyo heshima na mawasiliano mazuri kwa wachezaji ndicho kilichomsaidia kuexcell
Lampard naye ni hivyo hivyo. Kwa sababu ya jina aliloliacha pale Chelsea, wachezaji wengi wa kizazi hiki bado wanamwona kama role model wao na kwa hiyo heshima ni kubwa. Hata kwenye bodi ya Chelsea heshima kwa Lampard ni kubwa kiasi kwamba watamsikiliza Zaidi tofauti na akina Sarri.
Enrique akija anaweza asisikilizwe na bodi pamoja na wachezaji na kwa hiyo akavurunbda kama wenzake waliopita
Mimi namuamini sana Lampard japo haina maana hatavurunda, ila kwa asilimia kubwa naona atatufaa hasa kipindi hiki cha BAN ili aweze kuwatumia academy na loan army. Hawa akina Enrique ni wagumu kubadilika, ni makocha waliozoea kufanya vizuri kwenye bajeti kubwa na wachezaji wakubwa. Sio unamuona hata PEP kabla hajaingia sokoni alikuwa wa kawaida tu
Tumpe Lampard nafasi ataweza