Minzimalulu
Member
- Jun 5, 2019
- 25
- 11
Goli3Sijajua kwanini mashabiki wa Chelsea wanamumchukulia poa pulisic wakati ni mchezaji mzuri Sana laiti mngekuwa mnangalia michuano za nchi zao zinazoendelea anachofanya pulisic huko msingemchukulia poa.Pulisic ni mchezaji mwenye skills,anauwezo wakukaba,ni pass master na pia anauwezo kucheza kwenye nafasi nyingi km no8,10,7 na 11.Hadi Sasa hivi ndio mchezaji anayeongoza kwa assist kwenye hii michuano yao ya bara la America ya Kati inayoendelea Ana assist 3 na goli 1 kwenye jumla ya mechi tatu na yeye ndio kampten wa USA.
Kwel kabisaChelsea’s squad is still stronger than Arsenal’s and Manchester United’s even without Eden Hazard,
says Tony Cascarino
“I think the squad is stronger than Arsenal’s and Manchester United’s even without Eden Hazard.
“N’Golo Kanté is one of the world’s best midfielders, Kepa Arrizabalaga is a talented young goalkeeper and Willian and new signing Christian Pulisic will be a threat to any team.”
KumbukiziHivi mimi peke yangu ndo naamini Chelsea itakuwa competitive msimu ujao 2019/2020?
Yaani nyuma una:
Emerson/Alonso | Luiz/Zuma Zuma/Rudiger | Azipillicueta/James Leece/Zapacosta
Kati una:
RLC/Barkley Kante/Kovacic Joginho
Kwenye attacking una:
CHO/Willian Giroud/Tammy Pedro/Pulisic
Alafu kuna watu wanadhani Chelsea iko level moja na Man U au Arsenal?
We need some few adjustments to lift a trophy this season.
Lampard kasema club haina target ya kuwa kwenye TOP 4 kwa sababu Chelsea tayari ni club ya top 4
Have you been set the target of the top four?
No they haven’t and they don’t need to. It is clear that we are a club that can be in the top four. I know the club and the standards. It where we need to be.
Mkuu kunguru huonekani jukwaani hapa
Liverpool tangu lini mkatusemea timu yetuJamie Redknapp: "The expectation will be to finish in the top four, but they've got to be realistic. There'll be moments in the season where it will be a struggle, because of the Hazard effect. If they were to finish in the top four that would be an amazing season."
Hicho kikosi mnapigwa vizuri sana
Man Utd mnamzidi idara ya kiungo tu kwa sasa hivi na tena muda wa kusajili badoChelsea’s squad is still stronger than Arsenal’s and Manchester United’s even without Eden Hazard,
says Tony Cascarino
“I think the squad is stronger than Arsenal’s and Manchester United’s even without Eden Hazard.
“N’Golo Kanté is one of the world’s best midfielders, Kepa Arrizabalaga is a talented young goalkeeper and Willian and new signing Christian Pulisic will be a threat to any team.”
Man Utd mnamzidi idara ya kiungo tu kwa sasa hivi na tena muda wa kusajili bado
Ila yeye amewazidi sana kwenye Forwards (Talented Martial, Pacy Rashford, Juan Mata, Flop but once world class winger Alexis Sanchez)
Defence ya Utd hiyo hapo chini ujionee mwenyeweNa pia defensively Chelsea ni bora kuliko Man U