Ni kweli, hiyo ni comment ya mashabiki waliovutiwa na uchezaji wakeTammy n mzuri ila 30+ ni mrefu kwa mchezaji yeyote EPL
Endeleeni kujidanganya na preseason.
Hata wakati amekuja Sarri walikuwa na maneno mengi tukawa hatusikii kitu yaan kila kona ni Sarri ball
Epl inakuja soon hapo tutabaini mbivu na mbichi
Kama ninyi mulivyomtukana Klopp hadi mkavurugana. Kukawa na liver FAKE na HALISI.Wataishia Kumtukana Alonso na Willian
Wewe ni fake au halisi mkuu?Wataishia Kumtukana Alonso na Willian
Chelsea mwaka huu kila mtu atajipigia tuuu...hta waliopanda daraja msimu huu... Hamna wachezaji wala kocha pale......subirini mtaniambia....!!!tena lampard anafukuzwa kabla ya mwezi desemba mi nawaambiaKama ninyi mulivyomtukana Klopp hadi mkavurugana. Kukawa na liver FAKE na HALISI.
Wewe dogo naona unajifunza kutumia mitandao, Hongera sanaChelsea mwaka huu kila mtu atajipigia tuuu...hta waliopanda daraja msimu huu... Hamna wachezaji wala kocha pale......subirini mtaniambia....!!!tena lampard anafukuzwa kabla ya mwezi desemba mi nawaambia
Huu muandiko unaashiria ugeni na kutoelewa anachozungumza na kutowajua anawaambia.Chelsea mwaka huu kila mtu atajipigia tuuu...hta waliopanda daraja msimu huu... Hamna wachezaji wala kocha pale......subirini mtaniambia....!!!tena lampard anafukuzwa kabla ya mwezi desemba mi nawaambia
''pole sana''unaonaekana una 18yearsChelsea mwaka huu kila mtu atajipigia tuuu...hta waliopanda daraja msimu huu... Hamna wachezaji wala kocha pale......subirini mtaniambia....!!!tena lampard anafukuzwa kabla ya mwezi desemba mi nawaambia
Mkuu hivi Ngwaba ameacha kuhesabu ngoja nimsaidieNakushauri usiache kuhesabu. Uendelee ivyo ivyo.
Msisahau kipindi hicho tuna Oscar, Hazard na Mata alikuwa ktk kiwango kizuri
Huyo hata nyumbani haruhusiwi kuangalia movie hadi uangalizi wa wazazi, hii internet aliyotumia sijui kaiba simu ya mama AU?''pole sana''unaonaekana una 18years
Mkuu hivi Ngwaba ameacha kuhesabu ngoja nimsaidie
Liverpool
- Win = 1 against Bradford City
- Draw = 1 against Sporting
- Lost = 2 against Dortmund and 10 men of Sevilla
Wataishia Kumtukana Alonso na Willian