Kwanza fikieni Mafanikio ya Arsenal ili muwe wakubwa ndani ya London ndiyo muanze kujadili nini maana ya Ukubwa.
Haya ni Maneno ya Willian baada tu Brazil kubeba kombe la Copa America
….. "Chelsea want to win titles. Every year Chelsea fight for titles - something important. This year was the same. To finish the season in this way is amazing. I think we did a great job."
Hii ndio mentality walionayo wachezaji wa Chelsea, "KIla mwaka lazima tugombee makombe"
Na hii inawasaidia kupata kombe kila msimu
Naona uko obsessed na kijana wa miaka 24 anayelipwa £192,000 Kwa wiki .. Get a life dudeKEPA LEO KALA KAMBA 3 KUTOKA KWA TIMU YA MCHANGANI
Sio maneno yangu ni maneno ya Rene Higuita golikipa pekee wa Colombia aliefanya ile best Scorpion kick save..
Anasema...
"The most expensive goalkeeper that Real Madrid can't buy, Arsenal don't see him, Liverpool don't even know if he exist and that's who chelsea go and robbed much more money on"
-
Kwa haraka haraka tu kepa ameruhusu magoli 95% ya zile air balls(mipira ya juu) zaidi hata ya degea tunaemuita m'bovu msimu uliopita.
Tafuta Pesa uache alama kwenye ukoo na familia yako sio kila siku unaandika maandiko ya kimasikini masikini ,hizo Pesa Chelsea walizotoa zinakuuma sana?umasikini utakumalizaKEPA LEO KALA KAMBA 3 KUTOKA KWA TIMU YA MCHANGANI