21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,309
- 2,861
Norwich mteja wetu mbona siku nyingi yuleBado nasema Norwich ni vibonde, pale ni Pukki tu mchezaji. Wamekutana na Chelsea inayopitia transition
Weakness kubwa ya Norwich ni kufanya silly mistakes hata Katika penalty box. Wafuatilie uwajue vizuri badala ya kuja na general remarks
Then why last season Mukamcritisize De Gea kwa kuconcede magoli mengi mpaka mukatamani Kepa awe Kipa Namba 1 wa Spain wakati mulijuwa kuwa ana beki Jones (Master of own goals) mbele Yake?
Huwa Criteria munaziona kwa wachezaji wenu tu?
Kwa timu nyengine everything is different?
Tumeshinda ila ukweli usemwe, performance ya leo ilikua mbovu.
Ila ushindi utasaidia kuboost morale ya wachezaji, wataendelea kupata kumfidance
Kipindi cha pili umekiangalia mkuu au ndo nyie mliokuwa mnaulizia link za kuangalia mpira?Tumeshinda ila ukweli usemwe, performance ya leo ilikua mbovu.
Ila ushindi utasaidia kuboost morale ya wachezaji, wataendelea kupata kumfidance
Wewe umeangalia?Uwe unaangalia mpira
Wewe umeangalia?
Chelsea leo tumecheza mpira vizuri hasa kipindi cha pili
Usitafute kichaka cha kujifichia
Then why last season Mukamcritisize De Gea kwa kuconcede magoli mengi mpaka mukatamani Kepa awe Kipa Namba 1 wa Spain wakati mulijuwa kuwa ana beki Jones (Master of own goals) mbele Yake?
Huwa Criteria munaziona kwa wachezaji wenu tu?
Kwa timu nyengine everything is different?
Kipindi cha kwanza tumeconcede 2 goalsTumeshinda ila ukweli usemwe, performance ya leo ilikua mbovu.
Ila ushindi utasaidia kuboost morale ya wachezaji, wataendelea kupata kumfidance
Nawapa moyo mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahahahahah umeshakimbilia Arsenal tayari.
Hiyo 54% ni overall ya dk 90Kipindi cha kwanza tumeconcede 2 goals
Possesion 48%
Kipindi cha pili hatujafungwa bali tuliongeza goli
Possesion tuliboost hadi 54%
Shorts 31 against 11
On target 8 against 5
Kona 8 against 1
Tuliwazidi idara zote except Chelsea walikuwa vulnerable defensively ambayo ilirekebishwa kipindi cha pili kidogo