Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hehee.. Umeshindwa kutaja timu yako hapo [emoji23][emoji23]
Mimi wewe natamani tucheze game zote hapo hapo kwenu na unakufa si chini ya goli nne,ZUMA naye ni beki??? PEPE Nani atamkaba kwa uozo uliopo hapo, nakukaribisha kesho uone wanaume wanavyocheza mpira.
 
Yule msenge badala ya kucheza faulo amzuie jamaa asipige cross apate yello...kachomesha...ufala mtupu!!
 
Mpira ni mchezo wa makosa. Tumedrop points 6 stamford bridge. Kwa timu za kawaida kabisa duuu
 
Mwaka huu Chelsea tutashuhudia ikirejea ilipotoka,nafas zake ni 10-15

Norwich & shefflied mmechukua point4,

Wolves, Leicester, westham, Burney,Watford, Everton


Mkikiwakazia hao ni droo au kipigo,

Top 6 mtawagawia WOTE point 4-6

Hivo mtaelekea nafas ya 10-15
 
Nashangaa watu wanalaumu kipa, nielewesheni katika magoli aliyofungwa leo, kosa lake liko wapi?
Mimi si shabiki wa Chelsea lakini naungana na wewe kuwashangaa hao jamaa
 
Hivi virusi vimerudi tena, ngoja ni update antivirus
 
Ni fedheha sana

Upo nyumbani

Unaongeza goli 2-0

Dhidi ya timu iliyopanda daraja

Halafu mwisho wa mechi score board inasoma 2-2

Unaishia kusema lakini tumeupiga mwingi kweli [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…