Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Courtois wa Chelsea siyo huyu wa Madrid
Tatizo aliondoka kwa jeuri darajani. Hakuwa na staha wala ustaarabu. Sasa hivi anataka ashirikiane na Kazard eamvute Kante. Sasa wanataka kuifanya Chelsea kama sale shop ya MadridHuyu jamaa maisha yake yanaweza kuwa magumu sana mbeleni.
Hapo kwa Ngolo Kante haiwezi kuwa rahisi kama walivyoondoka wao. Kwanza Kante amebakiza mkataba mrefu, itabidi iwatoke kama £300m ndio wamchukue kitu ambacho sio rahisiTatizo aliondoka kwa jeuri darajani. Hakuwa na staha wala ustaarabu. Sasa hivi anataka ashirikiane na Kazard eamvute Kante. Sasa wanataka kuifanya Chelsea kama sale shop ya Madrid
Hazard simlaumu kabisa kwa sababu at least yeye aliondoka kistaarabu ninaye muona nyoka ni Courtois kwa kuidharau timu halafu anashiriki kumshawishi Hazard waunganishe nguvu ili wamvute Kante Madrid. Jeuri imemponza sasa ivi hakuna anachofanya wanapiga migoli kama kipa wa U20.Courtoise na Hazard wanafuata nyayo za Coutinho
Coutinho ilikiwa kila Gazeti linalotoka Ulaya, Asia, America, Latin America na Africa basi utamkuta Front Page na anapewa jina la "Little Magician "
Akapiga mahesabuakahisi kwa anavyotajwa kuhusu ubora wake basi Akienda Barcelona atakuwa Mkali Zaidi na kufikia Level za kina MESSI, CR7 na NEYMAR na atabeba CL Msimu wake wa Kwanza na atabeba Ballon D'or.
Hatimae Coutinho sasahivi hata kwenye vigazeti vya Udaku Mwanasport na Dimba simuoni kitajwa.
Kapotea mazima wala hahesabiki tena kama ni miongoni mwa Top 20 best player in the World. Wakati yupo Liverpool alikuwa ndani ya Top 5.
Na huyu Hazard naona kashaanza kuzimika kidogokidogo! Yale mazoe ya kisikia jina lake kila wakati yameshaondoka
Perez ana njia nyingi za kushawishi yule.Hapo kwa Ngolo Kante haiwezi kuwa rahisi kama walivyoondoka wao. Kwanza Kante amebakiza mkataba mrefu, itabidi iwatoke kama £300m ndio wamchukue kitu ambacho sio rahisi
ndio lakini kwa Kante itakua tofauti kidogo Chelsea hawezi kukubali kirahisiPerez ana njia nyingi za kushawishi yule.
Daa mingi sana hiyo😀😀Baada ya kuanza ligi vizuri sasa Uongozi wa Chelsea wako kwenye mazunguzmo na Tammy pamoja na Fikayo Tomori kuhusu mkataba mpya wa miaka miatano
Timu ilihitaji overhaul lakini wao walipompata Hazard na Jovic wakaridhika. Too badHahahaha kuliko hazard aondoke Madrid bora Zidane afukuzwe. Hazard hajachuja namna hiyo kocha ameishiwa mbinu.
Keyboard hiyo haina heshimaDaa mingi sana hiyo😀😀
Hapo kwa Ngolo Kante haiwezi kuwa rahisi kama walivyoondoka wao. Kwanza Kante amebakiza mkataba mrefu, itabidi iwatoke kama £300m ndio wamchukue kitu ambacho sio rahisi
Duuuh! Hii ni hatari zaidi ya hatari, lakini hata hivyo Madrid bado ni kivutiio kwa wachezaji wengi.Naona Kama Humjui Perez wewe!
Kamuulize Mino Raiola ujanja wake wote kuwakaanga Man U tokea enzi za Fagi basi kakwama kwa Perez.
Perez akimkazia Kante basi moja kwa moja kwanza anatinga kwa Wazazi (Baba & Mama)
Akimaliza hapo anatinga kwa Mke/Girl Friend
Akimaliza hapo anatinga kwa Ndugu na Majamaa
Akimalizi hapo anakuja kwa marafiki wako wote
Akishamalizana na Hao anatinga kwako Mchezaji mwenyewe moja kwa moja.
Hapo unaanza kusikia Tafrani kutoka kwa wazazi, Ndugu, Jamaa na Marafiki kukishawishi kwa kila aina ya sifa uende Spain,
Then Media kila dakika upo Front page zinakuzungumzia kuhama.
At the sametime Wife/Girl fried anakuandama kila dakika "Baby I'm tired to Live at London" "Huu mji haunivutii hata" Let's go Madrid baby! Its a historic City"...
Siku ya pili asubuhi maneno muliyozungumza chumbani unayakuta kwenye Magazeti.
Baada ya Msimu mmoja Perez anakunasa kiulaini.
Ndio tunamjua huyo mzee ana mbinu za kushawishi na alifanikiwa kwa Hazard na Courtois kwa sababu Chelsea walikua kwenye presure ya kuwauza ikihofia wasiondoke free. Ila kwa Kante ni vigumu mbona Man u walifanikiwa kumbania kwa De Gea tena dk za mwisho, hata Chelsea hatashindwaNaona Kama Humjui Perez wewe!
Kamuulize Mino Raiola ujanja wake wote kuwakaanga Man U tokea enzi za Fagi basi kakwama kwa Perez.
Perez akimkazia Kante basi moja kwa moja kwanza anatinga kwa Wazazi (Baba & Mama)
Akimaliza hapo anatinga kwa Mke/Girl Friend
Akimaliza hapo anatinga kwa Ndugu na Majamaa
Akimalizi hapo anakuja kwa marafiki wako wote
Akishamalizana na Hao anatinga kwako Mchezaji mwenyewe moja kwa moja.
Hapo unaanza kusikia Tafrani kutoka kwa wazazi, Ndugu, Jamaa na Marafiki kukishawishi kwa kila aina ya sifa uende Spain,
Then Media kila dakika upo Front page zinakuzungumzia kuhama.
At the sametime Wife/Girl fried anakuandama kila dakika "Baby I'm tired to Live at London" "Huu mji haunivutii hata" Let's go Madrid baby! Its a historic City"...
Siku ya pili asubuhi maneno muliyozungumza chumbani unayakuta kwenye Magazeti.
Baada ya Msimu mmoja Perez anakunasa kiulaini.
Man u hana ubavu wa kuzuia mchezaji kwa Perez , man alichofanya alichelewesha paperwork kama sikosei ,muda ukaisha ,ila degea alishaelekea madridNdio tunamjua huyo mzee ana mbinu za kushawishi na alifanikiwa kwa Hazard na Courtois kwa sababu Chelsea walikua kwenye presure ya kuwauza ikihofia wasiondoke free. Ila kwa Kante ni vigumu mbona Man u walifanikiwa kumbania kwa De Gea tena dk za mwisho, hata Chelsea hatashindwa
kante ana akili yule hawezi kuwa mpuuzi hivyo.Tatizo aliondoka kwa jeuri darajani. Hakuwa na staha wala ustaarabu. Sasa hivi anataka ashirikiane na Kazard eamvute Kante. Sasa wanataka kuifanya Chelsea kama sale shop ya Madrid