Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Inatakiwa tuendelee kushinda hivi ivi mwanzo mwisho ..mpka Desemba tuwe angalau karibu au kumpita hii Liverpool ..awa wameshaanza kuchoka na uwezo tunao ..
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Southern unatangaza vita wakati una nyumba ya vioo?Omba ushinde kesho otherwise am coming hard to you.
Pulisic anarukaruka tu ,na lampard hamuelewi kabisaSajili zote za bei ghali Chelsea hukosea
Pulisic kacheza mechi ngap adi Sasa,nawaza mtu kama wewe unaejua mpira unamjudge mchezaji at mech sita ajafikisha , ata uyo pepe wenu bado ajaonyesha kitu chochote kipya ila ndo unaona pulisic hajui!?Pulisic anarukaruka tu ,na lampard hamuelewi kabisa
Kati ya Chelsea, Man u, Arsenal na Spurs, ni Chelsea ndio pekee yenye mwanga wa improvement. Kuna sehemu nilicoment kuwa huko tunakokwenda makossa ya Chelsea yanapungua to at least 15% wakati hao wengine makossa ni kati ya 20-35% na ndio kiama chao. Nilishasema Man U nafasi yao ya kugombea maana wanaweza kuikosa ni namba 6Hahaha ukiangalia ukimtoa liver na city hawa wengine wote hali zetu zinafanana so ukisema chelsea inahali mbaya vipi spurs,man utd, arsenal halinzao zikoje
Ndio kwanza tuko mechi ya 7 bado kuna mechi 31
Mark my word chelsea anaingia top 4
Swali ambalo sina jibu kwa nini kule Dotmund hakuwa anaanza na hata sub alikuwa akizipata chache?Chelsea fan boys tuwe na subira naomba tumuamini Lampard. Baada ya muda nadhani Pulisic ukifika muda atapata playing time ya kutosha na atatuprove wrong kwa Lampard kwa nini hamchezeshi sasa. Lakini siwalaumu ni kwa sababu hatujui knachoendelea training grounds na dressing rooms.
Klopp didn't play Fabinho after Liverpool signed him.. Look at Fabinho now
Pep didn't play Mahrez when he first came to City.
Even Laporte didn't play every game when he came to City.
On top of that Pulisic has played alot
32 minutes against Man United
70 minutes against Leicester
84 minutes against Norwich
90 minutes against Sheffield
90 minutes against Grimsby
And it is clear he hasn't adjusted to English football yet
Look at Hudson-Odoi
After long term injury
Back in team it has taken in 1 full game and 30 minutes in PL to show his quality.
PULISIC NEEDS TIME AND LAMPARD IS DOING THE RIGHT THING
Kwamba spurs kazidiwa na Chelsea? Huu utaniKati ya Chelsea, Man u, Arsenal na Spurs, ni Chelsea ndio pekee yenye mwanga wa improvement. Kuna sehemu nilicoment kuwa huko tunakokwenda makossa ya Chelsea yanapungua to at least 15% wakati hao wengine makossa ni kati ya 20-35% na ndio kiama chao. Nilishasema Man U nafasi yao ya kugombea maana wanaweza kuikosa ni namba 6
Arsenal na Spurs watagawana namba hizo mbili za 4 na 5. Sisi Chelsea tuna uhakika wa namba 3. Kama anachukia mwambie ameze wembe au ale pilipili wivu yake itapungua
Hahahahahaha ndotoKati ya Chelsea, Man u, Arsenal na Spurs, ni Chelsea ndio pekee yenye mwanga wa improvement. Kuna sehemu nilicoment kuwa huko tunakokwenda makossa ya Chelsea yanapungua to at least 15% wakati hao wengine makossa ni kati ya 20-35% na ndio kiama chao. Nilishasema Man U nafasi yao ya kugombea maana wanaweza kuikosa ni namba 6
Arsenal na Spurs watagawana namba hizo mbili za 4 na 5. Sisi Chelsea tuna uhakika wa namba 3. Kama anachukia mwambie ameze wembe au ale pilipili wivu yake itapungua
Rochdale AFC kikosi kizima kina thamani ya £2.23 mil. lakini Kimeruhusu goli moja(1) tu! old Trafford
.
Kepa tuliyemnunua kwa thamani ya £71.6 mil. alikung'utwa goli zake nne(4) safi! Old Trafford
.
Umegundua nini?View attachment 1218654
Pulisic kacheza mechi ngap adi Sasa,nawaza mtu kama wewe unaejua mpira unamjudge mchezaji at mech sita ajafikisha , ata uyo pepe wenu bado ajaonyesha kitu chochote kipya ila ndo unaona pulisic hajui!?
Kati ya Chelsea, Man u, Arsenal na Spurs, ni Chelsea ndio pekee yenye mwanga wa improvement. Kuna sehemu nilicoment kuwa huko tunakokwenda makossa ya Chelsea yanapungua to at least 15% wakati hao wengine makossa ni kati ya 20-35% na ndio kiama chao. Nilishasema Man U nafasi yao ya kugombea maana wanaweza kuikosa ni namba 6
Arsenal na Spurs watagawana namba hizo mbili za 4 na 5. Sisi Chelsea tuna uhakika wa namba 3. Kama anachukia mwambie ameze wembe au ale pilipili wivu yake itapungua
Hahaha wakikujibu au hata ww ukipata jibu nitag mkuu.....Swali ambalo sina jibu kwa nini kule Dotmund hakuwa anaanza na hata sub alikuwa akizipata chache?
Kwamba spurs kazidiwa na Chelsea? Huu utani
Kati ya Chelsea, Man u, Arsenal na Spurs, ni Chelsea ndio pekee yenye mwanga wa improvement. Kuna sehemu nilicoment kuwa huko tunakokwenda makossa ya Chelsea yanapungua to at least 15% wakati hao wengine makossa ni kati ya 20-35% na ndio kiama chao. Nilishasema Man U nafasi yao ya kugombea maana wanaweza kuikosa ni namba 6
Arsenal na Spurs watagawana namba hizo mbili za 4 na 5. Sisi Chelsea tuna uhakika wa namba 3. Kama anachukia mwambie ameze wembe au ale pilipili wivu yake itapungua
Jamaa lina mahaba balaa[emoji23] [emoji23][emoji23]
Kila shabiki ana mahaba na timu yake ,na ni kawaid kweny mpiraJamaa lina mahaba balaa
Kaanza yeye kutangaza mimi nimemuhakikishia.Unatangaza vita sio?
Hudson Odoi tayari analingana assist na Pepe. Sijui wamecheza dakika ngap?Southern unatangaza vita wakati una nyumba ya vioo?
Sancho alimuweka benchi. Pulisic ni mchezaji mzuri ni swala la muda tu. Sitaki kuamini uwezo aliouonyesha timu ya taifa ulikua wa muda.Swali ambalo sina jibu kwa nini kule Dotmund hakuwa anaanza na hata sub alikuwa akizipata chache?