Hapo wamepoteza game moja tu baad ya muda mrefu kupita. Sas msimu wa xmass ndo huwa wanapotea kabisa humu yaan timu shabik wake wanaroho ndogo sana. kuna mwingine hapa mtaa kunakipind mpk akajifanya anashabikia Barca yaan habar za Chelsea alikua hatak kbs juz ndo karud chelsixYaani hili jukwaa mapema yote hii limedorola sasa ngoja tupige vuruguView attachment 1270989
Mwaka jana alikuwa wapi huyo De Bryune tulipombikiri Man City 2 - 0 ?Zeru zeru anapenda kutuonea sana. Kila tukikutana lazima hatufanye nyama. Jamaa ana hasira na chelsea [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nakiri kwamba this round hatutafunga timu kubwa. May be next round tukafanya wonders
Comeonchelsea
Vipi aliyezungushwa kanzu na Willian, ulikuwa una makengeza hadi hukumuona? [emoji56]Hivi yule aliyefinywa akaserereka 1km then KDB akatia msumari ni nani mkuu?
Hahahahaaaaaa
Siyo kila mechi anafaulu kuichezea, mbona mechi ya Liverpool hakuonekana?Aisee zeruzeru nimepa credit, huyu jamaa ana nguvu ya farasi. Akikamata mpira anapiga bullet muda wowote
Ushajisahaulisha nawe kuwa ulishawahi kulambwa 6 - 4 na Arse8 tena chini ya Arsene Wenger hadi usijiite mwenyewe Liversix? [emoji1787]Hapo wamepoteza game moja tu baad ya muda mrefu kupita. Sas msimu wa xmass ndo huwa wanapotea kabisa humu yaan timu shabik wake wanaroho ndogo sana. kuna mwingine hapa mtaa kunakipind mpk akajifanya anashabikia Barca yaan habar za Chelsea alikua hatak kbs juz ndo karud chelsix
Hapo wamepoteza game moja tu baad ya muda mrefu kupita. Sas msimu wa xmass ndo huwa wanapotea kabisa humu yaan timu shabik wake wanaroho ndogo sana. kuna mwingine hapa mtaa kunakipind mpk akajifanya anashabikia Barca yaan habar za Chelsea alikua hatak kbs juz ndo karud chelsix
Ng'olo Kante mwaka jana aliwanyuka Man City katika kumbikiri 2-0 na mwaka huu tena kawalamba Man City, usijitekenye huku unacheka mwenyewe we kilaza [emoji3]Zeru zeru anapenda kutuonea sana. Kila tukikutana lazima hatufanye nyama. Jamaa ana hasira na chelsea [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nakiri kwamba this round hatutafunga timu kubwa. May be next round tukafanya wonders
Comeonchelsea
Remember yourself [emoji23]Hapo wamepoteza game moja tu baad ya muda mrefu kupita. Sas msimu wa xmass ndo huwa wanapotea kabisa humu yaan timu shabik wake wanaroho ndogo sana. kuna mwingine hapa mtaa kunakipind mpk akajifanya anashabikia Barca yaan habar za Chelsea alikua hatak kbs juz ndo karud chelsix
Remember yourself [emoji23]Hapo wamepoteza game moja tu baad ya muda mrefu kupita. Sas msimu wa xmass ndo huwa wanapotea kabisa humu yaan timu shabik wake wanaroho ndogo sana. kuna mwingine hapa mtaa kunakipind mpk akajifanya anashabikia Barca yaan habar za Chelsea alikua hatak kbs juz ndo karud chelsix
Mwaka jana alikuwa wapi huyo De Bryune tulipombikiri Man City 2 - 0 ?
Kama si kuwashwa washwa ni nini hasa kinachokutesa rohoni mwako? [emoji1787]
Alikuwa injured
Hata pochetino hatoweza, ukitaka kuamini subiri Bayern wamchukue!Ohoooo kwahiyo tumchukue pochetino?
Conte, allegri, na wengine wa calibre hiyoKwahiyo unamtaka kocha gani?
Mkuu mbona povu sasa kulikoni?Ushajisahaulisha nawe kuwa ulishawahi kulambwa 6 - 4 "2003" na Arse8 tena chini ya Arsene Wenger hadi usijiite mwenyewe Liversix? [emoji1787]
Duh kwel humu wamejaa watoto wa form2 .Remember yourself [emoji23]View attachment 1271244
Duh kwel humu wamejaa watoto wa form2 .
Mpk huu ujinga wa carling cup unaweka
Chelsea is no longer the big team in Europe,
Tutapigwa na kila timu ambayo iko serious
kuna watu wanaamini tutabadilika tukianza kusajili, msijidanganye
Tatizo la timu ni kocha(kocha amepewa timu kubwa wakati ana mentality ya kufundisha timu ndogo, hii ndio sababu tutaendelea kuzishinda timu ndogo tu, ila timu kubwa zitatuadhibu kila siku)
Shida ni Lampard anaeamini hadi sasa tammy anaweza kuifunga Liverpool na man city wakati batshuay yupo.