Kiongozi, Newcastle walijiandaa kujilinda kama ilivyo timu ndogo. Nidhamu ilikuwa ya hali ya juu. Mechi kama hizi timu ikikataa kufungwa inatakiwa na sisi kujiadhariPoleni wana CHELSEA wenzangu.
Rudger + Keppa wasilaumiwe kabisa. Kama team imemiliki mpira dk 90, zimepigwa corner 10 hakuna goals tutegemee nini zaidi ya kufungwa. Mechi Ingetakiwa iishe 4-1, 3-1, 2-1.
Matatizo ya team yetu yanaonekana waziwazi, quality ya mchezaji mmoja mmoja tunafahamu. Siwezi kulisemea hilo last time nilisema nikaambiwa naongea bila kutumia akili.
Hakuna marefu yasiokuwa na ncha. Muda ni mwalimu mzuri.
Let's go blues.
Sent using Cash Money Wings
Hasira tunazihamishia kwako jumanne utaisoma nambaHahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
HEEEEEEEEEEEEWEWeeeeeeeeeeeeeeee
Haaaaaaaaaaaaaaaàaaaaaãaaaaaaaaaaaasaasaaaaaaaaaaaaaaa
Yamepigwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ndo shida hatujawahi kuwa mshambuliaji mvivu anae haribu chances za kufunga kama AbrahamTam Abraham anafanya nini Chelsea ??yaani
Hapana ukweli nikwamba hapo tulipo ni miujiza tu tunahitaji 'ball makers' kwenye team kuna haja ya kununua wachezaji wenye uweze na uzoefu wajuu ili hao wakina Mount Abraham Odoi prisic wajifunze la sivyo tutatandikwa sanaa kama ArsenalTimu yetu ina homa ya kupanda na kushuka, jumanne tutafanga washika bunduki
Kocha hatuna, hata aje messi kw ubaguzi wa kocha na nilishasema hapa top4 tutaisikia kwnye bomba kama kocha hataacha ubaguzi. Kuna vitu tunashindwa kuelewa tupo top4 sababu man u, Tot na Arsenal hawapo vizuri ila si sababu kocha ni mzuri hapana.Kama uliangalia game ya Brighton basi utajua kwann Kovacic yupo benchi...
Sent using Jamii Forums mobile app
POLE MTANI KWA KIPIGO CHA JANA MPIRA UNACHEZA WEWE ILA KIPIGO UNAAMBULIA WEWESwali ni kwamba Lampard anataka kusajili au hana mpango wa kusajili anaendelea kujenga team kwa msingi wa academic players?
Mi sioni kama Lampard atasajili kwa siku 11 zilizobaki dirisha lifungwe
Sent using Cash Money Wings
Kocha hatuna, hata aje messi kw ubaguzi wa kocha na nilishasema hapa top4 tutaisikia kwnye bomba kama kocha hataacha ubaguzi. Kuna vitu tunashindwa kuelewa tupo top4 sababu man u, Tot na Arsenal hawapo vizuri ila si sababu kocha ni mzuri hapana.
Hakuna game y chelsea inayonipita, ila mi sio mzuri wa kuweka kumbukumbu, kw hiyo game moja ndio linafanya mchezaji anakuwa mbaya, game ngapi abraham anaboronga? anakosa magoli halafu anacheka cheka tu.........mesi ni game zote anafanya vizuri?
Kw hiyo ndio mana anamweka bechi, barclay hajawahi kuzingua game hat moja? ngoja tuone na ndugu zake hao akina barcley labda top4 tunaweza kutoboa.