juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Yoye inawezekan but itadepend na perfoance ya utd na tott vile vile na performanc ya chelsea if performanc ikirudi kama ile ya mwanzo madogo waliyokuwa nayo naamin watamaliza top 4
Sio rahisi namna hiyo. Hata timu Tajiri kama Real Madrid, Barcelona hawafanyi hivyo kwa mkupuo.Nahis fl atasafisha wote ambao hawana potential kule mbele atakae baki ni tammy na new no 9 atakaekuja willian na yeye mpaka sasa bodi bado inasita kumpa mkataba kule nyuma nahisi alonso na emerson wataondoka
Pedro na yeye ataondoka
Nategemea summer tutakuwa active sana kwenye transfer
Nahisi hii ni last chance board
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuwez sajil wakat kepa na tomori wanatosha[emoji23]Hahahaaaaaaaa jifariji....sasa mliappeal ile ban ili muuze au mnunue?
Aiseeeeh sijawahi kuona watu vigeugeu kama watu wa hiki kikundi chenu cha madalali ....
Mlipopigwa ban mlikuja kutuambia kuwa FL anajenga timu kupitia vijana wa academy na mkaomba ban iongezwe ili mzidi kuintroduce wachezaji nyota.
Mkafikia hatua ya kumuona Keppa ni zaidi Allison na Tomori na Zouma deluxe ni zaidi ya VVD,Abraham ni zaidi ya PEA so haina haja ya kusajiri.
Mlipofunguliwa ban mkaja na mitetesi ya kina Coulibary,Sancho n.k
Leo timu haihasajiri mnalaumu na kumtupia lawama FL jamani jamani dah....
Mshajisahau hahahahaaaa,muwage na KUMBUKUMBU.
HAYA SASA JISHIKE MIKONO KICHWANI KISHA SEMA BYE BYE BIG 4.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba najipa poleMzee mawazo ya UEFA yaondoe. Focus plan za msimu ujao.
Sent using Cash Money Wings
Wachezaji wa 5 sio kazi ngumuSio rahisi namna hiyo. Hata timu Tajiri kama Real Madrid, Barcelona hawafanyi hivyo kwa mkupuo.
Kuna sheria za usajili zinaweka limitation nyingi tu.
Timu nzima lazima hawa wabaki
KIPA
MABEKI
- Kepa 50/50
KATI
- Rudiger
- Christiansen
- Azpilicueta
- Tomori
- Kourt Zouma
- Reece James
MBELE
- Kovacic
- Jorginho
- Kante
- RLC
- Mount
Msimu wa kiangazi watakaoongezeka wakizidi ni watano tu
- Willian
- Tammy Abraham
- Odoi
- Christian Pulisic*
Watakaotoka
- Kipa
- Winga
- Striker
- Kiungo mshabuliaji
- LB
- Giroud - free
- Batshuayi - mnada/mkopo
- Pedro - free
- Barkley - mnada/mkopo
- Alonso - mnada/mkopo
- Emerson - mnada/mkopo
- Kepa - 50/50 anaweza uzwa
Manager kepa leo kaanzia njeee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Pep msim wake wapili alisajil wachezaj km 5 hivSio rahisi namna hiyo. Hata timu Tajiri kama Real Madrid, Barcelona hawafanyi hivyo kwa mkupuo.
Kuna sheria za usajili zinaweka limitation nyingi tu.
Timu nzima lazima hawa wabaki
KIPA
MABEKI
- Kepa 50/50
KATI
- Rudiger
- Christiansen
- Azpilicueta
- Tomori
- Kourt Zouma
- Reece James
MBELE
- Kovacic
- Jorginho
- Kante
- RLC
- Mount
Msimu wa kiangazi watakaoongezeka wakizidi ni watano tu
- Willian
- Tammy Abraham
- Odoi
- Christian Pulisic*
Watakaotoka
- Kipa
- Winga
- Striker
- Kiungo mshabuliaji
- LB
- Giroud - free
- Batshuayi - mnada/mkopo
- Pedro - free
- Barkley - mnada/mkopo
- Alonso - mnada/mkopo
- Emerson - mnada/mkopo
- Kepa - 50/50 anaweza uzwa
Manager kepa leo kaanzia njeee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app