Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

3-4-3 na 3-4-2-1 ni mfumo ule ule sijui kwanini huwa wanaandika tofauti

Yeah! Ni mfumo ule ule ila nadhani unaandikwa 3-4-2-1 ili kuonesha kuwa hao watatu wa mbele, mmoja wao anasogea mbele kidogo na wawili wanacheza nyuma yake wakiwa wamefinya uwanja

Nadhani ni ili kurahisisha tu mtu kuelewa haraka kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…