computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,040
HahahahahahaTunazikia hapa hapa stanford tumeona kusafirisha hadi allianz gharama sana.
Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakao jitokeza kwa waombolezaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp bado hamjawa nyuma kwa hizo3?Ingekuwa ni Kepa tungekuwa nyuma kwa goli 3-0
Tunaenda kuvunja tangaSasa Allianz Arena mnaenda kufanya nini wakati mazishi yamefanyika Stamford bridge??? Nawauliza humu wana London wenzangu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee mule muleDhahama inakuja
Serge Gnabry
Robert Lewandowski
Acha niishie hapa kwenye hizi NNE.
Tukisema tunaonekana wabaya.Tukutane saa 5 mkuu.
Zikipungua sana leo basi ni 3.
HahahahahahaUnajipitisha pitisha mbele ya wanaume umevaa kanga moko imelowa unatikisa wowowo kwanini usiliwe mtungo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmelambwa ngapiIla jua kwamba Chelsea sio Kama team yako Arsenal