Wewe ulisimikwa mkono mzima. Kina Bellerin na Ox wanacheka cheka tu.naona vitoto vya chelsea vimeshikishwa ukuta usiku nusu naona,hahahaaaaa tena bila hata kukukuruka yaani inaonesha dhahiri vilivyokuwa vizoefu wa hiyo michezo,yaani vimetulia tu wanaume wanaweka.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana chelesea wenzangu huyu tumkumbushe au tumuache hivi? Naona haijui Chelsea vizuri. Kijana kabla hujaongea kitu uliza kwanza.Tena nyinyi mnapigwa kipigo cha mbwa koko na bayern hii ya vitoto?
Je mngekutana na wale wazee Robben na Ribery si mngepigwa mchakae...
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali ya mimi nilirusha miguu ,sikupigwa kiboya kama wewe....unasimikwa mizinga unatulia tu kuonesha ndio kawaida yakoWewe ulisimikwa mkono mzima. Kina Bellerin na Ox wanacheka cheka tu.Wana chelesea wenzangu huyu tumkumbushe au tumuache hivi? Naona haijui Chelsea vizuri. Kijana kabla hujaongea kitu uliza kwanza.View attachment 1369424
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda London ya mbagala kibulugwa ndio blue, kule mkienda mtapigwa 7 kabisa na red card juuHivyo vitoto vya Arsenal vinafurahia kwa sababu vyenyewe vilishindwa kwetu so kufanya ivyo vinahisi vinatukasirisha. Wakati huo huo wao wanasahau walishikishwa ukuta usiku mzima.
London is always blue.[emoji838][emoji838][emoji838]
Sent using Jamii Forums mobile app
London is blue timu gan ya London in kombe la uefa au ueropaLabda London ya mbagala kibulugwa ndio blue, kule mkienda mtapigwa 7 kabisa na red card juu
Always London is red
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ndilo tatizo la kubishana na watu waliotoka vijijini ndanindani, kwani kuwa na UCL ndio tija? Nottingham forest Wana UCL 2 kuliko wewe wako wapi Sasa?London is blue timu gan ya London in kombe la uefa au ueropa
Msimu huu timu gan imemfunga Chelsea from London
Wewe ulgongwa nje ndani. Tulia mimi shughuli bado haijaishaAfadhali ya mimi nilirusha miguu ,sikupigwa kiboya kama wewe....unasimikwa mizinga unatulia tu kuonesha ndio kawaida yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha afadhali. Bao ni bao tu liwe chafu au safi. Usitafute sympathy kwa kusema uafadhaliAfadhali ya mimi nilirusha miguu ,sikupigwa kiboya kama wewe....unasimikwa mizinga unatulia tu kuonesha ndio kawaida yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Lampard level yake sio kocha wa kuifundisha Chelsea. Hana mbinu yeyote, unafungwa goli la kwanza unakalisha mapumb...., goli la pili unaendelea kukalisha mapumb...., badala ya kusimama na kuhamasisha wachezaji na kuwapanga, linaingia goal la tatu bado umekalisha mapumb..... yule mchezaji joginho ni kiazi sana hana hadhi ya kuichezea Chelsea kabisa anatupotezea muda aondoke. Barkey na mount level ya ni kucheza Burley sio chelsea. Yule Abraham jana angetakiwa awe nyumbani anaangalia mechi kwenye tv ovyo kabisa kichwa panzi. Chelsea kurudi kwenye ubora wake Lampard lifukuzwe.
. match ya jana Chelsea ata angefanyaje asingeweza kushinda kuna match lampard anazingua ila kwa match ya jna ile ilkuwa nzito kwakeLampard level yake sio kocha wa kuifundisha Chelsea. Hana mbinu yeyote, unafungwa goli la kwanza unakalisha mapumb...., goli la pili unaendelea kukalisha mapumb...., badala ya kusimama na kuhamasisha wachezaji na kuwapanga, linaingia goal la tatu bado umekalisha mapumb..... yule mchezaji joginho ni kiazi sana hana hadhi ya kuichezea Chelsea kabisa anatupotezea muda aondoke. Barkey na mount level ya ni kucheza Burley sio chelsea. Yule Abraham jana angetakiwa awe nyumbani anaangalia mechi kwenye tv ovyo kabisa kichwa panzi. Chelsea kurudi kwenye ubora wake Lampard lifukuzwe.
Chelsea ya sasa hiv hakuna mchezaj hakuna mchezaji yyt creativunapanga middle wote unashindwa hat kupata goli moja hakuna cha akina cotinho timu haichezi kwa kujitoa na moral
huyo amekimbilia ChinaWakuu mazishi lini?? Wanasafirisha au wanazika pale pale the bridge??
Ollachuga wapiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitegemea chelsea january isajili wachezaj wa 5 ambao huwezi wapataUwezo wa kufikir unaingiaje hapo sasa.....Timu nyingine si zilisajir dirisha dogo... Au ndo njia ya kupotezea swali.... Narudia Hadi January mlifungiwa kusajiri?
Lampard ajiuzulu ukocha uwezo wake mdogo kuifundisha chelsea, ametuingiza kwenye marekodi mabaya stanford bridge. Kocha gani huna mbinu, hajui kupanga kikosi, mmbaguzi, wachezaji wanacheza kwa juhudi zao binafsi, kocha hana mvuto. Rubbish kocha kuwahi kuifundisha Chelsea. match ya jana Chelsea ata angefanyaje asingeweza kushinda kuna match lampard anazingua ila kwa match ya jna ile ilkuwa nzito kwake
Bayern kacheza with more than six experienced uefa players tena matured players unatgemea Chelsea angeshinda
Lampard level yake sio kocha wa kuifundisha Chelsea. Hana mbinu yeyote, unafungwa goli la kwanza unakalisha mapumb...., goli la pili unaendelea kukalisha mapumb...., badala ya kusimama na kuhamasisha wachezaji na kuwapanga, linaingia goal la tatu bado umekalisha mapumb..... yule mchezaji joginho ni kiazi sana hana hadhi ya kuichezea Chelsea kabisa anatupotezea muda aondoke. Barkey na mount level ya ni kucheza Burley sio chelsea. Yule Abraham jana angetakiwa awe nyumbani anaangalia mechi kwenye tv ovyo kabisa kichwa panzi. Chelsea kurudi kwenye ubora wake Lampard lifukuzwe.
Yamekuwa haya tena ?Lampard ajiuzulu ukocha uwezo wake mdogo kuifundisha chelsea, ametuingiza kwenye marekodi mabaya stanford bridge. Kocha gani huna mbinu, hajui kupanga kikosi, mmbaguzi, wachezaji wanacheza kwa juhudi zao binafsi, kocha hana mvuto. Rubbish kocha kuwahi kuifundisha Chelsea
Me siwez mlaumu lampard coz hamna wachezaji wowote wale ambao utasema wangeweza badilisha mchezoLampard level yake sio kocha wa kuifundisha Chelsea. Hana mbinu yeyote, unafungwa goli la kwanza unakalisha mapumb...., goli la pili unaendelea kukalisha mapumb...., badala ya kusimama na kuhamasisha wachezaji na kuwapanga, linaingia goal la tatu bado umekalisha mapumb..... yule mchezaji joginho ni kiazi sana hana hadhi ya kuichezea Chelsea kabisa anatupotezea muda aondoke. Barkey na mount level ya ni kucheza Burley sio chelsea. Yule Abraham jana angetakiwa awe nyumbani anaangalia mechi kwenye tv ovyo kabisa kichwa panzi. Chelsea kurudi kwenye ubora wake Lampard lifukuzwe.
Kova jana alijitahidi sana, kiazi jog mpira ukamshinda hamna kitu mchezaji wa ovyo sana halafu anakwenda kumfokea refa halafu ana kadi ya njano akapewe nyingine anakosa mechi ijayo, quality ya wachezaji wa chelsea ni poor poor na kocha uwezo wake ni poorest sijui alipataje kazi Chelsea anaivuruga timu arudi huko derrbyThiago alcantara kawapoteza jorginho na mwenzie Suleiman Kova ,
Kaufanya mpira uwe rahisi kama ngono
Bwana mdogo kutoka Canada , Alphonso Devies , winger machachari , Sasa hivi anakula fullback miaka 19,
Aliwafanya kitu mbaya sana
Gnabry home boy alikuwa atoke na hattrick anawangoja Alianz Arena