LONDON IS BLUE
Senior Member
- Feb 26, 2020
- 106
- 129
Upo sahihi kabisa!! Mi naona hawataki kukubaliana na ukweli uliopo kuna maana gan una dominate Mpira wenzio wakienda mbele tu imo
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaandikwa AzpilicuetaLet's go Blues
4-3-3
Mount - Giroud - Willan
Kovacic - Joginho - Barkely
Azipuleta - Rudger - Christensen - James
3-4-3
Mount - Giroud - Barkely
Alonso - Kovacic - Joginho - James
Rudger - Christensen - Azipuleta
Sent using Cash Money Wings
Wametoka kwa goli la ugenini bora arsenal timu yao kidogo imeimproved ila defence ndo inawaangusha walicheza mpira mzuri tuHivi Arsenal bado wako kwenye ile mashindano ya Futuhi au kashanyolewa?
Kwa hiyo ile mechi ya pili n ya 3 dhid ya man utd,free kick ya rashford ni counter hiyo ilizoa goal ilikuwa counter,penalty aliyofanyiwa djames dhid ya alonso ilikuwa counter attackMECHI YA 1 NA MAN U - TUMEFUNGWA MAGOLI YA COUNTER LAMPARD HAKUJIFUNZA
MECHI YA 2 NA MAN U - MAGOLI YA COUNTER LAMPARD HAKUJIFUNZA
MECHI YA 3 NA MAN U - MAGOLI YA COUNTER LAMPARD HAKUJIFUNZA MECHI
MECHI NA BAYERN - MAGOLI YA COUNTER
KOCHA GANI SASA HUYU ASIYEBADILISHA WALA KUBORESHA MBINU ZAKE?
NDIO MAANA NAMUITA KIAZI NA ATAFUKUZWA TUU UKOCHA AMEUVAMIA.
Uhuru wa kutoa maoni mzee....hata ukitaka kusema Klopp out sawa tu,cha msingi uwe na sababuKwa hiyo namim nikisena arteta out nitakuwa nimekosea sidhan tangu amekuja ameshafika mech 5 za ushindi kweny premier league
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umetolewa kinyesi na bavarian alafu unakwenda ktk jukwaa la wanaume kupeleka harufu ya nya....Unatatuliwa marinda na Olympiacos af unakuja kupiga umbea kwenye jukwaa la wanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasa....leo mpo na bourna boys...kama kawaida yenu hahahaaaaUpo sahihi kabisa!! Mi naona hawataki kukubaliana na ukweli uliopo kuna maana gan una dominate Mpira wenzio wakienda mbele tu imo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mchungu kumeza mtamu kutema kudadadekUkiongea ukweli unachukiwa. Dah! haya maisha sio kabisa.
Mnaanza kujadili arsenal london king mnaacha kujadili mkusanyiko wenu wa walevi....Hivi Arsenal bado wako kwenye ile mashindano ya Futuhi au kashanyolewa?
Yaani kufananisha Bavaria na Olympiacos ni sawa na kufananisha Mkuu wa majeshi na Mgambo wa jiji.Wewe umetolewa kinyesi na bavarian alafu unakwenda ktk jukwaa la wanaume kupeleka harufu ya nya....
Hahahahaaaaaa kaa utulie kijana
Sent using Jamii Forums mobile app