Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Well played Chelsea
FT Chelsea 2 Liverpool 0
Man of the match Gilmour
Kepa naye leo kacheza akiwa na nidhamu ya hali ya juu sana
 
Yule dogo anajua sana

Chelsea huwa mna makinda wazuri ,ila kuwatunza hamjui


Dogo Jana kafanya balaa pale katikati ,fabinho kapotezwa sana


Billy Gilmour ,mtoto anajua namuona mech ya pili sasa

Lamps ampe nafas sasa anawazid wengi tu hapo Chelsea
 
***** wewe si ulikua unasema akicheza huyo dogo Gilmour timu inazidiwa. Leo unajitekenya nini na kucheka mwenyewe fala ww.

Wewe ni mbuzi mtu, huna akili
 
Dah kama nilijua tu..

Nmetisha

#CFC[emoji170][emoji170]

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi niliangalia wote
Defence jana ilikuwa very solid. Kama kuna second man of the match basi angekuwa ni kipa Kepa.
Liverpool muda mwingi walipasiana kwenye goli lao, final third ya Chelsea waliingia kwa nadra sana.
Pedro alikuwa na speed nzuri ila hakuwa na maamuzi mazuri
Sub ya kocha jana ilikuwa nzuri, alikuwa sub huru moja tu ya James badala ya Giroud, sub za willian na kovacic za majeruhi. Naomba yale majeruhi yawe ni madogo tu.
Kwa habari ya Gilmour anaweza fikia kiwango cha Kante akipewa nafasi
 

Nani kapata chenga za mauzi huyo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…