Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kovacic kaumia mzee next mech anaweza asicheze kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani usipomsaport mtu anakufa au? we unafikiri watu wapo hapa sababu y kusaportiwa na ww? Acha ushamba.
Fikiria kwa mapana zaidi kijana. Maana yangu mimi kusema ivyo ni kuhamasisha watu kutoa hoja zao bila kejeli wala matusi na siyo kama wewe ulivyofikiri. Hatujuani tumekutana humu ivyo kwa chochote tunachofanya hatujui kina efect gani kwa watu wengine nikimaanisha kuna watu wazima na watoto humu.

Try to be a lesson to others you dont know.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda mwingine unakuwaga na busara sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii game niliona kabla kuwa mna uwezo wa kushinda kutokana na form mbovu ya Liverpool. Na sio ubora wenu.

Bado mpo vulnerable sana upande wa ulinzi, tusubiri game ya Everton mtarudi humu kutukana mabeki wenu.
 
Mfano sijui media haziwaoni hawa Zinchenko na Foden wa Man City. Nawaza hawa watoto kwa viwango vyao wangekua wanacheza London au Man Utd zingewaandama mno. Media zinawaharibu wachezaji wengi sana. Angalia Declan Rice, Januzaj, Michu sa ivi wamekua wa kawaida mno. Atleast Januzaj alipoenda Spain ndio anajitahidi kurudisha kiwango.
 
Ahaahahahah sawa mkuu,naona ganda la ndizi mnaseleleka tu ,aiseeeh nyinyi vitonga kweli yaani tobo atoboe mwingine(sisi Watford) nyinyi mmepenya fastafasta....
Mungu anawaona

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaa... Watford lishakua chama lako.

Lampard aliwahi kusema kazi yake ni kuangalia mapungufu ya timu pinzani then yeye anatumia mapungufu hayo kama sehemu ya kutokea. Kibongo bongo kwa lugha nyepesi tunaita UNAPIGA KWENYE MSHONO. Ndio anachofanya Lampard jana hakubahatisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahhhh mkuu,mbona Watford ni chama langu kitambo mzee???
Lamps angekuwa mtu wa kusoma hayo mapungufu basi angepata walau sare kwa Nyumbu.....
Hapo akubali tu kuwa amepiga chabo kwa Watford anaserereka kitonga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…