juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
We jamaa kitu nilichogundua unashindwa kubishana kwa hojaWE HUJUI KITU BENDERA FUATA UPEPO MITANDAONI.
We jamaa kitu nilichogundua unashindwa kubishana kwa hoja
Unda hoja sio umcriticise mtu kwa kutumia hash language
Weka hoja subir mtu ajib hoja yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni pasua kichwa, wakati wewe unajitahidi hata kuweka mtiririko na evidence yeye anajumlisha maandiko hata bila kuyasoma na kucriticiseWe jamaa kitu nilichogundua unashindwa kubishana kwa hoja
Unda hoja sio umcriticise mtu kwa kutumia hash language
Weka hoja subir mtu ajib hoja yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho wa siku wewe ni mbuzi tu asiye na akili hata kidogoSINA MUDA WA KUMJENGEA HOJA HUYO ZUMBUKUKU, NI KUPOTEZA MUDA TUU. KILA SIKU ANAKUJA KINYUMENYUME NDIO MAANA NASEMA MAMLUKI HUYU, COPY & PASTE HABARI ZA MITANDAONI.
Nani anakulazimisha kusoma maandishi yangu wewe kasuku mjingaSINA MUDA WA KUMJENGEA HOJA HUYO ZUMBUKUKU, NI KUPOTEZA MUDA TUU. KILA SIKU ANAKUJA KINYUMENYUME NDIO MAANA NASEMA MAMLUKI HUYU, COPY & PASTE HABARI ZA MITANDAONI.
Well said broUkisema Mamluki unakosea.
Mdau lembu amekuwa akijitoa sana kutu-update yanayohusu club yetu, amekuwa akituletea data, stats mbalimbali katika nyanja tofauti tofauti.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Lembu kusema James ameshuka kiwango ana sababu zake akirefer kauli za kocha na data za perfomance ya mchezaji mechi baada ya mechi.
Kama wewe unasema James hajashuka kiwango njoo na viambatanisho kusupport point yako.
Vile vile kama frequency yako na mdau flani haziingiliani sio lazima umqoute kuepusha haya malumbano.
Lampard ambaye ni mpenzi mkubwa wa Willian anamsukuma bosi mkuu ampe Willian mkataba wa miaka mitatu ili abakie Chelsea msimu ujao.
Oblak bei ilikuwa imesimama. yaani tungelipa €90m mpaka €100m...Chelsea yangu bana wakati wanatoa £80M kwa KEPPA hawakumuona Oblak
Shabiki asiyejua mpira utamjua tu kwa namna anavyodakia mada
Mchezaji kushuka kiwango ni jambo la kawaida wala sio la kushangaa na kuanza kutema maneno magumu
Tumeshuhudia mara nyingi hata wachezaji wa class ya juu kama akina Messi viwango vinapanda na kushuka
ukimchukulia mchezaji mmoja mmoja wa Chelsea hakuna hata mmoja ameenda mfululizo na kiwango kile kile, aidha safari hii imepanda au safari nyingine imeshuka, kuanzia kwa makipa, mabeki, viungo na washambuliaji. Sasa mimi leo kusema Reece James kiwango chake kimeshuka kidogo wala sio sana nashambuliwa sijui mpira
Na ndio maana mchezaji kama Alonso kiwango chake kilishuka muda mrefu tangu Enzi za Sarri mpaka Emerson akampiku, au tumeshasahau. Leo hii Alonso amekuwa hot cake kwa sababu kiwango chake kimepanda na cha Emerson kimeshuka. Muda mrefu kiwango cha Pedro kilishuka mpaka wengi humu tukasuggest aondoke muda wake ukiisha,, leo kiwango kimerudi maoni tofauti. Mount kiwango chake kinashuka kinapanda tena yeye ndio kiwango kinabadilika hapa na hapa. Tammy Abrahama alipokuwa anatumbukiza vizuri alisifiwa sana, leo form yake imedrop mpaka anaambiwa hajui mpira. Mimi naamini hakuna mchezaji ambaye yuko immune na kiwango kushuka au kupanda na kama yupo mniambie. Wanachotofautiana wachezaji kwenye viwango kushuka au kupanda ni
Sasa hata Lampard aliyesema kiwango cha Reece kimeenda chini katika wiki za hivi karibuni hajui mpira??
- Lini (When)
- Itachukua muda gani (How long) na
- Kiwango cha kushuka au kupanda (Degree of dipping)
Lampard anaendelea kusema kuwa hata Desemba mwaka jana kiwango cha Reece kilishuka kidogo akaamua kumpa break na kwa hiyo hata hii break ya sasa sio ngeni.
Reference hii hapa: Lampard’s Reece James decision lost in Billy Gilmour hype
wee kepa alitubena europa penaltyChelsea yangu bana wakati wanatoa £80M kwa KEPPA hawakumuona Oblak
Mpira bila mashabiki haunogi kabisa. Ni kama watu wako mazoezini. Trna hata mazoezi huwa yanavutia sababu ya kelele n.k.Kuanzia sasa mechi zote za EPL zitachezwa bila mashabiki. View attachment 1385372
Wewe ni T.??Hao ni pasua kichwa, wakati wewe unajitahidi hata kuweka mtiririko na evidence yeye anajumlisha maandiko hata bila kuyasoma na kucriticise
Nakumbuka nikiwa pale chuo kikuu miaka ile ya 90's++ kulikuwa na migomo mingi iko engineered na vijana wanaosoma uhandisi. wakishaona mitihani imewajia kushoto wanazua migomo holela. Mara boom limechelewa, mara boom halitoshi na sababu kedekede ili tu waanzishe. Siku moja dean alipokuja pale kwenye square ya migomo kutoa taarifa kuwa boom limehsaingia kwenye akaunt alipomaliza tu, wakadakia wale wa kucritizise huku wakisema HATUTAKI, HATUTAKI!!
Huyu LONDON IS BLUE na ile id yake nyingine ni type ile ile, hata uandike point namna gani, yeye bila kusoma na kuelewa ni kukashfu tu na kucriticise
Uyo Dogo yuko vizuri lakini Jorghihno ana nafasi yake aise ..sio guarantee ya moja kwa moja kumtoa legendary kama uyo kisa uyo dgo..ni mapema sanaTuwe serious. Joginho hawezi kukaba mara nyingi huwa anasababisha fouls wakati huyo dogo anakaba kwa nidhamu sana.
Pia hata kwenye kupandisha mashambulizi, Dogo yupo vizuri kuliko Joginho.
Kama akiwa na consistent Joginho tutamsahau nakuambia.
Unless km huangalii match.
Sent using Jamii Forums mobile app
Morata ci alirudisha hela?MORATA MORATA MORATA WHY ulikula mshahara wa bure Chelsea?