Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Kuhusu injuries nadhani wote wamepona kinachohitajika ni match fitness ukizingia hii likizo ya miezi miwili kikawaida itachukua muda kwa wachezaji kurudi physically na mentaly ambapo kwa huu muda mpaka ligi kuanza nadhani Lampard benchi lake watalifanyia kazi.The BLUES tumepoa sana, tumezubaa sana kwenye ushangiliaji wa timu yetu.
Au tunaendelea kuchangilia matukio after match kama kawaida yetu.
Mwenye taarifa za wachezaji wetu atupatie:-
1. Waliopona injuries
2. Kikosi kimejipangaje kumalizia mechi zilizobaki.
3. Tetesi za usajili n.k
Mzee hii nini?................. Werner................
Sancho......Pogba...............Ziyech
...........Kovacic.......Kante............
Azipicueta.... Rudger....Christen....James
Kwa Pogba kirusi hatutakiwi hata kujipa mahope[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pale unapojipa mahope
Hata namkubali sana kimpira yuko vizuri lakini tabia nyingine za kwake zinaathiri wachezaji wengine hasa hiki kipindi ambacho Lampard bado anajenga timu haitakua vyema atokee mchezaji aanze ku feel superior kuliko wengine. Hatutafanikiwa kabisaHahaha[emoji23] jamaa namkubali sana kwenye kuassist.
Jamaa kaiangamiza Man U kweli kweli,Juve tu ndio inamfaa kwa sababu kule kuna wazee wasiodanganyikaHata namkubali sana kimpira yuko vizuri lakini tabia nyingine za kwake zinaathiri wachezaji wengine hasa hiki kipindi ambacho Lampard bado anajenga timu haitakua vyema atokee mchezaji aanze ku feel superior kuliko wengine. Hatutafanikiwa kabisa
Kama ataenda Juve anaweza fanya vizuri sana. Hawezi kuleta upuruzi mbele ya Bonucci, Ronaldo au Pjanic.Jamaa kaiangamiza Man U kweli kweli,Juve tu ndio inamfaa kwa sababu kule kuna wazee wasiodanganyika
Hapa tumepigwa huyu ni morata alie changamka
Mechi 40 goli 31 bado unakuwa na wasiwasi?Hapa tumepigwa huyu ni morata alie changamka