juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Dakika 5 za nyongeza jorginho hakuwepo ?Acha kutetea upuuzi, game la leo limekua gumu sababu ya ubaguzi wake. Jog hakutakiwa kuanzia benchi! Mambo gani haya naangalia gemu nimebana mapu. mbu mpk sahiz pu. mbu zote zinauma.
Ile penalt y pili aliona noma tu kumkatalia drogba, ila lengo lake ilikua rooney ndio achukue kiatu.
Huwezi ukaweka maslah ya mtu mbele badala ya timAcha kutetea upuuzi, game la leo limekua gumu sababu ya ubaguzi wake. Jog hakutakiwa kuanzia benchi! Mambo gani haya naangalia gemu nimebana mapu. mbu mpk sahiz pu. mbu zote zinauma.
Ile penalt y pili aliona noma tu kumkatalia drogba, ila lengo lake ilikua rooney ndio achukue kiatu.
Game ilikuwa tushaitawala lakin baada ya palace kupata goal ambao halikutegemewa likawafanya warudi mchezoniMzee Hawa jamaa walituwin kwasababu dogo gilmour alishindwa kucontrol mpira Kati ndio maana jamaa waliapata upenyo wa kutushambulia lakini Kama jorginho angeanza tangia mwanzo mpira Mara nyingi ungekuwa kwetu so why nimeongea hivyo.
upo sahihi watu wana chuki binafsi ata kipind aanza watu baado wanlalmk waingeleza wanabebwaHuwezi ukaweka maslah ya mtu mbele badala ya tim
Issue za individual huwa zinakuja pale malengo ya tim yanapokuwa yashakamilika
Ni sawasawa mpo dk ya 90 penalt imepatikana unahis utampa drogba kisa anagombania gb hapana lazima uumpe pt wenu
Sasa kwanini unaweka avatar ya kike wakati wewe Ni mwanaume?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],kiume chief naona picha hiyo imekuvuruga.
Halali muende kuparty maana miaka 30 bila epl crown ni kitambo Sana, lakini sisi Chelsea epl crown ushakuwa uwanja wa nyumbani tunaamua tu mwaka upi tuchukue na upi tusichukue.Ile Party ya Ubingwa (Liverpool) si ndo hii sasa. Ni pale Mercury Park Magomeni siku ya Jmosi tarehe 11/7/2020, ataliwa ng'ombe mzima buuureee. Tutakunywa supu, tutachoma nyama na kula pilau kwa ushiriki wa Jezi yako tu. Kama uko Dar ndiyo fursa sasa. Thibitisha Ushiriki wako kwa kunitumia jina lako kupitia 0716109169 ama 0755057229.View attachment 1500852
Sababu ya kwanza, Matic na Fabregas hawapo tena ChelseaKuhusu LAMPARD binafsi nimeshindwa kutenganisha madhaifu ya mbinu za kocha na aina ya uchezaji wa wachezaji tulionao.
Kwa mfano tangu Lampard atue Chelsea katika eneo ameshindwa kuliorganize ni viungo wa timu.
Ukiangalia kwa makini Chelsea pale katikati kama kuna kamuunganiko, kambinu, kaubunifu flani kanakosekana nyuma [emoji3591][emoji3594] mbele.
Njia panda yangu inapokuja kwamba kwa idadi ya viungo wengi tulionao ni kocha ameshindwa kuwapanga na kuwatumia au hawa viungo tulionao viwango vyao ni duni kutekeleza maelekezo ya kocha.
Badala ya deliver 90% au 100% ya maelekezo ya mwalimu, wao wanadeliver 50%
Najaribu kuvuta picha kile kiungo cha:-
Matic - Kante - Fabrigas
Mbona hichi kiungo kilikuwa very organized na stable kuliko kiungo cha sasa hivi.
Au Kovacic, Jognho, Barkely, mount hawajafikia ubunifu wa matic, na Fab au Lampard ndio ameshindwa kuwaorganize hawa jamaa na kupelekea hapo katikati kuwa dhaifu?
Umeongea point ya maana sana. Kukopsekana kwa mchezaji muhimu mmoja anaweza kuwafanya wengine wasicheze vizurifarb alikua level kubwa sana ngumu sana kumpata kiungo aina ya farb Man untd wanesuffer same consequences kbla hajaja bruno now wako stable coz Bruno ankuoffer more than other middles
Same to Tottenham nao wanapitia changamoto
Huwez mlaaumu kwa wachezaji kutokuw na consistence unkut leo viungo wamcheza vzr but viungo haohao wancheza ovyo gemu inayofuata
Kingen kiungo anawez kuonekan mzur kutokana na timu inayo mzunguk
Mfano pogba Alkuw anaonekan amedrop before Bruno but now ana shine io ikichangiwa na forwads walio nao
Wanfanya timu pinzan msifunguke wao ndo wanatawala mchezo na viungo apo wanaonkn
Lazima utumie akili za kawaida tu, Chelsea ni sawa na Man city au Azam hapa bongo[emoji23][emoji23]
Haina na haijawahi kuwa na mashabiki wa kweli especially huku Tanzania,wengi ni wale walioletwa na upepo wa kisulisuli kutoka katika timu mbalimbali walizokuwa wanashabikia baada kupitia kipindi kigumu mfano Liverpool,Man utd na Arsenal[emoji41] vishabiki vya chelsea vingi ni vitoto visivyokuwa na uvumilivu na vinafki, yaani sawa na mwanamke anayeishi na mwanaume kutokana na pesa na pindi mwanaume anapochalala vinatafuta dume lingine,
Usaliti haujawahi kumuacha mtu salama,
Aliyekuwa shabiki wa Chelsea kabla ya Mourinho ajitokeze hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haka katimu kakipotea kila nguchiro atarudi katika kichaka chake[emoji41][emoji851]

Tatizo mkiwa hamjui kitu mnadhani hakipo. Nipo Chelsea toka 1995, nilikuwa nampenda sana Ruud Gullit, usajili wake toka Sampdoria ndio ulinileta darajani. Kingine kilicho nivutia ni uwepo wa weusi wengi na soka la burudani, miaka hiyo timu ilikuwa inachexa soka la kuburudisha japo halikuwa na mafanikio ya kujivunia, tulianza kuonja raha ya mataji nyakati za kocha Gullit na msaidizi wake "kocha mchezaji" Gianluca ViariLazima utumie akili za kawaida tu, Chelsea ni sawa na Man city au Azam hapa bongo[emoji23][emoji23]
Haina na haijawahi kuwa na mashabiki wa kweli especially huku Tanzania,wengi ni wale walioletwa na upepo wa kisulisuli kutoka katika timu mbalimbali walizokuwa wanashabikia baada kupitia kipindi kigumu mfano Liverpool,Man utd na Arsenal[emoji41] vishabiki vya chelsea vingi ni vitoto visivyokuwa na uvumilivu na vinafki, yaani sawa na mwanamke anayeishi na mwanaume kutokana na pesa na pindi mwanaume anapochalala vinatafuta dume lingine,
Usaliti haujawahi kumuacha mtu salama,
Aliyekuwa shabiki wa Chelsea kabla ya Mourinho ajitokeze hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haka katimu kakipotea kila nguchiro atarudi katika kichaka chake[emoji41][emoji851]
Punguza kiherehere mkuuTuache unafiki, nyie si ndio kila siku mnasema Jor kama hawezi kucheza pembeni auzwe!!! Kuhusu benchi nadhani hii kila siku nasema humu Lampard ana Uingereza mno na ndicho kitakacho muharibia. Kumbuka ile penalti alimzingua Drogba akaenda kupiga yy wakati Drogba alikuwa kwenye bio za kuwania kiatu cha dhahabu. Alifanya hivyo sababu ya Uingereza ili rooney achukue kile kiatu lakin bahati nzuri haikuwa hivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23]wazoee hao ndio mashabiki lialia wa chelseaNimeitwa kipere na kiumbe kutoka Igurusi. [emoji16][emoji16][emoji16]
Chelsea are winning 3-2 against Crystal Palace. In the 95th minute, Christian Benteke is through on goal and on the verge of scoring. Out of nowhere comes Kurt Zouma to make the tackle of the season.
Pure class 👏👏
Kama hayupo Auba hiyo ni batiliTeam of the week 34
Goalkeepers
Defenders
- Ben Foster
- Emiliano Martinez
Midfielders
- Cesar Azpilicueta
- Serge Aurier
- Kyle Walker
Forwards
- Bruno Fernandes
- Willian
- Kevin De Bruyne
- Michail Antonio
- Harry Kane
- Jamie Vardy
Yuko benchiKama hayupo Auba hiyo ni batili
Wacha uongo wewe[emoji23] taja hiko kikosi cha watu weusi.....umetoka zako wikipedia huko [emoji24][emoji24][emoji24]Naipenda Chelsea toka 1995, aliyesababisha niipende ni Ruud Gullit, nilikuwa namkubali sana huyu Mdachi, nilihama naye toka Sampdoria
Tatizo mkiwa hamjui kitu mnadhani hakipo. Nipo Chelsea toka 1995, nilikuwa nampenda sana Ruud Gullit, usajili wake toka Sampdoria ndio ulinileta darajani. Kingine kilicho nivutia ni uwepo wa weusi wengi na soka la burudani, miaka hiyo timu ilikuwa inachexa soka la kuburudisha japo halikuwa na mafanikio ya kujivunia, tulianza kuonja raha ya mataji nyakati za kocha Gullit na msaidizi wake "kocha mchezaji" Gianluca Viari
Ubao?Jana umepigiwa pasi mpka huruma, pole sana. View attachment 1501008