Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Acha kujitoa akili kuna mchezaji asie uzwa??
Kila mchezaji anaweza kuuzwa ndio,ila tunaangalia possibilities za kuuzwa..huwezi kuropoka tu kuwa tumsajili VVD aje kuchukuwa namba ya Zouma that simple

Angalia target ambazo ni rahisi..
 
Jana hata giroud angeenza bado tungefungwa kwa zile beki zetu, beki yetu imekuwa mbovu sana tulitegemea rudiger akirudi kutoka injury ukuta utakaa sawa kumbe ndio kama hali imezidi vile.

Tim yetu sahiv hakuna wapambanaji na viongozi ndani ya tim. Tunafungwa magoal ambayo tuna fail kuclear
 
Sijui Lampard anampendea Nini Abraham? Si niliwaambia wadau lazima Leo atamuanzisha Abraham na kweli Abraham leo kaanza, hiv Lampard anapataje jeuri ya kumuweka benchi Giroud ambaye yupo kwenye form ya Hali ya juu?
Kwakweli Kati ya siku aliyonichukiza lampard ni Jana, how comes anamuanzisha Abraham ambaye recently amekuwa mbovu kupita kiasi!, Halafu giroud ambaye fuko form last kafunga goli na assist hivi lampard anatupeleka wapi Jamani.

Of course team ilicheza vibaya game ya Jana but Giroud alikuwa anahitajika Sana mwanangu, hapa Nina hasira Sana nikimuona lampard muda huu namtafuna haki ya mungu☹☹☹☹
Previous games nilikuwa nasita kusema kuwa lampard hafai kufundisha Chelsea but kwa game ya Jana naomba aondolewe tu si kocha mzuri..naomba aondoke na waingereza wake wote aisee🤨🤨🤨
 
Kwani lamp kuna mchezaj yyt aliyemsajil. Hatuna tim kwa sasa huo ni ukweli ambao hatutaki kuukubali. Kwa tim tuliyonayo kuna matokeo yakija hupaswi kushangaa.

Msim uliopita tulimaliza top 4 kwa uwezo binafsi wa hazard na tulihitaj kusajil bahati mbaya tukapigwa ban
Tim imejaza mid table player
 
Wanaume (Manchester United) hatuna utani na wavulana (Chelsea). Mnalazimisha kuwa level moja na; Arsenal na Liverpool.
ManU ndio mnalazimisha kuja nafasi za vigogo wakati level zenu ni namna sita. Yaani mpaka VAR iwabebe...

Jikumbushe penati mliyozawadiwa badala ya kadi...

 
Acha komenti za kimburura we unafikiri umewazidi akili waliomuweka pale afundishe
 
*Mipango kazi ya united*

Zilibaki point tano tukamtuma kocha wetu wa zamani David Moyes akawalamba tatu Kama jezi Yao ilivyoandikwa[emoji23]3
Zikabaki point 2 tukamtuma Wilfred zaha kijana wa nyumbani alielelewa katika mikono salama ya babu Alex Fergie akafanya kazi yake Ila kipa hakua vizur akaruhu goli tatu wakatoka na ushindi wa goli 3 kwa mbili [emoji848]tukamuuliza zaha vp kijana wetu ? Akasema "Mimi nimefanya kazi mlionituma"nimemtungua kepa Alizabuliwaga shida kipa wetu ndio karuhusu wao kufunga "

Tukasema kumbe tatizo kipa?

tukamcheki kijana wetu Dean hunderson tukamwambia "Dean umekula Sana ugali wetu na kukomba masufuria ya ukoko hapa OT Sasa hakikisha wale wajinga hawakufungi hata goli moja [emoji41] akasema sawa wakuu mi nitafanya kazi yangu hawatogusa nyavu na kazi iliyobaki nitamuachia "kipara"UCHEBE" atamaliza [emoji23][emoji23][emoji23]
Basi jezi Yao ikajibu maombi wakala 3 bila

*NB .namalizia ukitaka kuifunga Chelsea kirahisi wewe weka neno united kwenye jina la timu yako ,west ham united , sheffield united ,Newcastle united wanaiogopa*
 
Timo Werner ni Alvaro Morata aliyechangamka [emoji23][emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…