Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Bila kumsahau Kocha, Lampard hafai kuifundisha Chelsea hafai kabisa.
So bro hapo ulikuwa unategemea kuwa miracle itatokea kwa kikosi tulichonacho msim huu

Gap btn chelsea ya sasa na tim kubwa ulaya ni kubwa na haliwezi kufikia ndani ya msim mmoja tu

Ilimchukua Klopp almost 4 years kama sijakosea liverpool kuwa kama hiv

Chelsea yetu bado inahitaji overhaul ya kutosha
 
Injury prone

Halaf labda awe kwa ajili ya short term plan
 
Kuna kipindi niliona lampard akimtaka shay given aje kuwa kocha wa makipa sijui hata iliishia wapi
 
Kw kepa hapana ujue kuna kipindi man utd defenc yao ilikuwa mbovu lakin de gea akaonesha ubora wake

Sisi kwetu defenc mbovu kipa na yeye anashindwa kuonesha ubora wake


Wale wakina tomori na zouma wanahitaji kucheza na cb like koulibaly ambae anaweza kuwacommand wakiwa ndani ya uwanja

Kule nyuma tunamhitaj kiongozi
 
Waliosababisha Willian avimbe shingo na akatae mkataba wa miaka miwili wa Chelsea ni Arsenal na nawahakikishia Arsenal itakuja kuwabumbia siku moja msimu ujao na mtakuja kujua kuwa vya bure vinaua.
Hata hivyo mtamsajili SUB mzuri sana
Waache hawamfuatilii Willian wameamua kumeza bomu wacha likafumue utumbo na spinal cord zao akili ziwakae vizuri.

Hakuna mchezaji aliye juu ya club
 
Mwachie huyo anafuata mkumbo, angekuwa kocha mandazi Chelsea ya mwaka huu ingekuwa inagombania mid table kama Arsenal
Mwambie kuwa Lampard yuko kwenye kinyang'anyiro cha kuwania kocha bora wa msimu kama hajui
  1. Jurgen Klopp
  2. Frank Lampard,
  3. Brendan Rodgers
  4. Chris Wilder
Those coaches were nominated after leading their clubs in stellar campaigns

Kumpigia kura Lampard wetu nenda hapa
Select your 2019/20 Barclays Manager of the Season
 
Waache hawamfuatilii Willian wameamua kumeza bomu wacha likafumue utumbo na spinal cord zao akili ziwakae vizuri.

Hakuna mchezaji aliye juu ya club
Willian ni baba wa familia. Anaipenda familia yake kuliko career yake.
Hawajui siri ya Willian kuforce mkataba wa miaka mitatu na uzee huu ili akishapewa akale kuku kwa mrija
Hawajui kuwa ugomvi mkubwa kati ya Willian na Sarri ni muda wa mazoezi.
 
Waliosababisha Willian avimbe shingo na akatae mkataba wa miaka miwili wa Chelsea ni Arsenal na nawahakikishia Arsenal itakuja kuwabumbia siku moja msimu ujao na mtakuja kujua kuwa vya bure vinaua.
Hata hivyo mtamsajili SUB mzuri sana
Mbona mnalialia hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmekuwa kama wale vyura,
 
Mkitaka msiguse hata top 6 mwakani muondoeni zouma kwenye timu yenu, jamaa anawasaidia sana
 
Lampard yupo busy tu kununua strikers na midfielders wakati tuna matatizo makubwa sana kwenye eneo la ulinzi. Andreas Christensen, Reece James, Kurt Zouma na Emerson sio viwango vyetu kabisaa
 
Lampard yupo busy tu kununua strikers na midfielders wakati tuna matatizo makubwa sana kwenye eneo la ulinzi. Andreas Christensen, Reece James, Kurt Zouma na Emerson sio viwango vyetu kabisaa
Acha uboya mtoe zouma kwenye list yako hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…