Mashabiki wengi wa Arsenal wanamatatizo ya afya ya akili hata uwezo wao wa kufikiri umepungua sana,kilichosababisha ni stress za miaka mingi zilizochangiwa na timu yao kufanya vibaya kila msimu wa epl, ndo maana wengi wao wamekuwa walevi wakupindukia.Mmeshindwa kumdhalilisha akiwa na 60% wachezaji wa academy mtamdhalilisha akisha sajili?
Goli la tatu kapewa na Ederson, la pili ndio kafunga vizuri ila naona ni Goal Hungry Striker na ni far better than TammyWERNER - DEMBELE - ZIYECH
Hapo vipi?
"The End of an Era is the Beginning of a New Era"Chelsea mpya inaundwaView attachment 1538801
Kupata kituko kama hiki tubonyeze ngapi mzee?Hatuwezi kuwakataza kuchukua wachezaji kwa sababu mnaowachukua ni wale waliokwisha kimawazo na uwezo. Kwa hiyo nawaambia hata Azpilicueta anaelekea mwisho wa mpira wake njooni baada ya msimu ujao mumchukue. Namaanisha mnaoweza kuwachukua ni wale wanaoelekea ukingoni mwa soka lao siyo hawq chipukizi.
Lakini kwa wachezaji ambao wanajielewa hawezi kukubali kutoka Chelsea eti aende Arsenal [emoji23][emoji23] yatakua maajabu ya karne.
Wewe unajidhalilisha tu hapa, [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23]Umesikia ujio wa Havertz tu? Halafu Mount unayemdharau kawazidi karibia kila kitu Kipepe na Lacazete.
Ila wewe ndio unajua kuliko fundi Pirlo?Hahahaaaa.. sijasema ni mchezaji mbaya ielewe statement yangu.
Hata ivyo Pirlo na Juve yake haimaanishi ndio wanaojua wachezaji wazuri na wabaya.
WanaCheisii wenzangu Kumuweka KEPA sokoni kwa sasa ni sawa na kwenda kuuza biblia Saudi ArabiaMashabiki wengi wa Arsenal wanamatatizo ya afya ya akili hata uwezo wao wa kufikiri umepungua sana,kilichosababisha ni stress za miaka mingi zilizochangiwa na timu yao kufanya vibaya kila msimu wa epl, ndo maana wengi wao wamekuwa walevi wakupindukia.
Exactly, umesema miaka miwili kwa sababu ya uzee, angekluwa na 20's tungempa hata minneKupata kituko kama hiki tubonyeze ngapi mzee?
[emoji38][emoji38][emoji38]
Hivi mlivyokuwa mnambembeleza asign miaka miwili mlikuwa hamjui kuwa kaisha mawazo na uwezo?
NB: ukiwa na hasira usijitutumue kuongea unawaaibisha timu ndogo wenzako? Yaani waliopo ktk technical staff ya Chelsea pale London wamestruggle kumshawishi jamaa asinye miaka miwili ila wewe uliopo vigwaza unamuona Willian hana uwezo,
Uwage na stamala na aibu.
FakeChistophe Lollichon huyu baba ndie scout wa magolikipa katika Club ya Chelsea na ndiye aliyemscout kepa kule Spain kwa muda wa miezi mitatu(3) na akijiridhisha
.
bidhaa yake aliyotuletea [emoji1484]
.
kwenye mashuti kumi na nne (14) ya mechi sita (6) EPL zilizopita kepa amefanya save tatu(3) tu [emoji855]
.
kwenye mechi kumi na tisa(19) za ugenini EPL msimu huu kepa amepata clean sheet moja(1) tu [emoji1]
.
Anashika nafasi ya 22 kati ya magolikipa wa team 20 za EPL ikiwa ina maana kepa halinganiashwi tena na magolikipa wa first eleven [emoji17]
.
MPAKA HIVI SASA JAMAA HAPOKEI SIMU ZA TAKUKURUView attachment 1538855
Nyie wazee wa kula 8 kama barca mnakelele kinyama, timu yenyewe mbovu, ukijitahidi sana msimu ujao labda uingie top 6 🤣 🤣 🤣Mbeleko ipi huna uwezo tu, afu kibaya huna kocha km Manyumbu tu. Yani msimu ujao Gunners hapa Auba, pale Willian, pale Partey kule Pepe haaaahaaa! unakufa nje ndani hatuna cha kupoteza [emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe timu gani?,Timu yako imeshinda taji gani this season?Nyie wazee wa kula 8 kama barca mnakelele kinyama, timu yenyewe mbovu, ukijitahidi sana msimu ujao labda uingie top 6 [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Umeshinda taji gani? Mpira ni makombe zingine mboyoyo tu, Spurs kamaliza nafasi nzuri kuliko Arsenal lakini itambidi acheze play off ili atuachie nafasi vidume wa London tuingie direct [emoji3][emoji3]Kinachoshangaza badala ya Arse8 kwenda kubishana na mid table teams wenzake (wolves, sheffied utd nk) anakuja kutusumbua wazee wa top 4.
Sisi tunatakiwa tubishane na kukosoana na top 4 wenzetu Liver, city na Man u hawa ndio level yetu kiushindani.
Na nyie mashabiki wa Chelsea hapa mnaobishana na Arse8 mnatuchosha tuu, wastage of time.
Chistophe Lollichon huyu baba ndie scout wa magolikipa katika Club ya Chelsea na ndiye aliyemscout kepa kule Spain kwa muda wa miezi mitatu(3) na akijiridhisha
.
bidhaa yake aliyotuletea [emoji1484]
.
kwenye mashuti kumi na nne (14) ya mechi sita (6) EPL zilizopita kepa amefanya save tatu(3) tu [emoji855]
.
kwenye mechi kumi na tisa(19) za ugenini EPL msimu huu kepa amepata clean sheet moja(1) tu [emoji1]
.
Anashika nafasi ya 22 kati ya magolikipa wa team 20 za EPL ikiwa ina maana kepa halinganiashwi tena na magolikipa wa first eleven [emoji17]
.
MPAKA HIVI SASA JAMAA HAPOKEI SIMU ZA TAKUKURUView attachment 1538855
Tayari tuna version yake (the black Messi) Nicolas Pepe.Kwema msabato?
Naskia mnamvuta Messi pale highbury iliyochangamka
Kwahiyo jamaa ni most wanted na TAKUKURU ya huko London?Chistophe Lollichon huyu baba ndie scout wa magolikipa katika Club ya Chelsea na ndiye aliyemscout kepa kule Spain kwa muda wa miezi mitatu(3) na akijiridhisha
.
bidhaa yake aliyotuletea [emoji1484]
.
kwenye mashuti kumi na nne (14) ya mechi sita (6) EPL zilizopita kepa amefanya save tatu(3) tu [emoji855]
.
kwenye mechi kumi na tisa(19) za ugenini EPL msimu huu kepa amepata clean sheet moja(1) tu [emoji1]
.
Anashika nafasi ya 22 kati ya magolikipa wa team 20 za EPL ikiwa ina maana kepa halinganiashwi tena na magolikipa wa first eleven [emoji17]
.
MPAKA HIVI SASA JAMAA HAPOKEI SIMU ZA TAKUKURUView attachment 1538855
SFake
Kama hujui kitu huna haja ya kukiongelea
Christophe amepewa kitengo cha goalkeeping scout msimu wa 19/20
By then Kepa alikua keshanunuliwa.
Wakati Kepa alikua ananunuliwa Christophe alikua anafanya kazi na loan & academy players.
History yake inaanza mbali, alikua trainer wa Cech way back in France.
Cech alipohamia Chelsea, Christophe akaja nae. Akawa goalkeeping coach kazi ambayo aliendelea nayo hata Cech alipohama.
Alihamishiwa loan & academy players dep baada ya Curtois kutokukubali training methodologies zake.
Akijibu nistueWewe timu gani?,Timu yako imeshinda taji gani this season?