Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Higuain's warning to Messi: PL defenders kick you and freekicks aren't called

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Undava tu
 
Bayern leverkusen wametoa taarifa kwamba Ifikapo tarehe 28 mwezi huu, Chelsea haijalipa transfer fee wanayoitaka ya Harvetz basi hawatamuuza tena Harvetz mpaka dirisha lijalo.

Chelsea ofa yetu ni pungufu kwa £20M ya kiasi wanachotaka leverkusen
Sasa nyinyi si mna pesa, mbona mnalialia kwa vipesa mbuzi[emoji23][emoji23]
Fungua pochi
 
Bayern leverkusen wametoa taarifa kwamba Ifikapo tarehe 28 mwezi huu, Chelsea haijalipa transfer fee wanayoitaka ya Harvetz basi hawatamuuza tena Harvetz mpaka dirisha lijalo.

Chelsea ofa yetu ni pungufu kwa £20M ya kiasi wanachotaka leverkusen
Kuna MTU nilimwambia juzi hapa Chelsea anajivuta kwanza hadi auze ndio akamilishe hilo dili ,akanibishia ,

Leverkusen wanawaiga BVB , hawataki bargain wanataka Cash ,no installment wala add ons

Hapo kuna uwezekano msinunue kipa , wala beki ,
 
Uzuri ni kuwa Havertz ni optional ikitokea deal limeshindikana haita affect kitu kwa sababu yupo Mount. Kwa iyo nguvu ya usajili itapelekwa kwa backline. GK, CB na LB
 
Gabbygoal[emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837]
 
Kwahuu usajili naamini utajinasua toka mid-table team......VP partey na coutinho wameshatua?
Suala la muda tu[emoji23][emoji23] Partey ndani ya nyumba,
Kuhusu suala la ukubwa wa klabu lilishajibiwa muda mrefu tu na Legendary....
 
From twitter accounts za Christian Falk and Kevin palmer " havertz will become the most expensive German player of all time" is the deal edging close.......?

Kuna jitu linaenda kupigwa €100m soon,

Ladies and gentlemen,
Be attention.....

[emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837]Ding[emoji837][emoji837][emoji837][emoji837]Dong[emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837]
 
Watauzika polepole kama Batshuayi nimesikia Leeds wanamtaka anaweza kuondoka dirisha hili. Wengine mdogo mdogo tu.
 
Sure hii ndo golden chance maana timu nyingi zipo hovyo kiuchumi kutokana na effect za pandemic....ukienda kumuulizia next summer unawakuta real Madrid na Bayern wameshajipanga
Tungekomaa naye msimu huu tumpate then tunarudi nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…