Kikosi Cha hatari tupu tunampiga yeyote tunayekutana naye nyingi tu za kutoshaKikosi cha skyView attachment 1551117
Itategemea vitu vikuu viwilikwa upande wangu nhisi mechi za mwanzo timu itakua Hain chemistry nzur has ukizingatia maaingizo mapya ni mengi hii ni changamoto
Kova wamemweka wapi?Kikosi cha skyView attachment 1551117
Inanitesa kwa lipi haswa hebu kuwa specific kwa sababu najaribu kuangalia sioni kitu Arsre8 inaweza kujivunia kwangu. Nawaona kama Manyema tuMbona Arsenal huwa inakutesa sn mkuu[emoji1787][emoji1787]View attachment 1551136
Manyema!!Inanitesa kwa lipi haswa hebu kuwa specific kwa sababu najaribi kuangalia dioni kitu Arsre8 inaweza kujivunia kwangu. Nawaona km Manyema tu
Mi nakuona km Aston villa tu,kazana utafikia levelInanitesa kwa lipi haswa hebu kuwa specific kwa sababu najaribi kuangalia dioni kitu Arsre8 inaweza kujivunia kwangu. Nawaona km Manyema tu
Una UEFA ?tu anzie hapo kila Tim ijivunie mafanikio yakeMi nakuona km Aston villa tu,kazana utafikia levelView attachment 1551523
Hii invisible yako imejaa sare. Invisible kama hizi ulaya zipo za kutosha.Mi nakuona km Aston villa tu,kazana utafikia levelView attachment 1551523
Aston villa na Forest wana Uefa pia,lkn haiwafanyi kutuzidi ukubwaUna UEFA ?tu anzie hapo kila Tim ijivunie mafanikio yake
Uefa unacheza game 12 unafika Final km upepo upo upande wako,ni km kipindi kile mlikuwa na upepo tu [emoji1787]Hii invisible yako imejaa sare. Invisible kama hizi ulaya zipo za kutosha.
Hivi ungekuwa na invisible kama ile ya Bayern mwaka huu kwenye UEFA ungesema nini?
Maana bayern mwaka huu hakuna hata match moja aliyotoa japo sare. Zote kashinda.
Kama game 12 unaziona chache basi kaa ukijua toka UCL inaanza ni Bayern pekee ndio wamekuwa na invisible ya kushinda game zote kuanzia ya kwanza mpaka ya mwisho.Uefa unacheza game 12 unafika Final km upepo upo upande wako,ni km kipindi kile mlikuwa na upepo tu [emoji1787]View attachment 1551589
Aston villa na Forest wana Uefa pia,lkn haiwafanyi kutuzidi ukubwaView attachment 1551580
Messi alikuwa offered kitambo ila tukamchukua Fabregas
Ni kweli kabisa. Maana sio kwa aibu hiiMessi alikuwa offered kitambo ila tukamchukua Fabregas
We unatuletea habari za Messi mzee[emoji1787][emoji1787]View attachment 1551741
Mnakuwaga na matatizo mengi sana ninyi Arse8Uefa unacheza game 12 unafika Final km upepo upo upande wako,ni km kipindi kile mlikuwa na upepo tu [emoji1787]View attachment 1551589
Mtabaki kutoaga pongezi tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uefa unacheza game 12 unafika Final km upepo upo upande wako,ni km kipindi kile mlikuwa na upepo tu [emoji1787]View attachment 1551589
Arse8 ni moja katiya Tim mabingwa wa kuferi yaa Jose morinho Alisha waai kuwambia hao.pamoja na kocha wao Yule kibabu wengeMtabaki kutoaga pongezi tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1551753