Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa jins nilivyomuelewa hiyo inatokea tu pale jorginho anapokuwa yupo ndan ndio kante anamove kutoka kwenye dm kwenda kwenye RCM,

Kama uliona goal la 4 lilivyopatikana jana kante alihama position baada ya jorginho kuingia, kante alipanda mbele
 
Ingawa pia goli LA kwanza LA Sheffield lilitokana na kuchelewa kwake kummark mchezaji wao aliyepiga krosi
Mchezaji hakosi makosa madogo madogo, hata Silva jana kuna pasi kama mbili kapiga katikati wangekuwa sharp kwenye counter Shefield wangetufunga mbili au 3
 
Chelsea haijashindwa kwenye mechi 8 mfululizo tangu tupoteze kwa Spurs kwenye Karabao Cup tena kupitia penalti
Katika mechi hizo nane, tumefunga magoli 21 na kufungwa nne tu na ndani ya hizo mechi nane tuna cleansheet 5 na kubeba points 18
 
Frank Lampard on Zouma

‘I’ve been really impressed with Kurt, his form and what he’s given us,’ said Lampard.

‘He’s scoring goals from set-pieces and defending set-pieces well which is a big part of our game, and something we can improve on from last year.

‘Kurt has been here a long time but he’s had some injury problems which have made his career difficult when he was just getting himself feeling comfortable at the club. He had his loan moves which were successful, certainly the Everton one he had before he came back to us.
 
Chelsea haijashindwa kwenye mechi 8 mfululizo tangu tupoteze kwa Spurs kwenye Karabao Cup tena kupitia penalti
Katika mechi hizo nane, tumefunga magoli 21 na kufungwa nne tu na ndani ya hizo mechi nane tuna cleansheet 5 na kubeba points 18
Kutokuruhusu kufungwa magoli mengi hiyo ni advantage kwetu ..muhimu tukikutana na hizi timu ndogo ndogo, ni kuzibamiza tu goli za kutosha maana huko ndo pakupatia point ..hizi timu kubwa ni iwe kuweka heshima tu.

Viva Chelsea 💙💙💙
 
Watu wamesahau timu zao wanadiscuss kuhusu HZ Na macleansheet ya mendy
 
Hizi timu kubwa na sumbufu ikiwezekana ni mwendo wa ulinzi shirikishi 3-4-3
 
Ipo siku mtanielewa katika swala la Tammy. Hebu angalia alivyotumia udhaifu wa mabeki kwa kujiposition vizuri kwenye space ya kutosha. Angekua striker mwingine au yule Tammy wa zamani angeenda naye kwa wale mabeki watatu ili asubiri cross ya Kova kuja golini.

Proffesionalism at its best. Dogo ana improve sana hata yale malalamiko kumhusu yeye siku hizi yamepungua.

Holla Blues[emoji838][emoji838][emoji838]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Same to reece james wa msim huu sio yule wa msim uliopita.
 
Kwasababu ya ushindani wa kikosi ndio maana karise standard, kipindi kile alikuwa Hana competition lakini na pressure alikuwa nayo cos alikuwa Ni striker tegemezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…