Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna jamaa hapo juu anasema wao mashabiki wanamiliki kiwanja na jina, alafu Roman anamiliki wachezaji, nimecheka sana dah,
Sasa tofauti yao na Njombe mji iko wapi? [emoji23]
Unasema Chelsea halisi alafu unataka uende uwanja mpya ,kasome Tena mkataba kwa nini Chelsea haiwez kujenga na kuhamia uwanja mpya usilalamika kujiuliza why iko ivoChelsea fc Halisi tunataka uwanja mpya. Tumechoka kuendelea kutumia uwanja kasha la kiberiti. Tote hawana mafanikio yoyote lakini wanalo bonge la uwanja. Katika timu zote za top 6 zina viwanja vikubwa sasa ukubwa wetu ni upi ndani ya top 6 kama tunashindwa kujenga uwanja mkubwa wa kisasa?
Unasema Chelsea halisi alafu unataka uende uwanja mpya ,kasome Tena mkataba kwa nini Chelsea haiwez kujenga na kuhamia uwanja mpya usilalamika kujiuliza why iko ivo
Nakuunga mkono mkuu hawa watu ni wa kuwapuuza tu ukujibu unawapa bichwaMwamba shida ipo kwenye elimu ya maswala ya kifedha na sheria Kinggwaba na dully nitaje wazi ni LAYMEN kwenye maswala haya kama wanahitaji ufafanuzi wa umiliki wa Chelsea waulize tu .watu hawajui maana ya Parent company ,controlling parties ,subsidiaries wanabwatabwata humu jukwaani ,kiufupi wapuuzeni shida ni elimu elimu mpaka umejua maana ya parent company ,controlling parties na subsdiaries hauwezi discuss Chelsea plc .Au Group of company yoyoye .itoshe kusema Blue is the colour
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
PumbaChelsea fc Halisi tunataka uwanja mpya. Tumechoka kuendelea kutumia uwanja kasha la kiberiti. Tote hawana mafanikio yoyote lakini wanalo bonge la uwanja. Katika timu zote za top 6 zina viwanja vikubwa sasa ukubwa wetu ni upi ndani ya top 6 kama tunashindwa kujenga uwanja mkubwa wa kisasa?
TakatakaSasahivi wanaunga Bando kila wakati kwa ajili ya kuperuzi viblogi uchwara vya Shaffih Dauda kutafuta vijisababu vya kuonesha kuwa hawajakodi uwanja na jina lakini imebuma.
Wakikutia msamiati unasema "Stanford Bridge owned by Chelsea Fans" basi w7 Johnanageuka wanasheria na Wahasibu hapa kutaka kutufundisha masuala ya kukodisha.
Sawa dada Halima apo umeandika huku umevaa kijora mkono mmoja kiunoni unajua kuchamba hatari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MKODISHO FC
- NO Stadium
- NO Name
- NO History zaidi ya ile ya kushuka daraja mara 6 (1910, 1924, 1962, 1975, 1979 and 1988).
Hawa ndiyo Mkodisho wanaojiita Timu kubwa.
MKODISHO FC
- NO Stadium
- NO Name
- NO History zaidi ya ile ya kushuka daraja mara 6 (1910, 1924, 1962, 1975, 1979 and 1988).
Hawa ndiyo Mkodisho wanaojiita Timu kubwa.
Aaaah jamani kwamba chelsea wanauwanja mdogo kama kasha la kibiriti[emoji23][emoji23]Chelsea fc Halisi tunataka uwanja mpya. Tumechoka kuendelea kutumia uwanja kasha la kiberiti. Tote hawana mafanikio yoyote lakini wanalo bonge la uwanja. Katika timu zote za top 6 zina viwanja vikubwa sasa ukubwa wetu ni upi ndani ya top 6 kama tunashindwa kujenga uwanja mkubwa wa kisasa?
Hapo hapo kwnye kibiriti huwa ukija hutoki salama. ndogo yako inakua halali yetu.Aaaah jamani kwamba chelsea wanauwanja mdogo kama kasha la kibiriti[emoji23][emoji23]
Akili imelala eeh??Hapo hapo kwnye kibiriti huwa ukija hutoki salama. ndogo yako inakua halali yetu.
Vitu vikubwa haviwezi kuwa comprehended by a small mind. It's not your fault[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna jamaa hapo juu anasema wao mashabiki wanamiliki kiwanja na jina, alafu Roman anamiliki wachezaji, nimecheka sana dah,
Sasa tofauti yao na Njombe mji iko wapi? [emoji23]
Kashabikie hao wenye viwanja, tuache na mafanikio maana ndiyo yalitufanya tuipende ChelseaChelsea fc Halisi tunataka uwanja mpya. Tumechoka kuendelea kutumia uwanja kasha la kiberiti. Tote hawana mafanikio yoyote lakini wanalo bonge la uwanja. Katika timu zote za top 6 zina viwanja vikubwa sasa ukubwa wetu ni upi ndani ya top 6 kama tunashindwa kujenga uwanja mkubwa wa kisasa?
Muuza duka la madawa unaweza kuelewa maswala ya corporate law kweli? Ndo maana mnapaswa kuuzwaSasahivi wanaunga Bando kila wakati kwa ajili ya kuperuzi viblogi uchwara vya Shaffih Dauda kutafuta vijisababu vya kuonesha kuwa hawajakodi uwanja na jina lakini imebuma.
Wakiona msamiati unasema "Stanford Bridge owned by Chelsea Fans" basi wanageuka wanasheria na Wahasibu hapa kutaka kutufundisha masuala ya kukodisha.
Niliposoma vituko alivyoandika humu sijamlaumu niliitimisha kwa kwa kusema Kinggwaba na baadhi ya wenzake ni laymen kwenye maswala ya corporate law,finance etc tatizo wanajikakamua kama wanajua,ni wakuhurumiwa kabisaMuuza duka la madawa unaweza kuelewa maswala ya corporate law kweli? Ndo maana mnapaswa kuuzwaView attachment 1636655View attachment 1636656
Ongeza na hizi π basi ingawa ninazo nyingi tu posts kama hizi ππMuuza duka la madawa unaweza kuelewa maswala ya corporate law kweli? Ndo maana mnapaswa kuuzwaView attachment 1636655View attachment 1636656
Huyo nilishamuelewa kuwa akili yake ndio level hiyo. Saa nyingine tunaumiza ubongo hapa kumbe wengine ni wauza madawaNiliposoma vituko alivyoandika humu sijamlaumu niliitimisha kwa kwa kusema Kinggwaba na baadhi ya wenzake ni laymen kwenye maswala ya corporate law,finance etc tatizo wanajikakamua kama wanajua,ni wakuhurumiwa kabisa