This season hajabadili kikosi sana pia match ambazo kovacic hakucheza kulikiwa na sababu , Kama match na Leeds koch alitoa sabb y kutomuanzishaNatamani iwe ivo lakini kuna jamaa anaitwa Super Frank Lampad haelewi akilala akiamka anakuja na first eleven yake[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani jojino ilikuwaje? Si mlimsifia kuwa pass master lakini mwisho wa siku mlimkataa.Nyie tumewazoe nyinyi si mlisema Werner tumepigwa au mshaanza kujitoa ufahamu naona umeamua kwa Kai tena
Mendy kuwepo golini tunaombea kushinda kwa clean shit, ila kuna mvuta bang flan hv alivokuwa golini tulikuwa tunaombea tusifungwe magoli mengi
Dirisha dogo la January tunasajili position ipi?
Cabalero siiku hizi hata benchi hawekwi naona ameanza kula pensionMkuu Mendy anatakiwa kuongeza klin shit nyingi. Na mechi kama hizo ndiyo zinaongeza [emoji23][emoji23][emoji23]
Though na prefer Cabalero acheze badala ya kepa.
Alisema anampumzisha kwa sababu kacheza katikati ya wiki. Najua kuna wengine hata wacheze katikati ya wiki wana pumzi ya kutoshaThis season hajabadili kikosi sana pia match ambazo kovacic hakucheza kulikiwa na sababu , Kama match na Leeds koch alitoa sabb y kutomuanzisha
Jorginho mpaka sasa ni pass master mzuri kuliko Kante, tofauti yake tu hajui kukaba kumzidi Kante na pia ana HT Sydrome, kocha akiwahi kumpumzisha atatufaa kwenye baadhi ya mechi laini. Ila huyo akija Arsenal ni hot cakeKwani jojino ilikuwaje? Si mlimsifia kuwa pass master lakini mwisho wa siku mlimkataa.
LB kwanza wa kusaidiana na Chillwell kwa sababu Emerson na Alonso hawatatoshea kwenye Team BDirisha dogo la January tunasajili position ipi?
Pass master halafu hana assist ya goal hata moja hiyo mipasi anaipiga ya nini sasa?Jorginho mpaka sasa ni pass master mzuri kuliko Kante, tofauti yake tu hajui kukaba kumzidi Kante na pia ana HT Sydrome, kocha akiwahi kumpumzisha atatufaa kwenye baadhi ya mechi laini. Ila huyo akija Arsenal ni hot cake
Tomori naye ataenda Newcastle mkopo. Thiago silva bado yupo na kuna uwezekano wa kuongeza mkataba wa mwaka zaidi na bado atakuwa form kwa miaka miwili zaidi. Mada ilikuwa dirisha dogo la januari, kwa dirisha kubwa kuna uwezekano Sarr akarudi darajani, na tayari tuna Christensen na Rudiger sidhani kama wataondokaSio CB wa kumsaidia Thiago?
Christensen maboko
Rudger anaondoka
Kikosi Cha kesho navohici
Kepa
Rudiger
Christensen
Azpi
Emerson
Then girmour mount Kai
Mbele pulisc, Tammy, Werner
Pulisic na werner wapumzishw kwaa ajili ya evertonKikosi Cha kesho navohici
Kepa
Rudiger
Christensen
Azpi
Emerson
Then girmour mount Kai
Mbele pulisc, Tammy, Werner