Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Shangilieni kwa muda ila mwaka huu lazima mshuke Championship ndio saizi yenu
 
Chelshit za blausi naone pole pole mnarudi kwenye nafasi zenu nacheka saaaaana hahaha
 
Wachezaji hawa walikuwa hovyo kabisa jana. Ingekuwa sub ya 5 inakubalika hawa jana walitakiwa nje kabla ya HT
  1. Mateo Kovacic - alipooza kabisa
  2. Ngolo Kante - inefective labda kwa sababu ya kuwekwa pembeni
  3. Timo Werner - hakujua analolifanya
  4. Édouard Mendy - poor positioning kwa goli la pili na la tatu
  5. Reece James
  6. Jourginho - kachoka mbaya
 
Maiti kamung'ang'ania muoshaji. Daah. Ujinga wa lampard kuthamini machezaji yake ya Kiingereza ndo imetughalimu. Hata hivyo tunawapongeza mashabiki wa arsenal mno moyo wa chuma. Sio kwa maumivu haya. [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 

Leicester City kafanya kazi yake kama nililivyomtuma.

Nyie mmeharibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…