Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii sasa ndio ilikuwa chelsea kali kuliko zote maana tukiacha unafki kwakweli hii ilikuwa timu yenu bora kabisa
Lampard kawavurugia sana,
Your browser is not able to display this video.
 
Pira birian
Pira kashata
Pira chatne
Pira bagia
Pira kachori
Pira sambusa
Pira katres





Kudadadeki
 
Sisi Man City tunakuja kuvunja daraja na kulipua Stanford Bridge yote kwa mabomu ya nyukilia


Jpili hiyo
 
Hatimaye Lampard apigana mazoezini na kocha wa makipa,video[emoji116][emoji116]
Your browser is not able to display this video.
 
mwezi wa 12 na January sio wa kumtukana mamba kabla hujavuka mto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…