Numbisa popote ulipo, tunahitaji zile gifs zako. Hiki ni kitengo Chako Cha kudumu hapa jf.
Hahahhahahahahahhah
Hahahha...vipi na kocha wa Man U mana upepo wake saivi una afyaHakuna timu hakuna kocha kila kitu hakuna ni upuuuzi tu eti apwe muda wa kufanyaje mpeni nyie mie sitak hata kusikia kitu Chelsea uchafu
😁😁😁😂😂😂😂hivi kocha ananenepaje hivi na timu haina matokeoReporter: say something boss
Lampard: nipewe mudaView attachment 1666870
Afadhali yye una afya kuliko upuuuz wa mwingereza mmoja anataka kutuaminisha anajua kumbe bado kocha wa ndondo za clouds fmHahahha...vipi na kocha wa Man U mana upepo wake saivi una afya
Ila mnacheza soka la kuvutia sana au nasema uongo ndugu yangu?Afadhali yye una afya kuliko upuuuz wa mwingereza mmoja anataka kutuaminisha anajua kumbe bado kocha wa ndondo za clouds fm
Yanayovutia ni manatiIla mnacheza soka la kuvutia sana au nasema uongo ndugu yangu?
Mashabiki wa chelsea wana dharauuuuuu hawa sina hamu. Nilishawahi kuulizwa humu kwani huto tu picha sh ngap kisa nilikataa kuweka GIf ya demba kuifunga man u ucl
Anyway magoli ya leo yapo jukwaa la city mkuu,ninayaweka muda huu
Numbisa, tuzo ya Sports-Lady of The Year wa JF inakustahili, napenda jinsi ulivyojiwekea utaratibu ili usiwakwaze washabiki wa timu husika.
Najaribu ku-imagine siku ile tunafungwa goli 7 ungezileta kwenye jukwaa letu!
All the best madam.
Ziyech kalazimishwa tu hakuwa fitLeo yupo usijali[emoji23][emoji23][emoji23]
Yup. Smart phone kwa wazee shida 🤣Nafikiri unamaanisha conversion
Kama kawaida yake kachelewa kufanya sub na kamweka bench OGHizi sub zinaitwa lolote liwe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Thank you Don
Nayafahamu machungu ya kufungwa na kuoga mvua za matusi ya kujitakia hapana kwa kweli. Kila timu ifurahie ushindi wake
Nikiona hata droo hakuna anayeifurahia napotezea pia.