Antonio Conte
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 1,089
- 1,748
Zingewasaidia sasa hata kupanda nafasi 😀Assists this season:
Willian 7
Ziyech 1
Havertz 2
Pulisic 0
Game ya Leeds imeshapita kilichopo mbele yetu ni game ya ATM...Oky nashukuru kwa analysis, nimepata mwanga kidogo mechi ilikuwaje.
Tatizo la kutofunga magoli kule mbele halitapatiwa ufumbuzi kwa wachezaji hawa tulionao sasa hivi.
Pulisic, Ziyech, Harvetz, Werner, Tammy hawa wanastahili kutokea benchi SUB.
Tunamuhitaji striker aina ya Haaland pale mbele, tunahitaji mawinga wa kwendana na ugumu wa ligi ya EPL, hawa Pulisic, Harvetz, Ziyech wastage of time tuu.
Mimi naona Ziyech na Pulisic leo wameboresha quality yao tofauti na walipotoka majeruhi. Ni kwa sababu tu hizi mechi za mwishoni ni muhimu kwa top 4 ila Pulisic na Ziyech wanahitaji muda zaidi ili fitness iongezeke. Havertz leo kapooza kweli kweli na yeye ndie kiungo wa kupokea mipira mingi iliyokuwa inapotea, angekuwepo hapo Giroud hata Tammy tungepata goli. Pia umuhimu wa Alonso kwa mbele leo umeonekana. Chilwell yeye ni mkabaji zaidi. Nyuma na viungo leo wameendelea kucheza vizuri ball possesion ya 62% na on target 8 dhidi ya 4 ya Leeds sio haba. Tukirudi tutaanza na West Brom halafu Crystal Palace then Brighton Alvion, point 9 ziko hapo tufike 60Mfumo haukua mzuri yaani hii 4+2+3+1 sio nzuri imewapa Leeds nafasi za kutusumbua na Chelsea pia hawakua na performance nzuri Leo karibu timu yote kwa ujumla....
Pia hawa wachezaji wawili Ziyenchi na Pulisic wamepewa nafasi ya kuanza na wamecheza dk karibu 70 lkn wamecheza hovyo kabisa tena nafuu ya Ziyench kuliko huyu Pulsic....
Nafikiri koncha ilibidi apange kikosi hichi kwsbbu ya kuangalia game inayokuja ya ATM.... Maana j5 anatakiwa kurudi ktk strong squad yake na mfumo wake....
Tulipaswa kushinda hii game lkn tumewapa west ham utd nafasi ya kutufikia km na kutupita km wakishinda game zote mbili
Ni kweli Pulisic na Ziyench wanahitaji muda zaidi lkn wanapopewa nafasi km hizi wanatakiwa kuonyesha huo ubora wao vzr yaani wazitumie nafasi zao vzr wanapopewa nafasi kucheza.Mimi naona Ziyech na Pulisic leo wameboresha quality yao tofauti na walipotoka majeruhi. Ni kwa sababu tu hizi mechi za mwishoni ni muhimu kwa top 4 ila Pulisic na Ziyech wanahitaji muda zaidi ili fitness iongezeke. Havertz leo kapooza kweli kweli na yeye ndie kiungo wa kupokea mipira mingi iliyokuwa inapotea, angekuwepo hapo Giroud hata Tammy tungepata goli. Pia umuhimu wa Alonso kwa mbele leo umeonekana. Chilwell yeye ni mkabaji zaidi. Nyuma na viungo leo wameendelea kucheza vizuri ball possesion ya 62% na on target 8 dhidi ya 4 ya Leeds sio haba. Tukirudi tutaanza na West Brom halafu Crystal Palace then Brighton Alvion, point 9 ziko hapo tufike 60
Pamoja mkuu... Once blue always blue... #KTBFFHWe jamaa unachambua mpira na wachezaji vizuri sana.
Tunajivunia kuwa na shabiki mwenzetu kama wewe kwenye jukwaa hili.
Naam ni save ya Leo.... Kafanya save mbili balaa leo.. Moja hiyo ya post ya 90... Na ingine ya kati....Save ya leo? Mendy bonge la kipa clean sheet ndio chakula chake. The blues kwa defensive tupo vizuri sana tatizo linabaki kule mbele tuu kwenye kupachika mabao kupata point 3 muhimu.
Kwa mwendo huo mtamaliza top 6HONGERENI THE BLUES KWA USHINDI VS EVERTON.
kwa mwendo huu tunaweza maliza TOP TWO
Marhez yeye anaweza kukokota mpira sn lkn sio mzuri ktk pasi....Ipi tofauti ya kiuchezaji kati ya Ziyech vs Marhez?
Hiyo game tunamuhitaji sn Alonso... Na upande wa kulia tunamuhitaji James....Unavyoona hyo game na ATM tunamhitaji Nani zaidi chilwell au Alonso?
🤝Na huenda akatumia hyo approach game ijayo na ATM maana tunamkosa mount n jorghino so huenda akasimama mbele ya kina kante na kovacicNaam ni save ya Leo.... Kafanya save mbili balaa leo.. Moja hiyo ya post ya 90... Na ingine ya kati....
Mendy ni kipa mzuri sn tena mwenye uwezo mkubwa sn.
Mimi naona kuna haja ya TT kuangalia nafasi nzuri ya kumchezesha Ziyench kwsbbu ktk Chelsea kwa sasa hakuna mchezaji mwenye uwezo mkubwa sn wa kupiga pasi nzuri na za mwisho zenye kufika kwa mlengwa km Ziyench.
Ningekua Mimi ni mwalimu wa Chelsea ningekua natumia mfumo huo huo wa 3+4+3 lkn Mimi kwa kumsaidia Ziyench ningepanga 3+5+2. Ziyench akacheza nyuma ya hao wachezaji 2 wa mbele ili aweze kutoa pass za mwisho...
Na huu mfumo huenda ukamsaidia ata Timo maana Chelsea inakua inacheza deep na kuwaruhusu timu pinzani kuwashambulia sn sasa wanaposhaimbulia Chelsea wanajikuta wanatengeneza magepu ya wazi ambayo ni mazuri Timo na Meson Mount....
Yaani hii 3+5+2 Conte alikua anaitumia sn Diego Costa na Hazard wakawa wanatililika tu ktk magoli ya adui....
Sasa kwa kumsaidia Ziyench ni bora asicheze Winger Bali acheze juu kidogo ya double six...
Mkuu kwa game mbili zilizopita hizi havertz ameonyesha utofauti mkubwaOky nashukuru kwa analysis, nimepata mwanga kidogo mechi ilikuwaje.
Tatizo la kutofunga magoli kule mbele halitapatiwa ufumbuzi kwa wachezaji hawa tulionao sasa hivi.
Pulisic, Ziyech, Harvetz, Werner, Tammy hawa wanastahili kutokea benchi SUB.
Tunamuhitaji striker aina ya Haaland pale mbele, tunahitaji mawinga wa kwendana na ugumu wa ligi ya EPL, hawa Pulisic, Harvetz, Ziyech wastage of time tuu.
Katika hizo on target 8 nne zimetoka kwa havertzMimi naona Ziyech na Pulisic leo wameboresha quality yao tofauti na walipotoka majeruhi. Ni kwa sababu tu hizi mechi za mwishoni ni muhimu kwa top 4 ila Pulisic na Ziyech wanahitaji muda zaidi ili fitness iongezeke. Havertz leo kapooza kweli kweli na yeye ndie kiungo wa kupokea mipira mingi iliyokuwa inapotea, angekuwepo hapo Giroud hata Tammy tungepata goli. Pia umuhimu wa Alonso kwa mbele leo umeonekana. Chilwell yeye ni mkabaji zaidi. Nyuma na viungo leo wameendelea kucheza vizuri ball possesion ya 62% na on target 8 dhidi ya 4 ya Leeds sio haba. Tukirudi tutaanza na West Brom halafu Crystal Palace then Brighton Alvion, point 9 ziko hapo tufike 60
Yaani wewe kichwani ni mweupe sana, huyo Abraham hamna kitu anajua zaidi ya kurukaruka tu. Kocha nae bado hajielewi, kwa sasa pale mbele hakuna option nyingine zaid y giroud. Akimaliza out of top 10 akili ndio itamkaa sawa kulitambua hilo.Mechi kama hii ilimfaa sana Tammy Abraham
Halafu pia Chiwell ni wa kuuzwa hapaswi kabisa hata kuwa kwenye benchi la chelsea, mchezaji wa hovyo kbs.Mtu kama girud ndio anatakiwa kucheza kama number 9 lakini hapewi nafanzi ya kutosha ila mm namkubali sana tu