Hiyo game tunamnywa Mardid bao moja bila..Mungu saidia jumatano awepo uwanjani. Tuweke ukuta wa Berlin mpaka Madrid abigwe butwaa.
--------------- Ermason - James ------------
Chilwell - Kovacic - Joginho - Kante- Azipu
--------- Rudger- Thiago- Christensen --------
Halafu tunacheza nusu uwanja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
FT. Chelsea 0- 0 Madrid
Hivi kwa mfano tukipanga kikosi kama hichi kwa lengo la kutofungwa goli, tukaamua kupark basi mwanzo mwisho hakuna kushambulia.
Lengo litatimia? mpira utachezeka? Kimbinu/kimfumo selection ya wachezaji hapo juu imekaaje kwa lengo la kutoa bila bila?
1930 hrsChelsea anacheza Sa ngap Leo..natumia??
Mbaya zaidi tutakuwa tumemalizana na PSG ..Man City baada ya kushinda leo, sasa anatakiwa ashinde mechi moja tuu kati ya 4 alizobakiza, atangazwe kuwa bingwa EPL 2020/2021.
Mechi inayofuata Chelsea vs City asitangazie ubingwa kwetu. Shubamiiit zake
Man United akifungwa kesho na Liverpool, Man City bingwaMan City baada ya kushinda leo, sasa anatakiwa ashinde mechi moja tuu kati ya 4 alizobakiza, atangazwe kuwa bingwa EPL 2020/2021.
Mechi inayofuata Chelsea vs City asitangazie ubingwa kwetu. Shubamiiit zake.
Ila nyumbu akifungwa kesho na Liverpool basi CITY anakuwa bingwa kesho.
Na itapendeza zaidi Nyumbu ashinde ili amsukume liver mbali na sisi kwenye mbio za TOP 4
Werner anaweza asifunge ila kwa kuassist anatusaidia sanaWerner katoa assist nzuri sana kwa Ziyech lakini kipa wa Fulham kaokoa vizuri, ngoja tuone second half time itavyokuwa japo naona Fulham wanafanya mashambulizi ya hatari sana langoni mwa Chelsea, japo ni ya kushtukiza