unateseka ukiwa wapi mkuuSacked Lampard... Finished 4th
Employed Tuchel... Finished 4th
Went on a 15 games unbeaten streak... Finished 4th
Spent £200 Million... Finished 4th
Signed Future Balon D'or winner Harvertz... Finished 4th
Ziyech can cross from Stamford Bridge to Morocco... Finished 4th
Umenichekesha kijana hahahaha.unateseka ukiwa wapi mkuu
Tunashinda vizur tu, sema watu wana uwoga kwa kuwa tulifungwa tokea game y arsenal, wanasahau tulifungwa ila chamoto walikiona na bahat pia haikua kwetu. Kwa hiyo sisi sio wanyonge. Man city aliekua nasababsha anatupiga ni Aguero na silva sasa hawapo, Pep akijichanganya asipomuweka Aguero, na sisi asipokua Jorginho 100% tunashinda.Hi mechi tunaishida tu vizuri bila shida 2-1, wachezaji wote wako motivated na high morale ya kuchukua UEFA, usilinganishe na mechi ya Astoni Villa tulikua na option za kufuzu nyingi tu, katika hili kombe option ni moja kushinda tu
Mbele hakuna mtu wa kumtegemea kufunga,Tunashinda vizur tu, sema watu wana uwoga kwa kuwa tulifungwa tokea game y arsenal, wanasahau tulifungwa ila chamoto walikiona na bahat pia haikua kwetu. Kwa hiyo sisi sio wanyonge. Man city aliekua nasababsha anatupiga ni Aguero na silva sasa hawapo, Pep akijichanganya asipomuweka Aguero, na sisi asipokua Jorginho 100% tunashinda.
Nipo hapa kwa Shangaziiunateseka ukiwa wapi mkuu
Asipo elewa na hapa baaasiMbele hakuna mtu wa kumtegemea kufunga,
Kama hujasahau tuna
Katika hao nane unadhani ni nani hao watakaotupa magoli ya kubeba kombe?
- Werner - Papara nyingi golini - mechi 35 za ligi goli 6
- Mount - Ni kiungo zaidi ya mfungaji - mechi 36 za ligi goli 6
- Havertz - Form yake Up and downs- mechi 27 za ligi goli 4
- Pulisic - Form yake bado- mechi 27 za ligi goli 4
- Odoi - Bado hayuko clinical- mechi 23 za ligi goli 2
- Ziyech - form yake bado hairidhishi- mechi 23 za ligi goli 2
- Giroud - akiamka vizuri anafunga ila siku akiamua kup[otea uwanjani hata hutamuona- mechi 17 za ligi goli 4
- Tammy Abraham - mfungaji wa timu ndogo- mechi 22 za ligi goli 6
Tumewapga game mbili, kwani hizi statistics hazikuwepo? Halafu Fainali haina mwenyewe. tatizo mnawapa sana City credits wakat hata sisi kikosi tunacho. Yeyote anaweza kushinda hakuna atakaeshinda kiurahisi.Mbele hakuna mtu wa kumtegemea kufunga,
Kama hujasahau tuna
Katika hao nane unadhani ni nani hao watakaotupa magoli ya kubeba kombe?
- Werner - Papara nyingi golini - mechi 35 za ligi goli 6
- Mount - Ni kiungo zaidi ya mfungaji - mechi 36 za ligi goli 6
- Havertz - Form yake Up and downs- mechi 27 za ligi goli 4
- Pulisic - Form yake bado- mechi 27 za ligi goli 4
- Odoi - Bado hayuko clinical- mechi 23 za ligi goli 2
- Ziyech - form yake bado hairidhishi- mechi 23 za ligi goli 2
- Giroud - akiamka vizuri anafunga ila siku akiamua kup[otea uwanjani hata hutamuona- mechi 17 za ligi goli 4
- Tammy Abraham - mfungaji wa timu ndogo- mechi 22 za ligi goli 6
Man city hawa hapa
- Ilkay GündoganGündogan 17
- Phil FodenFoden 16
- Raheem SterlingSterling 14
- Riyad MahrezMahrez 14
- Gabriel JesusGabriel Jesus 14
- Ferran TorresTorres 13
- Kevin De BruyneDe Bruyne 10
FA hao wote hawakuwemo au City hawakutaka hilo kombe, hao wachezaji wa Chelsea wengi wamakaa nusu msimu, ila matokeo tu nayo tu.Mbele hakuna mtu wa kumtegemea kufunga,
Kama hujasahau tuna
Katika hao nane unadhani ni nani hao watakaotupa magoli ya kubeba kombe?
- Werner - Papara nyingi golini - mechi 35 za ligi goli 6
- Mount - Ni kiungo zaidi ya mfungaji - mechi 36 za ligi goli 6
- Havertz - Form yake Up and downs- mechi 27 za ligi goli 4
- Pulisic - Form yake bado- mechi 27 za ligi goli 4
- Odoi - Bado hayuko clinical- mechi 23 za ligi goli 2
- Ziyech - form yake bado hairidhishi- mechi 23 za ligi goli 2
- Giroud - akiamka vizuri anafunga ila siku akiamua kup[otea uwanjani hata hutamuona- mechi 17 za ligi goli 4
- Tammy Abraham - mfungaji wa timu ndogo- mechi 22 za ligi goli 6
Man city hawa hapa
- Ilkay GündoganGündogan 17
- Phil FodenFoden 16
- Raheem SterlingSterling 14
- Riyad MahrezMahrez 14
- Gabriel JesusGabriel Jesus 14
- Ferran TorresTorres 13
- Kevin De BruyneDe Bruyne 10
Ingawa mimi ni fan wa Chelsea, uwezekano wa kuwashinda Man C kesho ni 40%. Man C nawapa 60%. Chelsea tunaumizwa sana na kosa kosa nyingi za magoli za finishers wetu.Mbele hakuna mtu wa kumtegemea kufunga,
Kama hujasahau tuna
Katika hao nane unadhani ni nani hao watakaotupa magoli ya kubeba kombe?
- Werner - Papara nyingi golini - mechi 35 za ligi goli 6
- Mount - Ni kiungo zaidi ya mfungaji - mechi 36 za ligi goli 6
- Havertz - Form yake Up and downs- mechi 27 za ligi goli 4
- Pulisic - Form yake bado- mechi 27 za ligi goli 4
- Odoi - Bado hayuko clinical- mechi 23 za ligi goli 2
- Ziyech - form yake bado hairidhishi- mechi 23 za ligi goli 2
- Giroud - akiamka vizuri anafunga ila siku akiamua kup[otea uwanjani hata hutamuona- mechi 17 za ligi goli 4
- Tammy Abraham - mfungaji wa timu ndogo- mechi 22 za ligi goli 6
Man city hawa hapa
- Ilkay GündoganGündogan 17
- Phil FodenFoden 16
- Raheem SterlingSterling 14
- Riyad MahrezMahrez 14
- Gabriel JesusGabriel Jesus 14
- Ferran TorresTorres 13
- Kevin De BruyneDe Bruyne 10
Shida ni umaliziaji ndugu.Tumewapga game mbili, kwani hizi statistics hazikuwepo? Halafu Fainali haina mwenyewe. tatizo mnawapa sana City credits wakat hata sisi kikosi tunacho. Yeyote anaweza kushinda hakuna atakaeshinda kiurahisi.
Kushinda tunaweza shinda ila kubahatisha, hata zile mechi mbili wewe unajua moyoni mwako kuwa tulibahatisha na tatizo letu kubwa ni kule mbele tu, tukimpata kane au level ya Kane Chelsea ni bonge la timuTumewapga game mbili, kwani hizi statistics hazikuwepo? Halafu Fainali haina mwenyewe. tatizo mnawapa sana City credits wakat hata sisi kikosi tunacho. Yeyote anaweza kushinda hakuna atakaeshinda kiurahisi.
Kesho sio mbali kaka, kikosi akikipanga vizuri hao tunapga wala sio kujipa moyo.Haya ni maneno ya kujipa moyo ukweli ni kwamba form yetu ni mbovu Ase8 ametupa gundu.
Ukisema tulibahatisha unakosea mana chances zinatengenezwa nyingi, kama unashinda game halafu umetengeneza nafasi nyingi ila wameshindwa kuziconvert hiyo sio bahati, utasemaje kwa aliyetengeneza nafasi moja na akashinda mechi.Kushinda tunaweza shinda ila kubahatisha, hata zile mechi mbili wewe unajua moyoni mwako kuwa tulibahatisha na tatizo letu kubwa ni kule mbele tu, tukimpata kane au level ya Kane Chelsea ni bonge la timu
Sancho ni Odoi aliyechangamka. Sijui mnaona kitu gani kwa huyo jamaa.KANE anakwenda CITY.
Au level ya KANE kama mchezaji gani kwa mfano? Lewandoski?
Son - Werner - Sancho
Hazard - Werner - Sancho
Tumrudishe Hazard kwa mkopo au tuwasajili Son & Sancho, huku tukiomba Mungu Werner arudishe makali
Kushinda tunaweza shinda ila kubahatisha, hata zile mechi mbili wewe unajua moyoni mwako kuwa tulibahatisha na tatizo letu kubwa ni kule mbele tu, tukimpata kane au level ya Kane Chelsea ni bonge la timu
Na tatizo ndio iko hapo kwenye kutengeneza chances nyingi tena nzuri halafu hatuna wafungajiUkisema tulibahatisha unakosea mana chances zinatengenezwa nyingi, kama unashinda game halafu umetengeneza nafasi nyingi ila wameshindwa kuziconvert hiyo sio bahati, utasemaje kwa aliyetengeneza nafasi moja na akashinda mechi.
Ukisema bahati mfano ni kama game la Arsenal,walishinda kwa bahati ila sio kwamba walitufunga kwa uwezo.