Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wale madogo wa man shitee Wana Mbususu tamu balaaa..Yani tumelawa Mara mbili wakaona haitoshi Bora watupe na leo
 
Yaani hadi watu nisiowajua wameniquote nahisi kila mtu alikua ana hamu mechi iishe atafute kila nilipokoment.

Anyway, hongereni wazee.

Tafadhali mkiona mtu ameniquote baada ya hapa mpeni hongera kwa niaba yangu.
 
Hongera ziende kwa TT kwa ujumla timu nzima ukweli tulikuwa na hali mbaya kipindi cha Lampard naye anastahili pongezi zake

Pia bila kumsahau boss kubwa Roman Abramovich bila yeye Chelsea tusingekuwa na mafanikio haya tuliyonayo leo

Kikubwa tujipange na msimu ujao tumuamini TT aijenge ile timu aliyoahidi mwenyewe hongereni wana blues wote london is blue
 
Jana Mount alipitia mitaa ya Gundogun na kumpasia Kai aliyekuwa mitaa ya Stone na Dias kabla hajatumbukiza kwenye tobo
 
Jana Azpilicueta alicheza kama captain, aliibeba timu kisawasawa
 
Chelsea wamebeba UCL bila striker, je tukimpata mmoja wa wale goal machine au beast itakuweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…