Wewe matakata Man city mnajitapa mna hela ila mchezaji wa gharama mliyewahi kumnunua ni Ruben Dias mmemnunua £64.Nyie level zenu ni kina kai ,werner .... wachezaji wa kwenye mafungu ya nyanya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna uwezo wa kumsajili haaland ,never ever
Kai lile ni shati linalotembea uwanjani mmepigwa £72mil..Wewe matakata Man city mnajitapa mna hela ila mchezaji wa gharama mliyewahi kumnunua ni Ruben Dias mmemnunua £64.
Pale chelsea Kai amenunuliwa kwa £72 kepa alinunuliwa kwa £72.
Hivi kati ya nyie na sisi nani ananunua wachezaji wa mafungu?
Hata UEFA kwepesi, kumbuka Golden boot ya UEFA kabeba yeyeLakin tumuanglie sana huyu haland mbona TIMO ALIPOKUWA HUKO ALIKUWA ANAFANYA VZR SANA UJERUMANI NAHIS KWEPES KWA WAFUNGAJI
Kwa hali ilivyo ngumu ya kipesa kwa timu nyingi na pia kumbuka mwakani ile kipengele cha mkataba cha kumuachia kwa Euro 68mil itaanza kufanya kazi, Dortmund wakipewa Euro mil 150 watapokea au tutawaweka kwenye kundi la mafala kabisa.Hili deal ni gumu sana na jinsi tunavyofikiria, dortmund sidhan kama wako tayari kupoteza wachezaj wao wawili tegemeo katika dirisha moja
Na hizi pia usisahauGENTLE REMINDER: History 101
Bayern 7-1 Chelsea
Bayern 11-1 Dortmund
Bayern 5- 0 Ajax
Bayern 7-1 Roma
Bayern 12-1 Sporting
Bayern 5-1 PSG
Bayern 6-1 Porto
Bayern 7-0 Barcelona
Bayern 8-3 Madrid
Bayern 4-0 Juventus
Bayern 10-2 ARSENAL (The one you know)
Bayern 4-0 Athletico Madrid
Bayern 10-3 Spurs
Bayern 8-2 Barcelona
Bayern 3-0 Lyon
Bayern 1-0 PSG [emoji3060][emoji1787]
If your team isn't here, you serve a living God.
Bayern should be banned from football! They are terrorists. [emoji23]
...they do not believe in sportsmanship at all.
[emoji23][emoji23][emoji23]Na hizi pia usisahau
- Manchester City 0–4 vs. Liverpool (25 October 1995)
- Manchester City 1-8 vs. Middlesbrough (11 May 2008)
- Manchester City 0–4 vs. Barcelona (19 October 2016)
Kuna mawili hapa tukimsubilia mwakani kumchukua kwa €68m, ushindani utakua juu sana na timu zingine zenye uwezo wapesa kama Barcelona, Juvetus na pia dau litapanda tu itakua zaidi ya hiyo. Bora kumchukua sasa hivi kwa €128m mwakani akifrop unaweza kumpiga bei hata €60m.Kwa hali ilivyo ngumu ya kipesa kwa timu nyingi na pia kumbuka mwakani ile kipengele cha mkataba cha kumuachia kwa Euro 68mil itaanza kufanya kazi, Dortmund wakipewa Euro mil 150 watapokea au tutawaweka kwenye kundi la mafala kabisa.
Chelsea watamchukua mwakani kwa bei chee kabisa, hawatakuwa tayari kuruhusu hilo litokee
Ukiona hivyo sisi Ni klabu kubwaAisee kumbe mshatembezewa mkong'otoo mkalii , kipigo heavy cha mbwa koko na buyern [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Saba zeroooooo
Saba nungeeeeee
Saba sufuriiiiiiiiii
Aaaaaah cheleaseeeeeeeeeeeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Analia macity yako ilikufa 8- kipindi cha Jose wewe nadhani ulikua mbwinde hukoUnyamaa ambao ze cityzen alishawahi kuufanya kwenye ulimwengu wa epl ..
Chelsea 0-6 man city
Man city 8 - 0 watford
Man city 5 -0 burnley
Livepool 0 - 5 man city
Man city 5 -0 everton
Clean sheet kiulaini kabisa ...
Hio ya kwanza ni heavy embarrassment.!
Kitulize mjomba[emoji23][emoji23][emoji23]Weww ni mbwa tu hio Nottingham forest takataka ya miaka 90 ndio unalinganisha na city ..
Hujielewe hata uefa haikuwepo sijui ilichukua uefa gani ,....
imachukua European cup ,yaan miaka hiyo 1979 na 1980 ,uefa ilikuwa haipo kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
Sikujua kama Chelsea kuna vilaza namna hii ...
We talk about current issue ,unalinginisha takataka za 90 na watu wa 2021 ? Unaakili kweli wewe ..
Hata huko shulen umeenda kupoteza muda tu ,hujielewi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kudadekii sio poa ,kusukumiziwa goli saba sio mchezo ,...!Ukiona hivyo sisi Ni klabu kubwa
Nyie hampo kwenye hio list coz Ni underdog tu UEFA mmeanza cheza miaka ya Jana hapo alipokuja mwarabu.
Usisahau na unyama mwingine uliofanyiwa ukiacha ule wa chuma 8 na Middlesbrough.... au hapo kipindi hicho bado hujahama arsenal[emoji23][emoji23]...Unyamaa ambao ze cityzen alishawahi kuufanya kwenye ulimwengu wa epl ..
Chelsea 0-6 man city
Man city 8 - 0 watford
Man city 5 -0 burnley
Livepool 0 - 5 man city
Man city 5 -0 everton
Clean sheet kiulaini kabisa ...
Hio ya kwanza ni heavy embarrassment.!
Mtoto mdogo huyo hawezi kujua hizo mechi labda aka"google..Usisahau na unyama mwingine uliofanyiwa ukiacha ule wa chuma 8 na Middlesbrough.... au hapo kipindi hicho bado hujahama arsenal[emoji23][emoji23]... View attachment 1815056
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Arse8 ilikufa 2004 rasmi ndo fanboys wengi wakaenda Man Shity na huyu no mmojawapo[emoji23][emoji23]Usisahau na unyama mwingine uliofanyiwa ukiacha ule wa chuma 8 na Middlesbrough.... au hapo kipindi hicho bado hujahama arsenal[emoji23][emoji23]... View attachment 1815056
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aibu mpaka unatafuta kichaka pa kujificha ...Usisahau na unyama mwingine uliofanyiwa ukiacha ule wa chuma 8 na Middlesbrough.... au hapo kipindi hicho bado hujahama arsenal[emoji23][emoji23]... View attachment 1815056
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hakuna cha aibu huo ni ukweli.. kipindi hicho city anakula chuma 6 na 8 we ulikuwa arsenal ndo maana hukufuatilia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aibu mpaka unatafuta kichaka pa kujificha ...
Maishani mwangu sijawahi kujua kitu arse8 ...
Dunian najua only one team ,manchester city ,big club in europe as well whole world ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hayo mengine its up to you