Ila jana Batshuayi alikuwa anawahold sana Arsenal....Hivi Batshuayi bado ni mchezaji wetu, si tungewapa Arsenal hata bure
Benzema yuko kwenye form nzuri ila mzee na Madrid wanataka kumpa mkataba hadi 2023Hata kama nia tunayo ya kumsajili STRIKER mpya hawapatikani sasa.
Haaland - giza nene
Lukaku - kichomi
Nadhani tubadili gia angani twendeni tukafanye biashara na marafiki zetu MADRID.
Tuwape pesa + mchezaji watuuzie BENZEMA [emoji23]
Ukiacha hyo nafasi aliyokosa ....kuna pasi utamu z upenyezo kazipiga kanifurahisha Sana...Ziyech alitaka kuufanyia nini mpira huo yeye na goli?
Sema kwa mpira ulivyopigwa pale ilikuwa ni ngumu sana kuufata ..ila madhila ya kufungwa Mara nyingi huwa yanamkuta sana Kepa.Kepa ameingia dakika 2 tuu goal
Zouma mtoe hapo na Abraham naona bado anatufaa maana makombe ni mengi sana hivyo tunahitaji kikosi kipana maana kuna FA, Carabao, Ligi, Uefa ..bado kuna SuperCup, WC ..Sasa tutawatoaje kama hawanunuliki sokoni?
1. Batshuayi
2. Barkley
3. Zappacosta
4. Drink water
5. Ermason
6. Cheek
7. Abraham
8. Zouma
Tammy siyo wa kuuzwa maana tuna michuano mingi hats akija Halaand hatoweza kucheza michuano yote. Hivyo akina Tammy wanafaa sana kwenye FA, Carabao huko..Pamoja na ukame wa magoli na blunders anazofanya Werner akiwa golini, asilimia kubwa ya mashabiki wa Chelsea wanampenda Werner kwa jinsi anayotengenmeza nafasi anazozipoteza
Siku ile laana ya kupoteza itakapoisha Werner ni forward mwenye kuipa timu options nyingi za advantages
Tofauti na Tammy
- Anatengeneza nafasi
- Ana mbio
- Anakaa an mpira
- Ana wa keep busy oponent defenders
- Anaassits
- NK
- Hana mbio
- Hawezi kukaa na mpira
- Hawezi kutengeneza nafasi
- Mabeki wa timu pinzani hawamjali wala kumuogopa
- hawezi kuassists
- Kwenye kufunga anategemea silly mistakes tu za mabeki
Kifupi jamaa Hajui kufunga, huyu sishangai kwanini Liverpool walimkataa.Pamoja na ukame wa magoli na blunders anazofanya Werner akiwa golini, asilimia kubwa ya mashabiki wa Chelsea wanampenda Werner kwa jinsi anayotengenmeza nafasi anazozipoteza
Siku ile laana ya kupoteza itakapoisha Werner ni forward mwenye kuipa timu options nyingi za advantages
Tofauti na Tammy
- Anatengeneza nafasi
- Ana mbio
- Anakaa an mpira
- Ana wa keep busy oponent defenders
- Anaassits
- NK
- Hana mbio
- Hawezi kukaa na mpira
- Hawezi kutengeneza nafasi
- Mabeki wa timu pinzani hawamjali wala kumuogopa
- hawezi kuassists
- Kwenye kufunga anategemea silly mistakes tu za mabeki
Anauwezekano mkubwa wa kuondoka huyo mkuu [emoji38] Sisi tunaongea asiuzwe lkn kashawekwa sokoni...na kitendo cha TT kunuelewa broja na pia na yy kuongezewa mkataba mpya wa miaka mitano inadhihirishaZouma mtoe hapo na Abraham naona bado anatufaa maana makombe ni mengi sana hivyo tunahitaji kikosi kipana maana kuna FA, Carabao, Ligi, Uefa ..bado kuna SuperCup, WC ..
Bora Abraham kuliko hicho kiloba.Chelsea wame peleka bid ya pili kwa Lukaku
Tunasubiri majibu
Huku nyuma niliwahi kumtetea Lukaku kuwa ni mfun gaji mzuri kuliko strikers tulionao na kuna baadhi wanamkebehi na kumuona hafai kwa sababu ya uzito wake
Kwangu mimi Lukaku anatetewa na takwimu za ufungaji wake, ni striker mwenye uwezo wa kuforce magoli na yuko sharp na anaona goli hata kama physically haangalii goli. Ana uwezo wa kukaa na mpira na kwa umbile lake ni stable na ni ngumu kumshinda kwa ugali
Chelsea leteni Lukaku darajani, hatutaki sura nzuri za mastrikers kama ya akina Morata
Tunahitaji mharibifu kule mbele, mtu asiyetumia demokrasia kwenye kufunga, mtu ambaye akiwa mbele unajipigia tu mpira uende mbele yeye anajua cha kufanya na huo mpira
Wenye uwezo huo kwa sasa ni Haaland, Kane na wakishindikana hao wawili basi Lukaku ni option ya tatu
Auba ndio anajua kufunga?Kifupi jamaa Hajui kufunga, huyu sishangai kwanini Liverpool walimkataa.
Mwakani...?Mabadiliko ya postions
Mwakani TT anategemea kumchezesha Odoi kwenye Left Wing-back na Pulisic kwenye Right Wing-back, nafasi ambayo alikuwa akiicheza akiwa Dortmund na TT
Hayo kayasema TT baada ya mechi na ARsenal jana alipoulizwa kama Pulisic angeweza kucheza kwenye hiyo nafasi
Akijibu alisema
Kwa sababu Alonso hakuwepo, ilibidi Ampange Odoi kwenye hiyo nafasi ya Left Wing-back, nafasi aliyotamani siku nyingi kumuona Odoi akicheza na amedai Odoi kama kacheza vizuri kwa sababu anapenda kushambulia kama kawaida yake
Pia kuhusu Pulisic jana alipangwa kwenye nafasi ya Right Wing-back nafasi ambayo alikuwa akipangwa na TT alipokuwa kocha wa Dortmund. Inavyoelekea Pulisic sasa Atakuwa akicheza Right Wing-Back pamoja na Reece James kwa sababu kule mbele kuna wachezaji wengi (Yuko Werner, yuko Mount, Yuko Havertz, Yuko Ziyech, nk)
Msimu ujao!!