juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Hao kuna option za kusajiliwa na hizo teamWachezaji wote tuliotegemea watauzwa wametolewa kwa mikopo tu, HALI NGUMU JAMANI
Tammy Abraham kauzw akwa intalment
Batsuayi mkopo
Emerson mkopo
Kenedy mkopo
Bakayoko mkopo
Barkley bado
Zapacosta mkopo
Acha kuwa falaaChelsea tuchukue ligi msimu huu au uefa tena?
Kuwa na adabuAcha kuwa falaa
Still supercup haijawekwa hapoKuwa na adabuView attachment 1898481
Yani huyu takataka anapaswa awe na adabu kweli.Kuwa na adabuView attachment 1898481
[emoji3502] De Bruyne
[emoji3502] Kante
[emoji3502] Jorginho
UEFA's nominees for 2020/21 Men's Player of the Year [emoji294] View attachment 1898352View attachment 1898353
Chelsea tuchukue ligi msimu huu au uefa tena?
Cross zao huyu pmj n kina chilwell, Reece james zilikuwa zinaenda bure Sana maana giroud ndo hvyo alikuwa hachezeshwi Ila Kwa ujio WA Lukaku Nina Imani tutapata magoli mengi ya vichwa coz n target man mzuri tuZiyech ameludi mazoezini [emoji123][emoji123][emoji123]View attachment 1898699
Yeah kwenye ligi tuwe na consistency nzuri tu ..mfano tukiweza kushinda game 15 mfululizo basi tunaleta matumaini ya kubeba kombe.Kwenye mechi za mtoano tuko vizuri sana tutabeba tena UCL
EPL ni mbio ndefu. Tujipange kweli kweli, tusidondoshe point kizembe haswa Stanford bridge.
Nakumbuka lile goli dhidi ya Barca japo tulitolewa ile game kwa hesabu ya goal la ugenini ..na refa hakufanya fair kabisa pengine tungekuwa na uefa 3 sasa..Tarehe kama ya leo mwaka 2005, Chelsea ilitangaza kukamilisha usajili wa kiungo, Michael Kojo Essien kwa dau lililomfanya kuwa mchezaji kutoka Afrika mwenye thamani kubwa zaidi, paundi milioni 24.
Unakumbuka nini kutoka kwake!
#kalenda
Hakika, Mimi ananikumbusha kipigo Cha goli 6 tulichomshushia Man City na yeye alihusika akifunga goal katika angle ngumu kwelikweliNakumbuka lile goli dhidi ya Barca japo tulitolewa ile game kwa hesabu ya goal la ugenini ..na refa hakufanya fair kabisa pengine tungekuwa na uefa 3 sasa..