Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,321
Huyu jamaa alikuwa ni chuma haswa Chelsea haijawahi kukosea sehemu ya viungo wakabaji.Hakika, Mimi ananikumbusha kipigo Cha goli 6 tulichomshushia Man City na yeye alihusika akifunga goal katika angle ngumu kwelikweli
Acha kuwa falaa
Tarehe kama ya leo mwaka 2005, Chelsea ilitangaza kukamilisha usajili wa kiungo, Michael Kojo Essien kwa dau lililomfanya kuwa mchezaji kutoka Afrika mwenye thamani kubwa zaidi, paundi milioni 24.
Unakumbuka nini kutoka kwake!
#kalenda
Esien alikuwa ni kiungo anayejituma sana na alikuwa na mapafu kweli kweli. Ile combi yake na Makelele kisiki kile hakipitiki na ukibahatisha kumpita unakutana na John Terry mtuliza dhoruba. Golini yupo Petr Cech mtunza usalama. Kule mbele wako wanyama wasioangalia sura ya kipa, yupo Lampard,, yuko Drogba na the Co'sTarehe kama ya leo mwaka 2005, Chelsea ilitangaza kukamilisha usajili wa kiungo, Michael Kojo Essien kwa dau lililomfanya kuwa mchezaji kutoka Afrika mwenye thamani kubwa zaidi, paundi milioni 24.
Unakumbuka nini kutoka kwake!
#kalenda
Mnaishi kwa kubahatisha bahatisha ,et mchukue CL tena ,motherf**kRATIBA YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2021/2022.
Droo ya makundi ya Uefa Champions league msimu wa 2021/2022 imepangwa kufanyika tarehe 26 August 2021 huko jijini Istanbul nchini Uturuki.
Na mashindano yamepangwa kuanza tarehe 14 September 2021 na kumalizika tarehe 28 May 2022.
Mechi za kundi A zitachezwa tarehe 14 September 2021 na 15 September 2021.
Mechi za kundi B zitachezwa tarehe 28 September 2021 na 29 September 2021.
Mechi za kundi C zitachezwa tarehe 19 October 2021 na 20 October 2021.
Mechi za kundi D zitachezwa tarehe 2 November 2021 na 3 November 2021.
MARUDIANO:
Mechi za marudiano kundi A zitachezwa tarehe 23 November 2021.
Mechi za marudiano kundi B zitachezwa tarehe 24 November 2021.
Mechi za marudiano kundi C zitachezwa tarehe 7 December 2021.
Mechi za marudiano kundi D zitachezwa tarehe 8 December 2021.
HATUA YA 16 BORA:
Mechi za kwanza zitachezwa kati ya tarehe 15 au 16 February 2022 na 22 au 23 February 2022.
Na mechi za pili zitachezwa kati ya tarehe 8 au 9 March 2022 na 15 au 16 March 2022.
HATUA YA ROBO FAINALI:
Mechi za kwanza zitachezwa kati ya tarehe 5 au 6 April 2022 na mechi za pili zitachezwa kati ya tarehe 12 au 13 April 2022.
HATUA YA NUSU FAINALI:
Mechi y kwanza itachezwa kati ya tarehe 26 au 27 April 2022 na mechi ya pili itachezwa kati ya tarehe 3 au 4 May 2022.
MCHEZO WA FAINALI:
Mechi ya fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya kwa msimu wa 2021/2022 imepangwa kuchezwa tarehe 28 May 2022, katika uwanja wa Zenith ST Petersburg nchini Urusi.
Jee Chelsea tutafanikiwa kuchukuwa tena taji hilo msimu huu?.
Tusubirie toune kama itawezekana.
#updates
Mbona alina Hasselbank, Flo et al hawapo. Weka wote tuchagueWho was your best No. 9?
Tammy Abraham 9οΈβ£
Gonzalo Higuain 9οΈβ£
Alvaro Morata 9οΈβ£
Falcao 9οΈβ£
Fernando Torres 9οΈβ£
Franco Di Santo 9οΈβ£
Steve Sidwell 9οΈβ£
Khalid Boulahrouz 9οΈβ£
Hata Drogba na Diego Costa au walikuwa ni wingaMbona alina Hasselbank, Flo et al hawapo. Weka wote tuchague
Drogba alivaa no. 11...sijui km alishawahi kuvaa no. 9Hata Drogba tu mwenyewe hayupo, au alikuwa winga nini
Kesho muda kama huu uje usome sms yakoArsenal ni timu mbovu ,ila akikutana na hizi takataka ,basi anajitafuniaga
Hata Saul akichukuliwa Kwa mkopo sio mbaya....VP mfano huyo tchouemeni akija flop EPL ?Tuachane na Saul tumchukue Tchouameni
Tschoumen yasije yakatokea kama ya bakayoko[emoji23][emoji23]Hata Saul akichukuliwa Kwa mkopo sio mbaya....VP mfano huyo tchouemeni akija flop EPL ?