Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nasema mtapigwa tu, eenh maana hakuna namna mtapigwa 3+
 
BINGWA LIVERPOOL MSIMU HUU .

MBU WA BLUE NYINYI

Kwani kuna mahala tumesema bingwa chelsea msimu huu?[emoji23][emoji23]

Sisi target yetu point tatu kila mechi ubingwa mwisho wa Reli[emoji23][emoji23][emoji23] au baada ya gemu 30 kati ya 38 zitakazochezwa ndizo zitakazo onesha uelekeo wa bingwa mwaka huu. So bado mapema sana kusema ubingwa. [emoji23][emoji23]
 
Bingwa ni Man U hizi takataka nyingine zisubili tu
 
Mambo yatakua tofauti kwa Lukaku
 
Norwich ni watalii wazuri wa EPL
Mpaka sasa dakika ya 80 hata shot off target hawana
 
Performance ndani ya msimu mmoja, wachezaji wengi waliovaa Io namba walishindwa kuperfom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…