Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Afu jamaa analipwa £52000 Kwa wiki...n thamani kubwa Kwa pesa zetu lkn ni ndogo kulinganisha n wenzie Kwa kazi anayofanya aisee bodi inabidi wamfikirie huyu mwamba [emoji122]

Kabisa aisee ivi kwa pesi yetu inakuwa kama ngapi ivi?
 
Kabisa aisee ivi kwa pesi yetu inakuwa kama ngapi ivi?
Nilikosea pale man Ila Kuna source flan nimeona analipwa £75k Kwa wiki ambayo ukiconvert aisee Kwa pesa zetu [emoji23]n zaidi ya mil 200 aisee....sema Labda na wao wanapatwa na mapanga ya Kodi huko km mapanga wanayokatwa waajiriwa WA serikali km hela z nssf, au hela z mikopo n.k.[emoji23]
 
Alonso naye heshima imevuka mpaka Makamu Captain anaingia kagoma kutoa kitambaa, Na captain mwenyewe anaingizwa bado ameng'ang'ania kuwa nacho.
HIvi jaman imekaaje hii ishu...?
Kwani aligoma kutoa kitambaa?
Tutajuaje kiongozi, maana siku zote tunaona kiongozi akiingia huwa anapewa kitambaa.
 
hakika kubwa an wenner yuko vizur wakina mount na havertz pivot yao na lukaku imekaa kiuchoyo ila wenner ataona kuliko alaumiwe kwa kukosa n bora atoe assist kwa big rom ila iz wing zetu pa1 na atacking midfielder naona zina umimi mwing
 
Mendy alikwisha thibitisha kuwa yeye ni shabiki wa Chelsea toka akiwa mdogo, hiyo ndio raha ya kutumikia klabu unayo ipenda lazima ujitume.

Refer kwa wachezaji kama Drogba, Lampard, Mount, James, Lukaku, Terry na wengine wengi hawa wanacheza kwa mapenzi makubwa kwa ajili ya klabu
Unajua adi sometimes najiuliza ivi huyu mendi anapokuwa golini wanakuwa mendi watatu au wanne. Hapa hakika tuna kipa.
 
🚨Azpilicueta on his contract expiring next summer🗣:

"I don't have any concerns and I feel fully trusted by the club. It is true my contract ends in June but I just focus on what's next. I love to be here and I feel loved. I aim to be here as long as I can."

🚨Azpilicueta on Chelsea's UCL approach🗣: "We don't get anything from being Champions. We start from zero."

Elite mentality !!💙
 
Conor Gallagher wins Crystal Palace's Player of the Month award. Much deserved!

🏟 3 games
⚽️ 2 goals
🅰️ 1 assist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…