Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Bora wewe umekubali ,ila Kuna kunguni hazielewi kabisa ,ule Moto uliowaka pale Stamford bridge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Antonio Rudiger has decided to leave #Chelsea and wants to move to Real Madrid on a free transfer next summer.

[via @marca]
 
Hivi kwa nini wachezaji wa city walishangilia kama wamechukua UEFA baada ya filimbi ya referee? Inaonekana suala la kufungwa mara tatu mtawalia lilimuumiza kichwa kipara.tunahitaji mchezaji mmoja mwenye uwezo wa kupunguza watu ili kuhold mpira wakati wa transformation kutoka kushambuliwa kwenda kushambulia hazard calibre player
 
Tuna pulisic bahati mbaya majereha hayamuishi
 
Bado kile kichapo cha mfululizo kwa kutwa ubingwa mbele yenu Man Chichi, EPL na kutolewa FA kinawatesa sana [emoji16]

Inamaa ikiwa TT ni failure, basi Pep uwalaza atakuwa Superior Failure, kwanini afungwe mechi 3 mfululizo na timu inayovizia kaunta ataki na kupaki basi nakati Man Chichi ilikuwa inasakata kandanda safi kabisa [emoji1787][emoji28][emoji1732]
 
Reece James had classic “high ankle sprain” mechanism w/ ankle forcibly twisted outwards, he left ground bandaged but no boot which likely means no fracture but MRI still needed, this injury means Reece will be out for 4-6 weeks.

🔗 Sports Doctor - Dr. Rajpal Brar, DPT
 
JOSE MOURINHO AKIMUONGELEA DROGBA

Jose Mourinho: 🗣"Didier Drogba alikuja maishani mwangu katika dakika ya tano ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa ulaya dhidi ya Marseille. Kiukweli sikuweza kukaa chini wakati nilipomuona mchezaji aliyevaa jezi namba 11 mgongoni mara alivyotufunga bao.

Mchezaji yule mwenye jezi namba 11 mgongoni alikuwa ni Drogba alisheherekea bao alilofunga kama vile ilivyokuwa kawaida yake, umati wa mashabiki walishikwa na wazimu, kelele nyingi zilikuwa zikisikika. "

"Wakati tunaenda vyumbani muda wa mapumziko nilimkuta njiani na nikamwambia:" Sina pesa ya kukusajili, lakini una binamu yeyote ambae anaweza kucheza kama wewe huko kwenu Ivory Coast? "Alicheka, akanikumbatia na alisema: "Siku moja utakuwa kocha kwenye klabu ambayo itaninunua."

"Miezi sita baadaye nilisaini Chelsea. Nilikuwa nimepata klabu yenye nguvu sana ambayo kila mtu alitaka kujiunga nayo, kila mtu alitaka kuhusishwa nayo - na kila mchezaji alitaka kuichezea.

"Nilikuwa na chaguzi kadhaa, lakini nilifika nikasema:" Ninamtaka Didier Drogba. 'Mashaka na maswali yalitolewa na watu wachache:' Kwanini huyu? ',' Kwanini sio yule? ',' Una uhakika atabadilika? ',' Je! ni mzuri kweli? '

"Lakini nikasema: Namtaka Didier Drogba,"

"Siku chache zilipita na nilikutana na Didier katika uwanja wa ndege wa kibinafsi huko London. Tena alinikumbatia, lakini wakati huo kwa njia isiyosahaulika: akinikumbatia kwa njia ambayo ilionyesha shukrani zake za dhati, na mapenzi makubwa mno "yaani hata haielezeki."

"Kisha akaniambia: 'Asante. Nitakupigania. Hautajuta. Nitabaki mwaminifu kwako milele.'

Na hivyo ndivyo mara zote alivyofanya ... "

"Uaminifu wake ulitoka katika uongozi wake na kwa njia ambayo kila wakati alikuwa akikabiliana na nyakati ngumu. Drogba alikuwa mtu ambaye nilijua ningetegemea wakati wowote na mahali popote kupata matokeo niliyoyahitaji. "

"Wakati timu ilikuwa chini ya shinikizo angesaidia kutetea; wakati aliposikia maumivu alijinyoosha hadi kikomo ili tu kufanya vizuri zaidi.

Magoli yake aliyofunga yalituletea mataji & tuzo, lakini kitu kinachokaa kwangu mpaka sasa hivi ni hadithi kubwa tulioijenga pamoja. "️❤️
 
Odoi angekua anapata muda mwingi kwenye pitch kama anavyopata bukayo saka leo tungekua tunaongea mengine
Huo muda mchache anaopata mbona hakuna anachokifanya sababu hata saka alianza kwa kupewa dakika chache lakini alikua anazitumia vizur mpk kocha amemuamini na timu ya taifa pia ameaminiwa lakini odoi yeye ndo kwanza anataka aongezewe mshahara alipwe 250K kwa week
 
Odoi alitoka kwenye injury ambayo ingemfanya hata aaachane na mpira na tangu karudi kacheza dk chache kuliko mchezaji yyte kwenye kikosi cha chelsea na ndio maana wakat wa dirisha la usajili linakrbia kufungwa alitaka kwenda Dortmund kwa mkopo akapate muda mwingi wa kucheza
 
Kwa timu kubwa kama Chelsea ukipewa hata dakika 5 unatakiwa uonyeshe kuwa unaweza, Arsenal wao hawana options nyingi wote tunajua hilo
 
Du hatari sana dgo kweli atarudi kwenye fomu yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…