Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Ni hatari sana duVAR ni mpango rasmi kuwezesha wacheza kamali wakubwa duniani, hata kama ni kula na kipofu ndiyo kukataa goli la wazi kabisa namna ile[emoji848][emoji57]
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Leo Werner kaonyesha kuwa anafaa kucheza badala ya Havertz au ZiyechVijana wakitoka international break kuna mechi kama 6 ambazo ni mserereko, vipigo vikubwa kama hivi vitakua vinahusikaView attachment 1960489
Leo Werner kawa kama Simba mwenye hamu ya kula nyama na kala kweli hata baada ya kunyimwa goli la halali kabisaLeo Werner kaonyesha kuwa anafaa kucheza badala ya Havertz au Ziyech
Barkley hana tofauti na Mount, usije kumkataa mechi ijayo maana hana tofauti na gari la mkaa.Uzuri wa Chelsea hata mabeki wanafunga
Viungo tu ndio hawafungi tena ni Kovacic na Jorginho
Ila Barkley ni mfungaji, RLC ni mfungaji
Barkley naona anatuma sms kwa TT awe anampa nafasi, ile pasi ya kwa Azpi ilikuwa fantastic
RLC tayari ameshatuma message kuwa anafaa kwenye fisrt team
Saul naona ajiandae kurudi kwao Spain
Mount katukosesha magoli kama mawili hivi kwa kumnyima pasi ya mwisho Werner na Lukaku.Nilichoona kwa Mount ni mchezaji anayetafuta spaces kila wakati, kule mbele wote wangekuwa kama Werner na Mount tungekuwa na magoli mengi
VAR imeshikiliwa na wadau wa kamali wakubwa sababu faulo haikuwa na mantiki yoyote ukilinganisha na goli walilopata Wolves.Werner akicheza na lukaku atafunga magoal mengi tu, mabek wanakuwa busy na lukaku huku wakiachia nafas kwa werner.
Bado kuna kauchoyo flan kwa mount, kuna chance lukaku alikuwa ashafungua, mount akashoot badala ya kumpa lukaku
Umuhimu wa mount umeonekana baada ya kuingia kwenye kutafuta nafasi
Chilwell nahis hili goal litamjengea confidence yake,
VAR leo imetukatili hasahass kipindi cha kwanza
Hii game tulikuwa tunaimaliza 1st half km mwamuzi angekuwa yuko fair
Hiyo sikuona, kuna wakati niulikuwa nawahudumia wageni wangu nikaacha kuconcetrate, kocha awapike wajue umuhim,u wa kumtumia talisman LukakuMount katukosesha magoli kama mawili hivi kwa kumnyima pasi ya mwisho Werner na Lukaku.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Wanamfanyia uchoyo sana huyo Lukaku, tena anajua kujiweka ktk nafasi nzuri ya kufunga lakini mikina Mount inambania[emoji35]Lukaku kwangu mie ni myama sana sijui kwenu huku
Wakiwa hawana uchoyo kwa kutumia fursa vizuri hasa pale ambapo Lukaku atakuwa ameomba mpira na yuko katika nafasi nzuri ya kufunga Chelsea tutatisha sana Ulaya.Hiyo sikuona, kuna wakati niulikuwa nawahudumia wageni wangu nikaacha kuconcetrate, kocha awapike wajue umuhim,u wa kumtumia talisman Lukaku